Yaani ni lini tutaamka na kuanza kushindana kama nchi. Ni lini tutacha utoto kama nchi na kuanza kuleta maendeleo ya nchi.
Badala ya kuongea vitu vya msingi wa TZ wengi wanaongelea waongeaji wa vyama🤦🏾♂️ Sijawahi kuona nchi nyingine yeyote ambayo watu wanaongelea waongeaji wa vyama kama TZ tena ni CCM pekee. Kuanzia Nape, Polepole na sasa Makonda!
Tufike mahali tupende nchi kuliko kiki, ushabiki na uchawa. Jamani tutakuwa lini kama nchi 🏃♂️