Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
I salute you kinsmen.
Inabidi tu tukubali kuwa diarra ndio role model wa makipa wote nchini kwa sasa na baadaye.
Kama ilivyo kwa mchezaji fundi kuwahi kutokea Tanzania laudack Chasambi kukubali max ni role model wake why huyo tapeli camara asikubali kuwa diarra ni role model wake?
Ifike muda sio kila kipa ajifanye sweeper kama diarra mtakuja kuchomesha muaibike
Sasa camara aliomba pasi na akapewa ilimshinda nini kutuliza? Hapo ndiyo tunarudi kwenye hoja yetu ya utapeli wanaofanya simba kuleta vibaka waje kudaka!
Kimsingi chasambi yeye anawaamini wachezaji wa yanga tu pale simba hakuna anayemuamini ndiyo maana ikawa ngumu kumpa mtu pasi basi akajua labda huyo kibaka GOLINI naye mtu sana labda atafanya kama diarra kumbe naye hakuna kitu pazia tupu!
Binafsi kama shabiki wa Simba nimeumia sana na utapeli huu mnaotufanyia kutuletea matapeli na vibaka wa simu
Utapeli mwengine ni ule wa Baunsa Ateba na jenzie refu kuliko goli walichofanya pale wakakosa goli!
Yaani unaona wazi kabisa kuwa wale sio wachezaji ni wanywa wanzuki tu waliopewa jezi wacheze!
Hata kocha mwenyewe "Falu joni"naye kakaa kitapeli tapeli sana tusimwamini wanasimba wenzangu tutajutia
Yanga ndiyo kakaa kileleni tumeharibu wenyewe kwa kupanga vibaka wacheze kwa mantiki sisi mashabiki wa Simba ni matahira, mbumbumbu, majuha na vilaza kuwaamini hawa matapeli