Abby The Rider
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 462
- 733
Wakuu Kwema
Hii nchi tunakoelekea Sasa hivi hali sio nzuri kwa watumishi wetu wa uma. Kila mtu Kwenye nafasi yake anafanya anachojisikia. Bora nchi iuzwe tugawane
Nimefika kituo Cha Treni, kukata ticket kwenda Moshi safari ya ijumaa, ticket zimeanza kukatwa saa2 Cha Ajabu saa2 hiyo hiyo unaambiwa treni imejaa zimebaki sehemu za kusimama. Watu zaid ya 1000 wajaze siti ndani ya dakika 20 kweli? Hao wakata ticket wanaspidi kiasi Gani? Ajabu zaidi ticket za kusimama ni nyingi sana, Sasa sijui Kuna behewa halina Viti ndo watasima humo,??? Ngumu kumeza
Hii haileti Afya kwa watanzania waliostaarabika.
Hata kama ndo kula kazini kwako ndo ule Kila mtu ajue unakula.?
Mamlaka zimelala usingizi wa pono, wameshiba hawatujali sisi walala hoi.