Abby The Rider
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 462
- 733
- Thread starter
- #21
Nimeghairisha safari mkuusi bora upande basi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeghairisha safari mkuusi bora upande basi mkuu
bora kwanini uteseke na hela ni yako?Nimeghairisha safari mkuu
Wewe ni ubwaSasa kigoma na mwanza wanaenda waha na wasukuma, hao hata ukiwapa siti hawakalii maana masaa yote wanasimama kubishana njia nzima.
Usafiri wa train ni slama zaidi plus adventurebora kwanini uteseke na hela ni yako?
ndio usimame?Usafiri wa train ni slama zaidi plus adventure
Kusimama ni shida na mapemzi ya mtu binafsi siyo lazima..lakini kama nauli haitoshi utafanyaje na unataka kwenda mahalindio usimame?
Mimi naishangaa zaidi serikali ya CCM inayoshindwa kuchangamkia fursa hii ya malaki ya abiria wanaotaka usafiri wa treni. Acha tuijenge CHADEMA vizuri.Wakuu Kwema
Hii nchi tunakoelekea Sasa hivi hali sio nzuri kwa watumishi wetu wa uma. Kila mtu Kwenye nafasi yake anafanya anachojisikia. Bora nchi iuzwe tugawane
Nimefika kituo Cha Treni, kukata ticket kwenda Moshi safari ya ijumaa, ticket zimeanza kukatwa saa2 Cha Ajabu saa2 hiyo hiyo unaambiwa treni imejaa zimebaki sehemu za kusimama. Watu zaid ya 1000 wajaze siti ndani ya dakika 20 kweli? Hao wakata ticket wanaspidi kiasi Gani? Ajabu zaidi ticket za kusimama ni nyingi sana, Sasa sijui Kuna behewa halina Viti ndo watasima humo,??? Ngumu kumeza
Hii haileti Afya kwa watanzania waliostaarabika.
Hata kama ndo kula kazini kwako ndo ule Kila mtu ajue unakula.?
Mamlaka zimelala usingizi wa pono, wameshiba hawatujali sisi walala hoi.
Kata online mwemyeweWakuu Kwema

Wameondoa hiyo option ya online, ipo Kweny treni za umeme tuKata online mwemyewe
AiseeWameondoa hiyo option ya online, ipo Kweny treni za umeme tu