Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Upumbavu wa uongozi wa CCM ni wa kiwango cha juu mno. Ukimsifu rais muuaji wa mchongo, wewe ni kiongozi wa dini, ukimkosoa wewe unachanganya dini na siasa.Waumini wa kanisa katoliki wameeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, wakionyesha kushangazwa namna alivyopuuza sakata la mmoja wa waumini hao kuvamiwa na kupigwa.
Wamemtaka Padri Kitima kuchagua upande kati ya sia na dini, huku wakimtuhumu kuhusika katika kupanga matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea oktoba 29, 2025, ambapo wamesisitiza kuwa wanaushahidi wa kutosha juu na kuhusika kwake.
Huo ushahidi wa kutosha walionao hao mazafakas si wauweke hadharani?Wamemtaka Padri Kitima kuchagua upande kati ya sia na dini, huku wakimtuhumu kuhusika katika kupanga matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea oktoba 29, 2025, ambapo wamesisitiza kuwa wanaushahidi wa kutosha juu na kuhusika kwake.
Kama padre Kitima aliua watu oct. 29, au alihamasisha mausji, basi wakamfungulie kesi ya mauaji- wanangoja nini? Jf ni mahakama?ambapo wamesisitiza kuwa wanaushahidi wa kutosha juu na kuhusika kwake.
Wakafungue kesi na Wapeleke mahakamani huo ushahidi.Maana kwa Papa barua ya mashtaka ilishakwenda tayari bado mahakamani tu.Waumini wa kanisa katoliki wameeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, wakionyesha kushangazwa namna alivyopuuza sakata la mmoja wa waumini hao kuvamiwa na kupigwa.
Wamemtaka Padri Kitima kuchagua upande kati ya sia na dini, huku wakimtuhumu kuhusika katika kupanga matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea oktoba 29, 2025, ambapo wamesisitiza kuwa wanaushahidi wa kutosha juu na kuhusika kwake.
nchi hii wapumbavu wanapewa kipaumbele nankusikikizwa sanaWaumini wa kanisa katoliki wameeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, wakionyesha kushangazwa namna alivyopuuza sakata la mmoja wa waumini hao kuvamiwa na kupigwa.
Wamemtaka Padri Kitima kuchagua upande kati ya sia na dini, huku wakimtuhumu kuhusika katika kupanga matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea oktoba 29, 2025, ambapo wamesisitiza kuwa wanaushahidi wa kutosha juu na kuhusika kwake.
Huo ushahidi wa kutosha walionao hao mazafakas si wauweke hadharani?
Nyie GMO tutawafuteni kwetu,shauri yenu!View attachment 3530719
Waumini wa kanisa katoliki wameeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, wakionyesha kushangazwa namna alivyopuuza sakata la mmoja wa waumini hao kuvamiwa na kupigwa.
Wamemtaka Padri Kitima kuchagua upande kati ya siasa na dini, huku wakimtuhumu kuhusika katika kupanga matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea oktoba 29, 2025, ambapo wamesisitiza kuwa wanaushahidi wa kutosha juu na kuhusika kwake.
Hiyo tume ni project ya haohao mazafakas!Waupeleke tume
Hawa, wangepuuzwa hata huo ujinga wao wasingepata mahali pa kuuzungumzia, wangekufa kifo cha mende.nchi hii wapumbavu wanapewa kipaumbele nankusikikizwa sana
mazafaka
kwa gallow bird ni Mkatoliki?View attachment 3530719
Waumini wa kanisa katoliki wameeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, wakionyesha kushangazwa namna alivyopuuza sakata la mmoja wa waumini hao kuvamiwa na kupigwa.
Wamemtaka Padri Kitima kuchagua upande kati ya siasa na dini, huku wakimtuhumu kuhusika katika kupanga matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea oktoba 29, 2025, ambapo wamesisitiza kuwa wanaushahidi wa kutosha juu na kuhusika kwake.
hakikaHawa, wangepuuzwa hata huo ujinga wao wasingepata mahali pa kuuzungumzia, wangekufa kifo cha mende.
Hoja ya kutenganisha dini na siasa ina mantiki pale ambapo siasa inaheshimu katiba, demokrasia na haki za binadamu. Lakini inapokiuka misingi hiyo kwa mauaji, uvunjifu wa amani, ukandamizaji na kutowajibika kwa viongozi walafi wa madaraka, basi kunyamaza kwa viongozi wa dini kunakuwa ni kushiriki dhuluma kimya kimya.View attachment 3530719
Waumini wa kanisa katoliki wameeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, wakionyesha kushangazwa namna alivyopuuza sakata la mmoja wa waumini hao kuvamiwa na kupigwa.
Wamemtaka Padri Kitima kuchagua upande kati ya siasa na dini, huku wakimtuhumu kuhusika katika kupanga matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea oktoba 29, 2025, ambapo wamesisitiza kuwa wanaushahidi wa kutosha juu na kuhusika kwake.
Inashangaza sanaUpumbavu wa uongozi wa CCM ni wa kiwango cha juu mno. Ukimsifu rais muuaji wa mchongo, wewe ni kiongozi wa dini, ukimkosoa wewe unachanganya dini na siasa.