Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Baadhi ya wanaojiita Waumini wa kanisa katoliki wameeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, wakionyesha kushangazwa na namna alivyopuuza sakata la mmoja wa waumini hao kuvamiwa na kupigwa.
Soma: Kundi la 'Wakatoliki' latinga Ubalozi wa Vatican Tanzania kumshtaki Askofu Ruwai'chi na Fr. Kitima
Wamemtaka Padri Kitima kuchagua upande kati ya siasa na dini, huku wakimtuhumu kuhusika katika kupanga matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea oktoba 29, 2025, ambapo wamesisitiza kuwa wanaushahidi wa kutosha juu na kuhusika kwake.