Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hawajasema padri ,wamesema Askofu Kitima😆😆Waumini wa kanisa katoliki wameeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, wakionyesha kushangazwa namna alivyopuuza sakata la mmoja wa waumini hao kuvamiwa na kupigwa.
Wamemtaka Padri Kitima kuchagua upande kati ya siasa na dini, huku wakimtuhumu kuhusika katika kupanga matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea oktoba 29, 2025, ambapo wamesisitiza kuwa wanaushahidi wa kutosha juu na kuhusika kwake
Hawa ni malaya wa wapi tena? Wameshindwa kusambaza UTI wanageukia midomo michafuBaadhi ya wanaojiita Waumini wa kanisa katoliki wameeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, wakionyesha kushangazwa na namna alivyopuuza sakata la mmoja wa waumini hao kuvamiwa na kupigwa.
Soma: Kundi la 'Wakatoliki' latinga Ubalozi wa Vatican Tanzania kumshtaki Askofu Ruwai'chi na Fr. Kitima
Wamemtaka Padri Kitima kuchagua upande kati ya siasa na dini, huku wakimtuhumu kuhusika katika kupanga matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea oktoba 29, 2025, ambapo wamesisitiza kuwa wanaushahidi wa kutosha juu na kuhusika kwake.
Sio waislamu tena? Matra hii ni kanisa wahusika?View attachment 3530722
Waumini wa kanisa katoliki wameeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, wakionyesha kushangazwa namna alivyopuuza sakata la mmoja wa waumini hao kuvamiwa na kupigwa.
Wamemtaka Padri Kitima kuchagua upande kati ya siasa na dini, huku wakimtuhumu kuhusika katika kupanga matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea oktoba 29, 2025, ambapo wamesisitiza kuwa wanaushahidi wa kutosha juu na kuhusika kwake.
wakatoliki makadaView attachment 3530722

Baadhi ya wanaojiita Waumini wa kanisa katoliki wameeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, wakionyesha kushangazwa na namna alivyopuuza sakata la mmoja wa waumini hao kuvamiwa na kupigwa.
Soma: Kundi la 'Wakatoliki' latinga Ubalozi wa Vatican Tanzania kumshtaki Askofu Ruwai'chi na Fr. Kitima
Wamemtaka Padri Kitima kuchagua upande kati ya siasa na dini, huku wakimtuhumu kuhusika katika kupanga matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea oktoba 29, 2025, ambapo wamesisitiza kuwa wanaushahidi wa kutosha juu na kuhusika kwake.
These bitches are knuckleheads! Yaani hawa Wakatoliki hata hawajui kwamba Dr. Kitima sio askofu? Ni Wakatoliki wa kigango cha wapi?Baadhi ya wanaojiita Waumini wa kanisa katoliki wameeleza kusikitishwa na kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, wakionyesha kushangazwa na namna alivyopuuza sakata la mmoja wa waumini hao kuvamiwa na kupigwa.