Wakatoliki hamtakiwi na mzanzibari, mlioko huko bado anzeni kufungasha

Wakatoliki hamtakiwi na mzanzibari, mlioko huko bado anzeni kufungasha

Katoliki ni dhehebu siyo wanasiasa kuwa lazima washika nyadhifa za serikalini. Hata kkkt, adventist, wapagani n.k wanastahili kushika nafasi za uongozi serikalini
 
Hii sio ishu ya dini, hapa ni ishu ya maslahi/Safu za kiongozi na kuhakikishia usalama huko tuendako.
Hili game bado ni gumu kila upande na wananchi ndio wataamua nani awe mshindi.
 
Yale mashambulizi ya mashehe dhidi ya wakatoliki sio mchezo
 
Unganisha matamko ya TEC, wadada wa vijora, ukimya wa kkkt. Subirini mtaona, kwa mara ya kwanza hakutakuwa na mkatoliki katika uongozi wa juu!
Hebu tuache uchonganishi wa kidini,hawa wanasiasa tuwaache na magomvi yao
 
Sa100 akiendelea hivi atatufanya tumkamate watanganyika na kumfanya kama wa liberia walivyomfanya rais wao samuel doe
 
Hakuna sababu ya kuuhusisha ukatoliki kwenye hili sakata! Kiufupi hakuna Mtanganyika mwenye akili timamu anaweza kukubaliana na hiki kinachoendelea nchini kwa sasa.
 
Back
Top Bottom