T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Mfano lini kanisa la Gwajima limeanza na uchaguzi mkuu umefanyika mara ngapi likiwepo ili litoe mgombea.Kwan statistics hazibadiliki??
Acha tabia ya kuamini maneno ya vijiweni Ukatoriki na Uislam wapi na wapi?Kuna uzi humu kwamba Katoliki ndo walianzisha uislamu kuwadhibiti Wayahudi. Katoliki na Waislamu lao ni moja.
Nchi nyingi zinaongozwa na moderate muslims hata za Kiislamu. Mtu yeyote anayezingatia sana dini hana uwezo wa kuongoza nchi kwa ufasaha labda iwe ni ya dini yake tu. Egypt waliipiga marufuku Muslim Brotherhood na Morsi ndio alikuwa kiongozi wa kwanza chama hicho kuwa Rais katika nchi za Kiarabu, Saudia Arabia nako ni marufuku. Kwanini hizo ni nchi za Kiislamu sizikubaliane na hicho chama.Ndiyo waliomsaidia na kumsomesha Nyerere, Kwaiyo Wakulungwa wengine wanapita mulemule.
Ukiwa Muislamu basi sharti uwe vuguvugu na sio design ya kina Sheikh Ponda!
Alaa? Ndio maana ilivunjwa EAMWS kwa kisingizio cha Mlezi Aga khan ni Shia, Mohamed Said hawa wanafunzi wako wako hapa uwedurusishe kunako uga wa siasa wa nchi hii, huwa unatukosha
Vipi kuhusu Joe Biden sio mkatoliki?Wakatoliki huwa wana mipango mingi sana nyuma ta pazia , na raisi akiwa mkatoliki huwa wanapenda pia kumtumia kwa maslahi ya kanisa .
JFK,, raisi pekee mkatoliki aliyehudumu USA. na inasemekana CIA walinusa mipango ya kanisa kuingliia mifumo ya serikali , na inaaminika ni moja ya sababu ya kifo cha JFK ,lengo likiwa ninkunusuru madhara ya maamuzi ya kanisa kwenye serikali.
Ngunu sana kwa mkatoliki kutawala USA
Anglican ni kama wamejifia kiaina,Lutheran ni wabaguzi wao kwa wao wanatwangana kanisani hawafai.Imagine muwe na Rais anasali Free Church! Bishop wake Mkandamizaji!
Makanisa mengine ukifatilia vizuri unagundua wamiliki halisi ni individuals wapo Marekani, South Africa n.k, Rais anaweza kuendesha nchi kwa maono ya mtu anajiita nabii kumbe mchongo.
Lutheran, Anglican n.k wapo organised wanaweza kutoa Rais ila hawa wa mwendokasi "Unstoppable Fire church" "Jesus Power church' "double touch anointing church" na picha za baba na mama mchungaji kwenye mabango hapana!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii nchi kila mtu aendelee kula useful wa kamba yake mama anaupiga mwingiiii.Sio kupenyeza Iko wazi Raisi lazima awe mkatoliki, ni mashart ambayo yapo wazi na hakuna wa kupinga
Akili za kipuuzi hizi na marais waislam wanalinda maslahi ya nani?Wakatoliki Wana maekari kwa malefu ya maekari.
Hivyo lazima wale top mmoja wao atoke kwao ili kulinda maslahi yao.
Marekani kwa kipindi cha zaidi ya miaka 200 Biden ndio Rais wa kwanza mkatoliki kumaliza muda wake. Baada yaa JFK. Kuwa terminated...
Waamini waka Catholic hawana ubaguzi na hawatumii mihemko, they use logic na kujali na kuheshimu uhuru wa imani za watu wengine. Anaweza msaidia mtu wa imani nyungine bila kujali. Ila sisi tunaojiita wapendwa tunaroho mbaya za ubaguzi wa kidini.
Unakuta hata kuolewa/kuoa tuwe kwa wenyewe, huu msemo unakuta tuko somewhere tunaitana wewe ni MKKKT mwenzangu etc. Sijawahi wasikia wa Catholic wakiitana kiubaguzi hivyo. Unaweza kaa na mkatolic na usijue anasali wapi lakn sisi lazima tuulize et unaabudu wapi?..nk.
Ndo maana Mungu anatunyima nafasi za kuongoza nchi, tutaleta ubaguzi
Biden ni mkatoliki wa pili Baada ya JFK , na imepita miaka 50 plus ! Na bado hajamaliza utawala wake .Vipi kuhusu Joe Biden sio mkatoliki?
Kwani wasabato wako tanzania tu.Au tanzania tu ndo kuna rais?.Marais wako dunia nzima na wako wa madini mbalimbali hadi wasio na dini wapo.kwahiyo mapungufu yetu ya ndani tusiyajumuishe kwenye mambo yanayohusu dunia nzima.Hapa yawezekana umesema ukkwl haya madhehebu ni ya kibaguzi mnooo!! Ebu fikiria msabato apate urais
Ilo sasa sio tatizo la dini ni tatizo la mtu mwenyewe.na mifano ipo.Umeelewa alichokiandika?Na unaielewa katiba ya sasa inavyompa mamlaka makubwa Rais aliyepo madarakani kama hana akili kama "mimi ni dola"?
Kumbe Biden ashamaliza muda wake!? Nilikuwa sijui!!!Wakatoliki Wana maekari kwa malefu ya maekari.
Hivyo lazima wale top mmoja wao atoke kwao ili kulinda maslahi yao.
Marekani kwa kipindi cha zaidi ya miaka 200 Biden ndio Rais wa kwanza mkatoliki kumaliza muda wake. Baada yaa JFK. Kuwa terminatBiden ashama Liza
Uje na Uzi wa ukatoliki na TISS Usalama wa Taifa maana wengi wanatakaga wakatoliki au bakwataMoja kwa moja kwenye mada. Tangu tupate Uhuru linapokuja suala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki. Je, Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza?
Najiuliza kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.
Karibuni wajuzi na wachambuzi.
Kwa hiyo hata KKKT,ANGLICAN nao ni hivyo hivyo? Mbona nchi nyingi tu za Afrika zinaongozwa na wasio wakatoliki na zina viongozi wenye uwezo mzuri tu.Uraisi ni taasisi yenye heshima yake.
Sasa umkute Raisi anasali kwenye makanisa ya mazingaumbwe ,mara wajifanye wanafufua watu, mara wanagawa sijui mafuta ya upako wanasali kwenye makanisa ya mabanzi na yaliozungishiwa uzio wa mabati au mapagara ya magorofa ambayo hayajaisha, si utamkuta raisi nae yupo kwenye mkumbo wa kufunga hadi kufa ili kumwona Mungu na kwa kuwa ni Raisi atawashawishi na watanzania wote? Makanisa yanamilikiwa na mume na mke?
Mambo yakuchanganya dini na serikali ni ujinga wetu wenyewe.Tusiufungamanishe na watu wengine kwasababu wako wenye dini tofauti na wanaongoza vizuri tu.Kwa akili zile atasema jmosi watu wasifanye kazi ni sabato
Ndio umeandika nini? TabularasaNani alikwambia Wakatoliki ni Wakristo? Ndio maana Waislamu na Wakatoliki hawatofautiani. Mkatoliki hana madhara kwa Muislamu na kinyume chake. Hii pia ni MAAGANO ya wale Wachawi 5 (wakiiongozwa na Forojo Ganzel Master) waliotumwa na yule babu wa 1 wa hii nchi kule Bagamoyo waliokubaliana hizo dini 2 tu ndio ziongoze TZ. Lakini wanamaombi wanashughulika nazo punde itabadilika