Waprotestant wa Tanzania ni tofauti na sehemu nyingine duniani.. Wanashindana kubuni vituko. Hata huko wamegawanyika Kuna low church na high churchKwa hiyo hata KKKT,ANGLICAN nao ni hivyo hivyo? Mbona nchi nyingi tu za Afrika zinaongozwa na wasio wakatoliki na zina viongozi wenye uwezo mzuri tu.
Umeandika vizuri wanawadanganya watu kwamba unyonge ni mtajiSijui kama kuna mpango wote, ila Kwa uzoefu wangu at least wakatoliki wako moderate linapokuja socialization. Madhehebu mengine yanaona kama dini/madhehebu mengine ni mashetani,wao ndio wako sahihi,wao ndio wanamfuata Mungu wa kweli,wengine wote wanaendan Motoni na hivyo kuwa kutokuwa tayari kusaidia au kutoa msaada Kwa watu wa dini na madhehebu mengine.
Anyway, kuna lile la Rais kuzaliwa Kijijini au familia maskini hili nalo ni janga Kwa nchi. Uzoefu unaonyesha kuwa wana roho mbaya na kutoujali shida za wananchi huku wakijinadi kuwa wao ndio wakombozi! Unfortunately jamii nayo inawaamini! Na kuwaona mashujaa!
Hata shule za Katoliki pia kuna ambazo hawajarudishiwa.Sijakuelewa
Zipo nyingi mpaka HospHata shule za Katoliki pia kuna ambazo hawajarudishiwa.
Ila wamerudishiwa nyingi tofauti na wenzaoHata shule za Katoliki pia kuna ambazo hawajarudishiwa.
Mkatoliki mfu. Anajiita devout Catholic huku anaunga mkono mashoga na kutoa mimba! Baraza la Maaskofu Katoliki Marekani walikuwa kwenye debate kali awe excommunicated kwa kuunga mkono vitendo hivyo hadharani.Vipi kuhusu Joe Biden sio mkatoliki?
....?Raisi lazima awe mkatoliki,
Hii haina kushangaa jombaa , weka mgombea wako wa dhehebu nyingine uone kama atatoboa , Sana Sana aking'ang'anza itamgahrimu....?
Nje ya mada, inasadikika ubalozi wa Vatican upo hapo magogoniHii haina kushangaa jombaa , weka mgombea wako wa dhehebu nyingine uone kama atatoboa , Sana Sana aking'ang'anza itamgahrimu
Zaidi ya ....The role of Jesuits in Catholic ndilo jambo linalowabeba hawana cha maana zaidi
Ukichukua dhehebu mojamoja bado wakatoliki ndio wengi. Hawa protestants wamekuwa denominated sana. Waanglican kwa US wanajiita episcopalians, hawa na hawa wanaojiita evangelicals (sawa na huku tunaowaita walokole) hawako karibu sana kiitikadi.Hasa hasa Hawa wa Evangelical au waite KKKT kwa hapa wapo 25% ya population ila protestants wote ni kama 50 ya population.
Catholics ni 20% tu.
Sasa mkuu, hii katiba ya BAKWATA ni ya wa-sunni, au ya waislam wote nchini! Imekaa kibaguzi sana, hivyo inakosa sifa kuu za kuwa katiba.Tena rais muislamu ni lazima kuwa dhehebu la Sunni kwa sababu BAKWATA katiba yake inasema kwa kutamka bayana kuwa kiongozi mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania atatokana na Sunni..
Unaweza kuwa sahihi; lakini tupatie takwimu if we have to believe you.Wakatoliki ni wengi kuliko makundi mengine