Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

Hujui usemalo. Hao wanamaombi wanayemuomba ndiye Founder wa Catholic Church. Upende usipende hiyo ndio fact inawezekana hadi unafariki hutoiamini ila ukifika mbinguni utakuwa surprised (kama utakufa ktk Kristo).
Kuna madhehebu kadhaa yaliyoanzishwa kwa lengo mahsusi la kuushambulia ukatoliki.
 
Wakatoliki this wakatoliki that tumechoka. Somesheni watu wenu , jengeni taasisi imara sio kukaa kugombania sadaka na madaraka mtabaki wasindikizaji.
 
Hakika. Hata wasomi wengi wa kwanza wa nchi hii walikua Catholic
 
Wakatoliki Wana maekari kwa malefu ya maekari.

Hivyo lazima wale top mmoja wao atoke kwao ili kulinda maslahi yao.

Marekani kwa kipindi cha zaidi ya miaka 200 Biden ndio Rais wa kwanza mkatoliki kumaliza muda wake. Baada yaa JFK. Kuwa terminated...
Sijui hapa umeshutumu? umelalamika? Umekubali au umepinga au unasimulia?
 
Kuna madhehebu kadhaa yaliyoanzishwa kwa lengo mahsusi la kuushambulia ukatoliki.
Marekani walibuni ulokole na kuchomeka liberation gospel na matunda tunayaona ya kila mwenye biblia anafungua Kanisa. Lengo ni kuua au kupunguza nguvu ya Kanisa Katoliki baada ya kuona the so called "church reformation" ( BTW ni Church deformation) kushindwa kuua nguvu ya Kanisa.

Kama hili Kanisa lingekuwa ni nguvu ya mtu au taasisi ingeshabomoka! Lakini kwavile hawajui Founder ni nani ndio maana wanapambana na wasichojua.
 
We jamaa bana๐Ÿ˜….
umesababisha hata nilichokiandika nikifute, ngoja niliache tu๐Ÿ˜€.
Nisije nikaonekana nanyanyapaa bure
 
vile Rais na makamu wa rais lazime wawe Young African.
pia Waziri mkuu na speaker wa bunge anatokea simba.
 
hospital ya muhimbiri ilikuwa ya kanisa? acha kupotosha.
 
09 July 2023
Alberta, Canada

Jumuiya ya Ismailia ya Diaspora ya Tanzania nayo inafanya mengi, hawa ni mabalozi wetu na pia wanaweza kutia ushawishi mahusiano ya serikali ya Canada na Tanzania


This yearโ€™s Stampede Breakfast in Calgary highlighted 50 years of the Ismaili Muslim communityโ€™s significant presence in the country, as well as their subsequent contributions to the economic and social fabric of the country
 
Kuna siri kubwa sana kati ya Serikali(dola) na ukatoliki,
 
Kuna siri kubwa sana kati ya Serikali(dola) na ukatoliki,
Speculations tu nadhani na kama ni kweli basi hiyo ni kazi inafanywa individualy baina ya watu ambao wao kuwepo Serikalini ni advantage !

Wakuu wa Nchi wameshakuwepo wa Dini na madhehebu tofauti tofauti !
Na hata watumishi wengine Serikalini ni vivyo hivyo!
Je wote hao wameshindwa kuijua hiyo siri. ??!! Na hiyo siri itakuwa imetunzwa wapi pasipofikika ??!!

Na je hao wasio wakatoliki wameikubali hiyo siri au nao ni kama sisi hata hawaijui hiyo siri pamoja na kuwa wana nyadhifa za juu kabisa katika Nchi ??!! ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…. Vichekesho hivi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ !
Hakuna kitu kama hicho Bro !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ