Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
TrueThey undergo rigorous training in music
Ni manguli haswaYeah! kwenye kinanda hapo heshima!
Mikono na miguu inafanya kazi Kwa wakati mmoja ufundi uliopitiliza!Ni manguli haswa
Asante sanaView attachment 2743849 Hiyo hapo naomba baraka zako kama sijakosea
Barikiwa sanaAsante sana
Umeona hii kitu😁Mikono na miguu inafanya kazi Kwa wakati mmoja ufundi uliopitiliza!
Kwaya gani hii ?View attachment 2743849 Hiyo hapo naomba baraka zako kama sijakosea
Umeamua home boy naona beat ya Naja imehusika kwa uzi wa kikatolikiwajifunze kwa allan mapigo aisee. skiza hii
View attachment 2743853
lengo ni kinanda mzee baba, sikiliza keys kisha nambia unaipa ngapi chini ya 10Umeamua home boy naona beat ya Naja imehusika kwa uzi wa kikatoliki
HakikaKanisa Katoliki limejaliwa hazina ya watunzi bora kabisa wa nyimbo za Kanisa, na pia wapiga kinanda mahiri kabisa!!