Wakatoliki kwa kwaya na ufundi wa vinanda ni sawa na samaki na maji

Wakatoliki kwa kwaya na ufundi wa vinanda ni sawa na samaki na maji

Tahadhari: Huu uzi sio wa mashindano ya kidini.

Ungezingatia hilo katazo toka mwanzo wa huu uzi usingefikia hii level ya ujinga uliyo onesha.
Kwani nani kashindana kidini!?..halafu Uzi unakua vipi siyo wa dini wakati unazungumzia Ibada ya mapambio!?
 
Kwani nani kashindana kidini!?..halafu Uzi unakua vipi siyo wa dini wakati unazungumzia Ibada ya mapambio!?
Easy tafuta nyuzi za kushiriki nyingi humu kuliko hiki unacho fanya kuharibu lengo la uzi
 
Wakali wa vinanda vya wapi?Mbona naskia chord Moja kwenye nyimbo zote za Katoliki,yaani siwezi tofautisha melody za nyimbo zao,maana zote Zina sound the same.Sorry
 
Tahadhari: Huu uzi sio wa mashindano ya kidini.

Ungezingatia hilo katazo toka mwanzo wa huu uzi usingefikia hii level ya ujinga uliyo onesha.
1694250395503.png

May God, almighty, grant eternal peace to Mwalimu Julius Kambarage Nyerere!
 
Dah,eti mama wa Mungu!!..halafu walokole wakisema yesu Mungu wakatoliki mnapinga,yaani hamna uhakika mnaabudu nini
Hakuna Mkatoliki anayepinga kuwa Yesu ni Mungu. Ndio maana hapo So Special ametuambia kuwa Wimbo aliouweka humu umeimbwa na kwaya ya kanisa katoliki, parokia ya Bikira Maria Mama wa Mungu; huyu ni Mama wa Yesu Kristo. Yesu Kristo ni nafsi ya pili ya Utatu Mtakatifu, yaani Mungu Mwana. Kwahiyo ni sahihi kabisa kusema Bikira Maria ni Mama wa Mungu, na hakuna mkatoliki na madhehebu mengine ya Kikristo yanapinga Yesu ni Mungu!
 
Tahadhari: Huu uzi sio wa mashindano ya kidini.

Ungezingatia hilo katazo toka mwanzo wa huu uzi usingefikia hii level ya ujinga uliyo onesha.
JF mkuu ni kama kokoro imejaza na matakataka. Sasa anashangaa nini Maria Kuitwa Mama wa Mungu? Halafu alishamsikia Mkatoliki gani anapinga kwamba Yesu ni Mungu? Bure kabisa!
 
Mwenye wimbo ule unitwa WOSIA wa kwaya ile ya bukoba aniwekee ili nidownload,maana nataka kuufanya kwa caller tune
 
Back
Top Bottom