Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
-
- #41
Haaaaaaah! Umenifurahisha sana😁Nyimbo nyingi za RC nzuri sema za kwaresima huwa nazipenda ukisikiliza unapata utulivu kidogo unahisi sasa ni wakati wakurudi katika njia sahihi
Kwani nani kashindana kidini!?..halafu Uzi unakua vipi siyo wa dini wakati unazungumzia Ibada ya mapambio!?Tahadhari: Huu uzi sio wa mashindano ya kidini.
Ungezingatia hilo katazo toka mwanzo wa huu uzi usingefikia hii level ya ujinga uliyo onesha.
Easy tafuta nyuzi za kushiriki nyingi humu kuliko hiki unacho fanya kuharibu lengo la uziKwani nani kashindana kidini!?..halafu Uzi unakua vipi siyo wa dini wakati unazungumzia Ibada ya mapambio!?
Kaanzishe forum ambayo utachagua watu wa kuchangia nyuzi zakoEasy tafuta nyuzi za kushiriki nyingi humu kuliko hiki unacho fanya kuharibu lengo la uzi
Poa siku njemaKaanzishe forum ambayo utachagua watu wa kuchangia nyuzi zako
Hii sio kama waliimba wanakwaya wa kanisa la makuburiKwaya ya Mtakatifu Kizito "Mimina Neema"
Ndio Mt. Kizito MakuburiHii sio kama waliimba wanakwaya wa kanisa la makuburi
yeah kweliNdio Mt. Kizito Makuburi
Tahadhari: Huu uzi sio wa mashindano ya kidini.
Ungezingatia hilo katazo toka mwanzo wa huu uzi usingefikia hii level ya ujinga uliyo onesha.
Hakuna Mkatoliki anayepinga kuwa Yesu ni Mungu. Ndio maana hapo So Special ametuambia kuwa Wimbo aliouweka humu umeimbwa na kwaya ya kanisa katoliki, parokia ya Bikira Maria Mama wa Mungu; huyu ni Mama wa Yesu Kristo. Yesu Kristo ni nafsi ya pili ya Utatu Mtakatifu, yaani Mungu Mwana. Kwahiyo ni sahihi kabisa kusema Bikira Maria ni Mama wa Mungu, na hakuna mkatoliki na madhehebu mengine ya Kikristo yanapinga Yesu ni Mungu!Dah,eti mama wa Mungu!!..halafu walokole wakisema yesu Mungu wakatoliki mnapinga,yaani hamna uhakika mnaabudu nini
Wivu tu pumbavuWakali wa vinanda vya wapi?Mbona naskia chord Moja kwenye nyimbo zote za Katoliki,yaani siwezi tofautisha melody za nyimbo zao,maana zote Zina sound the same.Sorry
JF mkuu ni kama kokoro imejaza na matakataka. Sasa anashangaa nini Maria Kuitwa Mama wa Mungu? Halafu alishamsikia Mkatoliki gani anapinga kwamba Yesu ni Mungu? Bure kabisa!Tahadhari: Huu uzi sio wa mashindano ya kidini.
Ungezingatia hilo katazo toka mwanzo wa huu uzi usingefikia hii level ya ujinga uliyo onesha.