Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,387
- 4,880
Juu ya Mwamba huu ntalijenga kanisa langu wala milango ya kuzimu/shetani hatalishinda.
Ni nyakati nyingine tena Kuzimu pamoja na Mashetani yake yameibuka tena wakitaka kupambana na Kanisa la Yesu mwenyewe.
Waambieni watawala hawapambani na Wakatoliki bali wanapambana na Yesu Mfalme mwenyewe.
Kanisa Katoliki sio la Fr Kitima wala Askofu Mkuu Ruwaichi ni Kanisa aliloanzisha Yesu mwenyewe.
Na hakuna Kuzimu wala Mashetani watalishinda kanisa.
Kupitia haya mazonge yanayoendelea nje ya kanisa, Wakristo wametambua maadui zao wakubwa ni nani.
Maadui wakubwa wa imani ya Kikristo sio ndugu zetu madhehebu wengine bali ni Mashetani.
Shetani anatabia ya kuwatumia watu na mwisho wa siku anakaa pembeni anakucheka.
Leo Shetani ameamua kuwatumia Watawala wa Taifa hili pamoja na Chama cha Mapinduzi kupambana na imani ya Wakatoliki.
Tuwakumbushe kanisa katoliki lingekufa zamani sana kama lisingekua kanisa la Yesu mwenyewe, wapo watawala makatili sana akina mfalme Nero waliasi dini na kuanza kuchinja Wakristo.
Leo wamebaki historia na kanisa bado lipo, washaurini watawala na Ccm warudishe ala zao viunoni kabla Mwenyezi Mungu hajawapa kisogo na kuishia kuchuma Laana wao na familia zao.
Kristo ni yule yule jana, leo na hata Milele.
Kwa vile wakristo sio watu wa Kuu kwa Upanga nategemea Viongozi watatupa Utaratibu wa Siku ya Kufunga na Sala kwa ajili ya Kuliombea kanisa na Watesi/maadui zake.
St Joseph Pray for Us, St Joseph terror of the demons Protect your Church.