Wakatoliki ni mfano wa kuigwa na imani zote za kidini kwa kujikubali imani yao

Wakatoliki ni mfano wa kuigwa na imani zote za kidini kwa kujikubali imani yao

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Wakatoliki wao walishajikubali na mambo yao ya imani, huwa hawajitetei sana, hawana maelezo mengi au hawatafuti sayansi kuunga mkono mambo ya imani yao, wao imani yao wameamua kuipokea na kuiishi bila reasoning ya aina yoyote na wanakiri hivyo.

Hawana porojo nyingi za kuhalalisha imani yao na hawagombani na mtu anayeiona imani yao ni kituko au cult kama cults nyingine zozote. Imani zote za kidini zilitakiwa ziwe kama Ukatoliki.
Screenshot_20250427-214850_X.jpg


Screenshot_20250427-214516_X.jpg
 
Ndio baba wa madhehebu yote ya kikristo na bado wanatupiga vita na hatukasiriki tuko busy na toba tunamuomba mungu atukumbuke siku ya mwisho
 
Roman Catholic imenikuza na kunisomesha, kweli imeniweka huru.
Mafundisho ya makuzi kwenye uroma yanamfanya mtu kuwa zezeta.
Hata ukiwa na PhD kwenye uroma wewe ni kondoo.
Fafanua kidogo, tupate maarifa.
 
Roman Catholic imenikuza na kunisomesha, kweli imeniweka huru.
Mafundisho ya makuzi kwenye uroma yanamfanya mtu kuwa zezeta.
Hata ukiwa na PhD kwenye uroma wewe ni kondoo.
Unakaribia kuchanganyikiwa wahi hospital
 
Back
Top Bottom