Wakatoliki ni mfano wa kuigwa na imani zote za kidini kwa kujikubali imani yao

Wakatoliki ni mfano wa kuigwa na imani zote za kidini kwa kujikubali imani yao

Wakatoliki wao walishajikubali na mambo yao ya imani, huwa hawajitetei sana, hawana maelezo mengi au hawatafuti sayansi kuunga mkono mambo ya imani yao, wao imani yao wameamua kuipokea na kuiushi bila reasoning ya aina yoyote na wanakiri hivyo.

Hawana porojo nyingi za kuhalalisha imani yao na hawagombani na mtu anayeiona imani yao ni kituko au cult kama cults nyingine zozote. Imani zote za kidini zilitakiwa ziwe kama Ukatoliki.
View attachment 3317847

View attachment 3317848
nini kimetokea mpaka linatumika neno "cult" ---
 
Roman Catholic imenikuza na kunisomesha, kweli imeniweka huru.
Mafundisho ya makuzi kwenye uroma yanamfanya mtu kuwa zezeta.
Hata ukiwa na PhD kwenye uroma wewe ni kondoo.
Rejea kwa Filipo Mpango. Ukweli mtupu
 
Sijui ni msemo au nahau au Msimu..

"Shetani akizeeka hugeuka malaika"

Historia ya Roman Catholic huko nyuma enzi za Roman empire/Dola la Rumi ', Constantine mpaka Karne ya 15, ilifanya uharibufu Mkubwa,na ukatili mkubwa, Mfano Witch hunter (Malleus maleficarum) na social life monopoly.

Hivyo limepata Mafunzo Mengi na kujifunza, kisha kwenda kwa upole na hekima katika Karne zinazokuja.
 
Hiyo post ya Wanjiru nadhani atakuwa mkenya.


Jana nilikuwa natazama KTN television ya Kenya.


Kulikuwa na mjadala kuhusu itikadi Kali/Imani itikadi Kali.


Kuna raia wa Kenya Wenye itikadi kali wanatrend , wao wanagoma kwenda hospital, mpaka wengine wanakufa, Imani imewajaa mioyoni mwao.

Kwenye mjadala huo wa KTN television, kulikuwa na apostle akawa ananukuu vifungu vya Agoni jipyaa, kuhusu manabii wa uwongo na zama za mwisho Marko 13:14-27.

Kisha apostle akaulizwa ni kwelii apostle tupo katika zama za mwisho au... Bado???

Apostle alipata wakati mgumu kujibuu, swalii lilikuwa gumu sana kwake.
 
Back
Top Bottom