Wakatoliki sasa wanaelewa kwa nini Padre Martin Luther alimpinga Papa na kuanzisha dhehebu la Lutheran

Suala la kumzuia Mwanaume rijali tena anayekula vizuri kuoa ndio kunazalisha Mashoga
Hii ni hatari Ila tu nikusahihishe kidogo mapadri hawaoi ndio Ila sio kwamba hawazalishi wanazalisha wana watoto wale wana wajukuu wale usiwaone vile, hivi ushasikia mara ngapi padri fulani imetokea hivi nyumba ya wageni hata hapa juzi umesikia kuna padri amefia huko eeh Ila tu wanachoweza kufanya ni kwa uSiri mkubwa mno ni ngumu kuwagundua kua wanawatafuna baadhi ya kondoo na baadhi ya kondoo wakianza kushtukia mchezo utaona anahamishwa na kuhamishiwa kwingine na huko akifika ni suala la muda tu anaanza kuwatafuna kondoo kwa uSiri wa hali ya juu

Pole
 
Tayari nimeshaanza taratibu za kijiunga Lutheran.
 
Kwahiyo mpaka Askofu Ruwaichi hajaelewa papa alichokisema!.?
 
Huo ufimenist umeanzia huko huko Vatican...
Msichokijua na kukataa PApA ndiye mpinga kristo yaani roman Catholic ndio mratibu wa laana zote za dunia hii tunaojua siku nyingi tunafurahishwa na muda
 
Huo ufimenist umeanzia huko huko Vatican...
Msichokijua na kukataa PApA ndiye mpinga kristo yaani roman Catholic ndio mratibu wa laana zote za dunia hii tunaojua siku nyingi tunafurahishwa na muda
Imani za mapokeo bila kuchunguza Biblia kiukweli huingiza Watu chaka sana, cha ajabu Watu wana macho hawaoni, wana masikio hawasikii kabisa ili kumkimbia Ke Kahaba (Kanisa la uwongo).

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Na kanisa lenyewe halijaficha uongo wake ila waumini ni kama mazombi
 
Yani unaandika kabisa Martin Luther alikuwa sahihi wakati ameruhusu wachungaji kufunga ndoa, uliona wapi wanafunzi wa Yesu Kristu waliambatana na wake zao kutangaza injili?

Huko Lutheran siku hizi naona mna mpaka wachungaji wanawake, sijui mmeyatoa kwenye biblia ipi haya mambo?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
 
Wakatoliki huwa wanakuja sana kusali lutheran wanakuja kimya kimya tunawapokea.
 
Ulutheri ni mafundisho ya wanadamu hakuna kabisa la Mungu hapo! Miulize huyo Martin Luther aliwekwa wakfu na nani?
Hahaha, unashangaza sana na inaelekea hujui chochote

Ukatoliki haufuati maagizo ya Biblia, unafuata maagizo ya viongozi wa kirumi na ndio maana ya Liturgia

Na kwa hapo both RC na Lutheran hakuna wa kumshangaa mwenzie kwsbb wote wanafuata Liturgia na Katekisimo na ratiba mwongozo wa kanisa kwa mwaka mzima

Roman ilianza kwenda kinyume na Biblia kuanzia kwenye habari ya "Amri kumi za Mungu" Emperors wa kirumi walibadilisha

Unataka nikuoneshe ushahidi?
 
Acha Uongo, Uongo haufuti Ukweli

Mkibanwa mnatapatapa

Cha kukusaidia tu, pitia sababu 95 za Martin Luther alizobandika mlangoni na kuacha upadri, sababu zote zina mashiko

Ulitaka Wachungaji wasiruhusiwe kuoa ili wawe mashoga au wawe na michepuko kila kona kama Mapadri?

Hamsujudu sanamu?

Hamuungami dhambi kwa padri (Binadamu mwenzio) na yeye ndio anakutangazia msamaha wa dhambi [emoji1787]

Hamsali kwa kumpitia Bikira mariam badala ya Yesu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee unaumia nn, yeye akiwa shemale?
Nawajibika kwa athari atakazoleta kwenye jamii yangu hasa watoto wangu wa kiume.

Maana mtu kama huyo amechanganyikiwa kabisa hata jinsia yake haijui,nachelea kusema hata kwenye jamii atapata shida kujua majukumu yake ni yapi, akae mbali na wanangu.

shemale? really!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee unaumia nn, yeye akiwa shemale?
Afu ujue wanawake ndo mnapush ushoga, ukienda tiktok kila comedian anajifanya jike na madem wanapenda kinomaaa. Kwanini mnapenda mashost mashoga?

Huwa najiuliza inashindikana kufanya comed kwa jinsia yako halisi ili na wale wa jinsia jirani watumie nafasi yao?

Wanawake mkionyesha kutopemdezwa na hizo pigo hata wao wataacha, ujue maisha ni mtazamo mfano tangu wanaume tuwaonyeshe wanawake kua tunapenda matako basi akili zenu zimehamia uko matakoni.
 
Naona Catholic na Anglican wanaenda kuwa kitu kimoja.
Ni kheri Lutheran walioruhusu makasisi wao (wachungaji) kuoa na wanawake kuolewa.
kwani anglican nao mbona makasisi wao nao wanaoa.
Halafu kutokuoa ama useja inahusiana vipi na hilo tangazo?
Vile iwavyo katoliki ni kanisa kongwe na lisiloruhusu kupelekwa na upepo wa mabadiliko ya dunia yasokuwa na mantiki ama msingi wa imani. Hili la ushoga halitaweza kupenyeza kanisani. Kanisa lipo imara. Mawakala wa ushoga wa magharibi ndani ya kanisa watafurukuta sana kuupenyeza ila hawataweza.
 
Uko sahihi japo huo wimbo hakutunga yeye
 
Wewe ni mgeni humu mkuu? Huyo sio mwanamke,huyo ni mpunga! Uliza vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…