James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Kikubwa ni kuhubiri kama inavyotakiwa. Ktk biblia kulikuwa na viongozi wanawake na manabii wanawake pia. Ingawa jamii ilikuwa na mfumo dume hivyo vingi vilivyoandikwa vilitawaliwa na wanaume.Yani unaandika kabisa Martin Luther alikuwa sahihi wakati ameruhusu wachungaji kufunga ndoa, uliona wapi wanafunzi wa Yesu Kristu waliambatana na wake zao kutangaza injili?
Huko Lutheran siku hizi naona mna mpaka wachungaji wanawake, sijui mmeyatoa kwenye biblia ipi haya mambo?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app