Wakatoliki sasa wanaelewa kwa nini Padre Martin Luther alimpinga Papa na kuanzisha dhehebu la Lutheran

Kikubwa ni kuhubiri kama inavyotakiwa. Ktk biblia kulikuwa na viongozi wanawake na manabii wanawake pia. Ingawa jamii ilikuwa na mfumo dume hivyo vingi vilivyoandikwa vilitawaliwa na wanaume.
 
Ukristo tu ndio wenye usalama wa kiroho,huko kwingine Shetani kaweka kambi kitambo!
 
Lengo ni kumpinga Mungu na mambo yake. Hakuna mfumo Jike na Hautaweza tawala Dunia. Hii nadhani ndo Wakristo wanasema Mpinga Kristo. Wanampinga Mungu na KUWAFARAKANISHA WATU NA MUNGU. yaani kuasi.
 
Waliojitenga waliwaita waprotestanti, hadi leo we kama si mkatoliki wanakuita mprotestanti
 
Wewe mtu tu akiweka profile picture ya kike basi ni mwanamke!!!Ayaaa..

Huyu uliyem reply pengine ni walewale kwa jinsi nilivyofuatilia mienendo yake humu jamvini
 
Wewe mtu tu akiweka profile picture ya kike basi ni mwanamke!!!Ayaaa..

Huyu uliyem reply pengine ni walewale kwa jinsi nilivyofuatilia mienendo yake humu jamvini
Kina PungaSese
 
Mkuu sidhani kama wanaelewa.Wakatoliki ni watu wagumu sana wa kukubali ukweli.Ila in principle sio wao tu madhehebu yote yana tabia hiyo.Lakinii, hata Protestants waliotoka Roma mbona wamesha sign mikataba ya kurudi Roma,it was wasted effort and time on the part of Martin Luther,very sad indeed.Waliobaki ku-sign mkataba ni Pentecostals,ambao nao mazungumzo hata hivyo yapo kwenye very advanced stages ili waweze kurudi.
 
Wanaweza kuendelea kua wakatoliki ila sio chini ya uongozi wa papa kama walivyofanya Anglican wa africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…