Kyenyabasa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 247
- 715
Utashangaa ukihudhuria ibada ya kikatoliki labda mwanza masomo yatakayosomwa hapo Mwanza ni sawa na somo litakalosomwa Bukoba, Mbeya, Shinyanga, Lindi, Mtwara, Tanga nk yaani nchi nzima ujumbe utakaotolewa ni uleule bila kupungua au kuongezeka.
Hiki kitu sijakishuhudia katika makanisa mengine. Inakuwaje wakatoliki wakafanikiwa katika hili na hakuna ubishani!?
Karibu wajuvi.
Hiki kitu sijakishuhudia katika makanisa mengine. Inakuwaje wakatoliki wakafanikiwa katika hili na hakuna ubishani!?
Karibu wajuvi.