Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Neno "propaganda" umelitumia pasipo pake.Ni wataalam na waanzilishi wa propaganda... Walijua ni namna gani crowd inafikiri na kuunda hisia pia ni Namna gani wanaweza ikwapua ridhaa Yao bila wao kujua hasa katika public opinion formulation.
Control mawazo Yao kisha wape Elimu yako.