Wakatoliki walifanikiwaje kuweka utaratibu wa kiibada unaofatwa karibu ilimwenguni kote?

TUNAANGAMIZA KWA KUTOSOMA MAANDIKO.

Mtafuteni Mzee wa siku kwenye Biblia MJUE.
Daniel 4 :7
Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa, na mmoja aliye mzee wa siku ameketi; mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi; kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na gurudumu zake moto uwakao.

Danieli 7 :22
hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme.

MZEE WA SIKU NI PAPA AKIPOKEA HUKUMU KWA MUNGU.
MOTO UMEKWISHA ANDALIWA KWAAAJILI YAKE AMKENI JAMANI.
 
2. Wameanzisha ibada za Sanamu katekisim Yao imefuta AMRI za Mungu AMRI ya pili.

Katekisim Yao imeruhusu kunywa pombe na KIVITA sigara.
 
3. Wameamua KUBADIRI majira na nyakati Kutoka siku ya Jumamosi na kuhamia siku ya jumapili, WAMEBADILI ikawa jioni ikawa Asubuhi. Wao wakaweza saa sita usiku kuwa siku mpya Baada ya saa kumi na mbili.
 
4. Wameruhisu na wanafungisha ndoa za Jinsia Moja, wanawalawiti WATOTO vatkan.

Papa shetani ameruhisu USHOGA.
 
5. KIBAYA zaidi VATCAN imeamua kuanzisha UISLAMU. SHETANI Mbaya sana SHETANI MBAYA MNO.

HILO NI KANISA LA MASHETANI
 
WARUMI, WAZEE WA KIYAHUDI NDIO WALIOMUUA YESU.
UTAWALA WA KIRUMI NDIO ULIO MSURUBISHA YESU.


Warumi ndio waliomsulibisha (Mathayo 27:27-37). Kusulubiwa ilikuwa njia ya Kirumi ya kunyonga, iliyoidhinishwa na kutekelezwa na Warumi chini ya mamlaka ya Pointio Pilato, gavana wa Kirumi ambaye alimhukumu Yesu. Askari wa Kirumi waligongerea msumari kwa mikono yake na miguu, kikosi cha Kirumi kilisimamisha msalaba na askari wa Kirumi alimdunga mkuki upavuni mwake (Mathayo 27:27-35)

Watu wa Israeli pia waliridhika na kifo cha Yesu. Wao ndio wapasa sauti, "Asulubiwe! Asulubiwe!" aliposimama mbele ya Pilato (Luka 23:21). Pia waliomba mwizi Baraba afunguliwe badala ya Yesu (Mathayo 27:21). Petro anadhibitisha hili katika Matendo 2:22-23 wakati aliwaambia wanaume wa Israeli, "nanyi mkamuua kwa kuwaachia watu wabaya wamsulubishe." Hakika kuuwawa kwake Yesu ilikuwa ni njama iliyowahuzisha Rumi, Herode, na viongozi wa Kiyahudi na watu wa Israeli, makundi tofauti ambayo hayakuwai fanya kazi pamoja tangu mwanzo, lakini wakaja pamoja wakati huu mmoja kufanya njama na kutekeleza lile lisilofikirika: mauaji ya Mwana wa Mungu.

Mwoshowe, na pengine kiajabu, ilikuw ni Mungu aliyemfanya Yesu kufa. Hili lilikuwa tendo la juu sana la haki ya kiungu liliwai fanyika "Kufuatana na mpango wake mwenyewe Mungu" (Matendo 2:23) na kwa kusudi kuu. Kifo cha Yesu msalabani kulituhifadhia wokovu mara milioni isiyohesabika na kupeana njia pekee ambayo Mungu angeweza kusamehe dhambi bila kuaibisha utakatifu Wake na haki Yake kamilifu. Kifo cha Yesu ulikuwa mpango kamilifu wa Mungu wa ukombozi wa milele wa walio wake. Mbali na kuwa ushindi kwa Shetani, vile wengine wamekisia, au mkasa usiostahili, lilikuwa tendo kuu la neema ya wema na huruma ya Mungu, dhihirisho la juu la upendo wa Baba kwa wenye dhambi. Mungu alimfanya Yesu afe kwa sababu ya dhambi zetu ili tuweze kuishi bila dhambi na haki mbele zake, haki iwezekanayo pekee kupitia kwa msalaba. "Kristo hakuwa na dhambi, lakini Mungu alimfanya ahusike na dhambi kwa ajili yetu, ili sisi kwa kuungana naye, tupate kuushiriki uadilifu wake Mungu" (2 Wakorintho 5:21).

Kwa hivyo sisi ambao tumekuja kwa Kristo kwa imani tuna hatia ya damu yake iliyomwagika msalabani kwa ajili yetu. Alikufa ili alipe adhabu ya dhambi zetu (Warumi 5:8; 6:23)
 
6. Kanisa limeamua KUMUABUDU bikra maria .

Kuabudu Rozali...

Hakuna kitu kama hicho kwenye bibilia Muombezi wetu ni Yesu tu

UKITAKA KUPOTEZA NI KUMUABUDU MNYAMA Mwanamke aliyeketi juu ya mnyama mwenye kikombe Cha Machukizo.
 
Umeandika UWONGO.
Kanisa limeanza siku ya Pentecoste (Siku 50 baada ya Yesu Kristu Kufa/Kufufuka). Ile siku waliyonena kwa lugha wakati akipaa mbinguni ndipo Kanisa lilianza chini ya Mtume Petro kama Kiongozi/Pope wa kwanza.

Mwaka 325 ni mwaka ambao Mfalme Constantine wa aliruhusu Dola ya Urumi (Roman Empire) kutambua kanisa. Kati ya Karne ya 1 na ya 3 Kabla ya Mfalme Constantine Roman Empire ilikuwa inawatesa wafia dini (crusaders).
 
VIJANA MSIPOTEE SOMENI SANA MAANDIKO SOMENI UFUNUO NA DANIEL SIRI ZOTE ZA DUNIA ZIMEFICHWA HUMO MATUKIO YOTE YAMEWEKA HUKO HADI MIAKA.

KANISA KATOLIKA HALIKUANZISHWA NA PETRO BAADALA YAKE ROMAN EMPIRE ILIKUWA NI ADUI MKUBWA SANA WA KRISTO NA KANISA LAKE.

KANISA LILIANZISHWA NA YESU MWENYEWE akamkabidhi Funguo Petro NA wanafunzi wa WENZIE.

Ila walikiona Cha Moto kutoka kwa WARUMI Roman Empire.

Wakina Petro waliuwawa na WARUMI kwa kusurubishwa msalabani Kichwa chini Miguu juu.

Akina YOHANA waliwekwa Hadi kwenye mapipa ya Mafuta kuchomwa moto.
Wakakimbilia kisiwa Cha Patmo.

Akina Stefano waliuwawa na Dola ya kirumi. Roman empire.

ASOMAYE NA AFAHAMU.
ROMAN SI KANISA LA MUNGU.
 





Huwa kila baada ya miaka mingi huwa tunafanya mikutano mikubwa na mirefu, mikutano hiyo inaitwa MTAGUSO.
Wakiwa humo, wanazuoni wa kanisa hujadili mambo mengi sana hadi kufikia muafaka.

Kanuni ya imani ni miongoni mwa mazao ya mtaguso wa Nicea.



Ni noma.
 
Yani hpa umeongelea nchi tu tena baadhi ya mikoa

Ila sisi waislamu ibada zetu ni dunia nzima kila sehemu utakayoenda dunia hii ukakuta msikiti basi wanaswali kma ulipotoka
Ni mfumo wa Dunia nzima. Lugha inaweza kutofautiana lakini maandiko yanayosomwa Kwa siku ni yaleyale na mzunguko huo wa miaka ABC unahakikisha Biblia yote inasomwa. Mimi nikiwa Ujerumani nasikia liturjia Ile Ile kama ya mtu aliye Tanzania. Tofauti ni lugha tu
 
HIMARS soma hiyo makala juu ya kuabudu sanamu
 
Kristu...
 
Kwa kuwa ni kanisa Yesu alilomwaxhia Petro, na ushahidi upo wazi. Anayebisha na abishe.
Hayo mengine yalianzishwa baada ya kushindwa Kwa kutaka maslahi binafsi. Ndio maana mpaka kesho yanazidi kugawanyika haya kuwa na matapeli kama waliojazana mijini
 
Sio kweli ss kagera ibada inaendeshwa kwa lugha ya kihaya
 
Nenda shule kaongeze Elimu
Kuna mwanafalsafa kutoka ujerumani Immanuel Kant, amezungumza kuhusu deontology theory pia msome Jeremy Bertham ameandika kuhusu utilitarianism theory.
Achana na metaphysics dini na mapokeo sijui matoleo yameandikwa na binadamu.
Niko pale nimekaa nakunywa grants.
Mbinguni na peponi ni misemo tu itapita
 
Mkuu tunashukuru kwa kutushirikisha hii thesis ya yule nabii mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…