Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Neno "propaganda" umelitumia pasipo pake.Ni wataalam na waanzilishi wa propaganda... Walijua ni namna gani crowd inafikiri na kuunda hisia pia ni Namna gani wanaweza ikwapua ridhaa Yao bila wao kujua hasa katika public opinion formulation.
Control mawazo Yao kisha wape Elimu yako.
Mkuu tunashukuru kwa kutushirikisha hii thesis ya yule nabii mke.
Asante sana Boss.
Asomaye na Afahamu.
Mwenye masikio ya kusikia na ASIKIE.
[emoji120]
Ujipaisha bule tu wakirito wote mungu wenu yesu mwana wa mariamuNasadiki kwa Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume", period
Na ndiyo dini ya ukweli ya Ukristu ambayo ilianzishwa na Mtume Petro alipokabidhiwa kondoo awachunge na Bwana Yesu Kristu (Mathayo 16:18). Wengine wote ni waprotestanti na wapinga kristo.
Wasabato siyo DHEHEBU LA KIKRISTU bali ni CULT iliyoanza baada ya Nabii wa Uwongo kushindwa utabiri wake juu ya mwisho wa Dunia kuwa ni mwaka 1844
Kulingana na Pope Urban 1627 mana halisi ya neno hili limegawanyika ktk tafsiri nne...mojawapo ni juhudi zozote za kimkakati kutoka sapoti ya jumla toka kwa Jamii hasa katika maoni wanayoyawasilisha kwenda kwa Jamii hy.Neno "propaganda" umelitumia pasipo pake.
Hivi ujilio wa pili ni lini mkuu maana ule wa kwanza mama alitupiga changa la macho
Ujipaisha bule tu wakirito wote mungu wenu yesu mwana wa mariamu
Tumaini LetuKristu...
Hatuna yesu bali tuna Yesu mwana wa Mungu aliyezaliwa na Bikira Maria kwa njia ya roho mtakatifu. Bakini na huyo nabii Issa wenu kamwe msimfananishe na YesuUjipaisha bule tu wakirito wote mungu wenu yesu mwana wa mariamu