comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Akina Mohammed na mwajuma walikua wengi miongoni mwaoNimepenyezewa hapa habari za ukweli kabisaa na mtu aliekua kwenye press ya wakatoliki leo, naskia nyuma ya camera kuna mtu si akaleta bwana sinia la mbuzi katoliki na ndizi kama kuwashkuru wakatoliki kuungana.
Naskia bwana wale jamaa wengi wao wakasema wao dini yao hairuhisu kula MBUZI KATOLIKI
sasa hapa najiuliza hawa ni wakatoliki wa sampuli gani.
Walinuna tuHawakuanguka kwa majini kupanda kichwani kweli?
Ah bc hao n walaji sirini ila public Ndo wanauchunaWalinuna tu
Wale ni kobazAh bc hao n walaji sirini ila public Ndo wanauchuna
madelu anachokifanya atashindwa vibaya, aachane na mipango bifu na kanisa katolikiMichingo ya madelu hiyo
Mungu hadhihakiwimadelu anachokifanya atashindwa vibaya, aachane na mipango bifu na kanisa katoliki