Wakatoliki wenzangu hivi ni kwanini Mapapa wengi huwa tunawachagua wakiwa ni Wazee na huja Kugundulika na matatizo ya Kiafya baadae

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hakuna uwezekano wa kufanyika Mabadiliko wawe Wanachaguliwa Vijana au Wazee wa Makamu kuwa Mapapa? Na huko Vatican wakati wanachagua hawa Mapapa huwa wanakuwa Makini sana pia kuangalia na Hali zao za Kiafya kwani Wakatoliki (GENTAMYCINE nikiwemo) tumechoka na Vifo vyao vitokanavyo hasa na Afya zao na Umri kuwa umekula Maili / Kilomita za Kutosha hapa duniani.

Tumsifu Yesu Kristo.........Milele Amina.
 
Kama nani?
Hao wameshatulia.
Kufa kwani vijana hawatakufa?
Yuko wapi Kadinali Protase? Tokea apewe zawadi ya joho sijamsikia
 
Yule kijana wa kihaya mtanzania pengine moshi mweupe unaweza kumzukia yeye na ikawa rekodi papa mweusi kutokea afrika
Mtanzania awe Papa? Nitaukweka (Nitakunya) mubashara (live) kutoka hapa Kampala hadi Dodoma Makao Makuu TZA.
 
Stages unazotakiwa kupitia mpka kuwa papa siyo rahisi kumkuta mhusika kuwa kijana lazima utakuwa above 50
 
Mkuu kila nikisoma tu ID yako nabaki Kucheka tu. Una vituko sana Mkuu yaani Majina yote ukaamua kabisa Ujiite hivyo JF?
 
Kwani shida ni nini mbona wapo ambao walitokea Afrika ingawani ni miaka ya nyuma sana
Nilidhani ungewataja ila naona umebakia Kutusimulia tu kama ambavyo nawe pia uliweza Kusimuliwa na Waliokuokota.
 
Hakuna uwezekano wa kufanyika Mabadiliko wawe Wanachaguliwa Vijana au Wazee wa Makamu kuwa Mapapa? Na huko Vatican wakati wanachagua hawa Mapapa huwa wanakuwa Makini sana pia kuangalia na Hali zao za Kiafya kwani Wakatoliki (GENTAMYCINE nikiwemo) tumechoka na Vifo vyao vitokanavyo hasa na Afya zao na Umri kuwa umekula Maili / Kilomita za Kutosha hapa duniani.

Tumsifu Yesu Kristo.........Milele Amina.
Lini umemchagua Papa?

Amandla...
 
Hakika umeongea ukweli,lakini mimi nina mawazo tofati[ ni hisia zangu,sio kwamba nina ushahidi wowote kuhusu hili jamb],,mimi hisia zangu nahisi wanaogopa KASHFA,nikiwa na maana wakichagua papa kijana,bado anakuwa na nguvi za kiume,kwa anaweza kuingia ktk zinaa mapaparzi wakamstukia na ikawa,balaa[nadhani asijua fujo za mapadre vijana-sio wote,baadhi,]wengine mpaka wana watoto,,angalia ata wachungaji nahao wanaojiita manabii vijana,wanatembea mpaka waumini] sasa akichaguliwa papa mzee anakuwa ameishiwa nguv za kiume[bora aishi miaka michache ya upapa na kufa,kuliko kanisa kupata kasha,,,,],,,jamani narudia tenahizi ni HISIA ZANGU,,,unakumbuka bill clinton wakati anaingia madarakani,,,,,alikuwa kija sana,matokeo yake alipata kashfa ya kufanya ngo ofisini,,,,,,,HISIA ZANGU!!!
 
Ni sawa na kusema mbona Professors wengi ni wazee? Kuna ngazi katika Kanisa, Kuanzia Laymen, Mapadre, Maaskofu, Maaskofu Wakuu, Makardinali na Makardinali wenye Uwezo na Umri Sahihi Wa kushiriki katika mchakato mzima wa kumpata mwakilishi na Mtu Sahihi wa Kuketi kwenye kiti cha Mtume Petro (Fisherman)
 
Alaikua anaitwa FRANCIS ARINZE.
Alaikua anaitwa FRANCIS ARINZE.
Kutokea upadrisho mpaka kifika hapo ,
Hakuna uwezekano wa kufanyika Mabadiliko wawe Wanachaguliwa Vijana au Wazee wa Makamu kuwa Mapapa? Na huko Vatican wakati wanachagua hawa Mapapa huwa wanakuwa Makini sana pia kuangalia na Hali zao za Kiafya kwani Wakatoliki (GENTAMYCINE nikiwemo) tumechoka na Vifo vyao vitokanavyo hasa na Afya zao na Umri kuwa umekula Maili / Kilomita za Kutosha hapa duniani.

Tumsifu Yesu Kristo.........Milele Amina.
watu wanafika age imekwend akweli kweli
 
Nilidhani ungewataja ila naona umebakia Kutusimulia tu kama ambavyo nawe pia uliweza Kusimuliwa na Waliokuokota.
How many African popes have led the Catholic Church?

Three early popes were from the Roman Africa Province. These were Pope Victor I (reigned c . 189 to 199), Pope Miltiades (reigned 311 to 314) and Pope Gelasius I (492 to 496); all three were North African men.
 
Ni sawa na kusema mbona Professors wengi ni wazee? Kuna ngazi katika Kanisa, Kuanzia Laymen, Mapadre, Maaskofu, Maaskofu Wakuu, Makardinali na Makardinali wenye Uwezo na Umri Sahihi Wa kushiriki katika mchakato mzima wa kumpata mwakilishi na Mtu Sahihi wa Kuketi kwenye kiti cha Mtume Petro (Fisherman)
Au mtu kuwa Major general, au brigedia General huwezi kukuta mtu an miaka 40 apate hivyo vyeo
 
Back
Top Bottom