Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Vijana bado damu changa wengi wanapeleka moto.Hakuna uwezekano wa kufanyika Mabadiliko wawe Wanachaguliwa Vijana au Wazee wa Makamu kuwa Mapapa? Na huko Vatican wakati wanachagua hawa Mapapa huwa wanakuwa Makini sana pia kuangalia na Hali zao za Kiafya kwani Wakatoliki (GENTAMYCINE nikiwemo) tumechoka na Vifo vyao vitokanavyo hasa na Afya zao na Umri kuwa umekula Maili / Kilomita za Kutosha hapa duniani.
Tumsifu Yesu Kristo.........Milele Amina.
Ayubu 12:12