GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mtanzania awe Papa? Nitaukweka (Nitakunya) mubashara (live) kutoka hapa Kampala hadi Dodoma Makao Makuu TZA.Yule kijana wa kihaya mtanzania pengine moshi mweupe unaweza kumzukia yeye na ikawa rekodi papa mweusi kutokea afrika
sawa, vipi kuhusu yule mnigeria alioukosakosa upapa enzi za kuchaguliwa yule mjerumani?Mtanzania awe Papa? Nitaukweka (Nitakunya) mubashara (live) kutoka hapa Kampala hadi Dodoma Makao Makuu TZA.
Mkuu kila nikisoma tu ID yako nabaki Kucheka tu. Una vituko sana Mkuu yaani Majina yote ukaamua kabisa Ujiite hivyo JF?Stages unazotakiwa kupitia mpka kuwa papa siyo rahisi kumkuta mhusika kuwa kijana lazima utakuwa above 50
Kwani shida ni nini mbona wapo ambao walitokea Afrika ingawani ni miaka ya nyuma sanaMtanzania awe Papa? Nitaukweka (Nitakunya) mubashara (live) kutoka hapa Kampala hadi Dodoma Makao Makuu TZA.
Nilidhani ungewataja ila naona umebakia Kutusimulia tu kama ambavyo nawe pia uliweza Kusimuliwa na Waliokuokota.Kwani shida ni nini mbona wapo ambao walitokea Afrika ingawani ni miaka ya nyuma sana
Kwan lina utofauti gan kiongoz mbona la kawaida sanMkuu kila nikisoma tu ID yako nabaki Kucheka tu. Una vituko sana Mkuu yaani Majina yote ukaamua kabisa Ujiite hivyo JF?
Mkuu Kuna chatgpt, jiongeze.Nilidhani ungewataja ila naona umebakia Kutusimulia tu kama ambavyo nawe pia uliweza Kusimuliwa na Waliokuokota.
Lini umemchagua Papa?Hakuna uwezekano wa kufanyika Mabadiliko wawe Wanachaguliwa Vijana au Wazee wa Makamu kuwa Mapapa? Na huko Vatican wakati wanachagua hawa Mapapa huwa wanakuwa Makini sana pia kuangalia na Hali zao za Kiafya kwani Wakatoliki (GENTAMYCINE nikiwemo) tumechoka na Vifo vyao vitokanavyo hasa na Afya zao na Umri kuwa umekula Maili / Kilomita za Kutosha hapa duniani.
Tumsifu Yesu Kristo.........Milele Amina.
Hakika umeongea ukweli,lakini mimi nina mawazo tofati[ ni hisia zangu,sio kwamba nina ushahidi wowote kuhusu hili jamb],,mimi hisia zangu nahisi wanaogopa KASHFA,nikiwa na maana wakichagua papa kijana,bado anakuwa na nguvi za kiume,kwa anaweza kuingia ktk zinaa mapaparzi wakamstukia na ikawa,balaa[nadhani asijua fujo za mapadre vijana-sio wote,baadhi,]wengine mpaka wana watoto,,angalia ata wachungaji nahao wanaojiita manabii vijana,wanatembea mpaka waumini] sasa akichaguliwa papa mzee anakuwa ameishiwa nguv za kiume[bora aishi miaka michache ya upapa na kufa,kuliko kanisa kupata kasha,,,,],,,jamani narudia tenahizi ni HISIA ZANGU,,,unakumbuka bill clinton wakati anaingia madarakani,,,,,alikuwa kija sana,matokeo yake alipata kashfa ya kufanya ngo ofisini,,,,,,,HISIA ZANGU!!!Hakuna uwezekano wa kufanyika Mabadiliko wawe Wanachaguliwa Vijana au Wazee wa Makamu kuwa Mapapa? Na huko Vatican wakati wanachagua hawa Mapapa huwa wanakuwa Makini sana pia kuangalia na Hali zao za Kiafya kwani Wakatoliki (GENTAMYCINE nikiwemo) tumechoka na Vifo vyao vitokanavyo hasa na Afya zao na Umri kuwa umekula Maili / Kilomita za Kutosha hapa duniani.
Tumsifu Yesu Kristo.........Milele Amina.
Alaikua anaitwa FRANCIS ARINZE.sawa, vipi kuhusu yule mnigeria alioukosakosa upapa enzi za kuchaguliwa yule mjerumani?
Alaikua anaitwa FRANCIS ARINZE.
Kutokea upadrisho mpaka kifika hapo ,Alaikua anaitwa FRANCIS ARINZE.
watu wanafika age imekwend akweli kweliHakuna uwezekano wa kufanyika Mabadiliko wawe Wanachaguliwa Vijana au Wazee wa Makamu kuwa Mapapa? Na huko Vatican wakati wanachagua hawa Mapapa huwa wanakuwa Makini sana pia kuangalia na Hali zao za Kiafya kwani Wakatoliki (GENTAMYCINE nikiwemo) tumechoka na Vifo vyao vitokanavyo hasa na Afya zao na Umri kuwa umekula Maili / Kilomita za Kutosha hapa duniani.
Tumsifu Yesu Kristo.........Milele Amina.
How many African popes have led the Catholic Church?Nilidhani ungewataja ila naona umebakia Kutusimulia tu kama ambavyo nawe pia uliweza Kusimuliwa na Waliokuokota.
Au mtu kuwa Major general, au brigedia General huwezi kukuta mtu an miaka 40 apate hivyo vyeoNi sawa na kusema mbona Professors wengi ni wazee? Kuna ngazi katika Kanisa, Kuanzia Laymen, Mapadre, Maaskofu, Maaskofu Wakuu, Makardinali na Makardinali wenye Uwezo na Umri Sahihi Wa kushiriki katika mchakato mzima wa kumpata mwakilishi na Mtu Sahihi wa Kuketi kwenye kiti cha Mtume Petro (Fisherman)