Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 651
- 1,244
Fid siyo mc hakuna anachokijua zaidi ya kutafuta rhymes kwenye barsKila mtu anabadilika hata Fid wa sasa sio yule wa zamani ila still Fid ni the best mc Chemical ana mashairi anaeleweka ana flow nzuri ukimsikiliza unapata kitu huyu mwingine bado
Unajua maana ya 'personal views' a.k.a maoni binafsi ?
Kutoa 'maoni binafsi' ndiyo 'kujua kila kitu' ?
Ni wapi nimezuia wengine wasitoe maoni yao ?
Naomba unipe MAJAWABU (sio majibu) kwenye hayo maswali matatu ujione ulivyo mjinga (sio mpumbavu).
-Kaveli-
Mashabiki wa da mange bwana eti 'utashangaa kihutu Hiiiiiiiiiiiiiiiiii'Binafsi, bado sijaona a remarkable change kwa FID... kuanzia rap style (flowing) yake, themes, na Personality yake.
Labda ni kwenye video yake moja tu goes by ''Bongo Hip Hop'' ndipo alielekea kuanza ku-change 'personality ya video' zake. Kwa tunayemjua FID, ukisikiliza Audio ya 'Bongo HipHop' lazima u-nod head. Ukija kutizama video ya wimbo huo, lazima utashangaa kihutu Hiiiiiiiiiiiiiiiiii, what the heck?!! Afterwards baada ya video hii, FID's fans disturbed na walidiss sana the PERSONALITY ya hiyo video. Then FID went back to the roots.
So unaposema kuwa FID kabadilika, mie binafsi naweza kutokukuelewa. Labda useme FID kabadilika kwenye lipi haswa?
BTW, let the center of discussion be on Rosa Ree and other like-minded female emcees. Just let's hit on FEMALE emcees, as the thread chants about Rosa Ree and the like.
-Kaveli-
wewe rasa lee yupo vizuri kama lembeee tatizo huchunguzi chana yakeNamuelewa sana Chemical kuliko huyu Rosa Lee
nyie si wavigodoro mtuachie sisi tufaidiIla uzungu mwingi asee...sisi wa uswahilin tunadaka maneno machache sana tukiskiliza nyimbo zake. ..ila anajua
Naskia na mke mdogo wa mzee wakoHivi Rosa lee ndio nani aisee!!
Naomba kujuzwa.
Duh!, mkuu mbona wanitusi!?Naskia na mke mdogo wa mzee wako
Wapi nmekutusi?Duh!, mkuu mbona wanitusi!?
Nimekukosea nini!?
Nashukuru mkuu kwa majibu yako.Wapi nmekutusi?
Chana yake ndo haielewekiwewe rasa lee yupo vizuri kama lembeee tatizo huchunguzi chana yake
Nah Reel kat0mba sana huyo binti hadi wakagombana na Aika kibonge.Huyu Rosa Ree pia nasikia ni Mgumu.
Hii akili ndogo aseeNaskia na mke mdogo wa mzee wako
Cha kufaidi nin apo jombaa...kamata kwanza soko LA ndani ndo ufikirie LA nje. Huyo msanii hana hit song hata moja...zote za kawaida ila uzungu mwingiii. Aendelee kufanya kolabo za nje ndo zitamwokoa tofaut na apo ataendelea kuwa kivuli tu..huyo sio level za vannesanyie si wavigodoro mtuachie sisi tufaidi
Mgumu kivipi?Huyu Rosa Ree pia nasikia ni Mgumu.
Kwani ngoma za marekani unazielewa?Ila uzungu mwingi asee...sisi wa uswahilin tunadaka maneno machache sana tukiskiliza nyimbo zake. ..ila anajua
Za marekani huwa napendelea zile EDM ambazo sehem kubwa ya wimbo ni beat tu.. huwa sisikilizi anaimba nin ila nasikilizia hisia za mdundo tuKwani ngoma za marekani unazielewa?