Wakazi amnyanyulia mikono Rosa Ree, afananisha juhudi zake na za Vanessa Mdee

Wakazi amnyanyulia mikono Rosa Ree, afananisha juhudi zake na za Vanessa Mdee

Let Vanessa be Vanessa.... huyu dada ni akili kubwa mnoooooooooooo... levels n levels, anajua anataka nini na afanye nini kupata no time for drama. Hii inaakisi amelelewa vizuri na ametoka kwenye familia yenye malezi ya tofauti sana.
Tuwalee wanetu vizuri watuwakilishe vema even in our absence.
 
Kila mtu anabadilika hata Fid wa sasa sio yule wa zamani ila still Fid ni the best mc Chemical ana mashairi anaeleweka ana flow nzuri ukimsikiliza unapata kitu huyu mwingine bado
Fid siyo mc hakuna anachokijua zaidi ya kutafuta rhymes kwenye bars
Ptuuu fid sio mc mnamjaza sana
 
Hivi Rosa lee ndio nani aisee!!
Naomba kujuzwa.
 
Unajua maana ya 'personal views' a.k.a maoni binafsi ?

Kutoa 'maoni binafsi' ndiyo 'kujua kila kitu' ?

Ni wapi nimezuia wengine wasitoe maoni yao ?

Naomba unipe MAJAWABU (sio majibu) kwenye hayo maswali matatu ujione ulivyo mjinga (sio mpumbavu).

-Kaveli-

Sina muda huo wa kujadili watu...
 
Binafsi, bado sijaona a remarkable change kwa FID... kuanzia rap style (flowing) yake, themes, na Personality yake.
Labda ni kwenye video yake moja tu goes by ''Bongo Hip Hop'' ndipo alielekea kuanza ku-change 'personality ya video' zake. Kwa tunayemjua FID, ukisikiliza Audio ya 'Bongo HipHop' lazima u-nod head. Ukija kutizama video ya wimbo huo, lazima utashangaa kihutu Hiiiiiiiiiiiiiiiiii, what the heck?!! Afterwards baada ya video hii, FID's fans disturbed na walidiss sana the PERSONALITY ya hiyo video. Then FID went back to the roots.

So unaposema kuwa FID kabadilika, mie binafsi naweza kutokukuelewa. Labda useme FID kabadilika kwenye lipi haswa?

BTW, let the center of discussion be on Rosa Ree and other like-minded female emcees. Just let's hit on FEMALE emcees, as the thread chants about Rosa Ree and the like.

-Kaveli-
Mashabiki wa da mange bwana eti 'utashangaa kihutu Hiiiiiiiiiiiiiiiiii'
 
Chemical alianza kua mgum ili kupata nafasi ya kubana pua tutaskia akiimba taalab soon
 
nyie si wavigodoro mtuachie sisi tufaidi
Cha kufaidi nin apo jombaa...kamata kwanza soko LA ndani ndo ufikirie LA nje. Huyo msanii hana hit song hata moja...zote za kawaida ila uzungu mwingiii. Aendelee kufanya kolabo za nje ndo zitamwokoa tofaut na apo ataendelea kuwa kivuli tu..huyo sio level za vannesa
 
Back
Top Bottom