Wakazi apata wakati mgumu baada ya kusema kuna rappers wengi Tanzania wakali kumshinda Ngwair

Ukizungumzia Hits ni kweli SYJ haiizidi a.k.a mimi ila hiko sio kigezo pekee. Nimekupa mfano wa Ilmatics the best hip hop album ever lkn haina hits kali kama get rich or die tryin ya 50 cent ambayo hata kwenye 10 bora haipo. Nyimbo inaweza kuwa kali sana lkn isiwe hit due to some factors.

Bado kwangu SYJ kiufundi, uandishi, mitambao, maudhui, midundo, mitindo, mchanganyiko wa mada nk. Is the best.
Undisputed [emoji91]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ushawahi kubahatika kusikiliza albam ya DAZ BABA "ELIMU DUNIA"?

Ingawa albam ya ngwear ni kali ila ya daz baba juu baada ya prof.j
Hasa Ile ngoma iliyobeba jina la album ELIMU DUNIA, Aisee! Afande kaua na Daz kamaliza. Kweli MUNGU hakupi vyote wasanii wakali wa content ni either maskini au wamelowea kwenye madawa. INAUMIZA SANA!
 
Gwair huyu huyu aliyemfutisha fid q verse!?
Huyu huyu wa
Aka mimi?
She gotta gwan
Gheto langu
Mtoto wa jakaya
Binti
Nipeni dili
Cnn
Mikasi
Spidi 120
Ring ring kila saa napokea simu
Kama ni demu sikiliza
.............

Analinganishwa na nani?
 
Kwangu mm kiuandishi
Langa na ngwair
Naona langa yupo juu rip kwa wote wawili 🙏🙏🙏
 
Tutoke kwanza huko Kwa Mtaalamu AKA yeye, umenifurahisha ulivodadavua content zinazopatikana kwenye album ya sauti ya jogoo, jamaa aligusa almost Kila kitu

Naomba niulize umepata wasaa wa kuskiliza album ya Dizasta vina The Verteller? Kama umeiskliza hebu nipe Marks zako una irate 10 ya ngapi na kama hujaiskia tafadhari Fanya uipe skio lako
 
Aka Mimi ya Ngwear alikuwa more bongo fleva while Sauti ya Jogoo ni more Hip Hop

Tafuta muda sikiliza album ya Sauti ya Jogoo
 
Hiyo ya Dizasta Vina sijaiskiza bado. Nitaipa skio

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ya Dizasta Vina sijaiskiza bado. Nitaipa skio

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Pamoja Mkuu, Kwa mwana hip hop kama wewe ukipata time fanya hivo usije kuskia dogo kavuta ndo ukaanza kuskiliza ngoma zake kwenye radio, mskilize umpe heshima yake akiwa hai
 
Nitajie msanii wa hiphop mwenye album kali kuizidi a.k.a mimi (achana na machozi, jasho na damu ya Prof )

Bastola cash and.. toa code someka
wapi lipo bata wapi leo kinaeleweka, napesa mingi mpaka natamani jiteka
then watu wapo king.ston ka Jamaica
ni ma model, madodo waku roll na ma Gangasta
Divas and Hustlers, Paper Chasers!
Nani anaeza piga ngoma kali ka hii???... me!
Nani anaeza gonga beat nzito ka hii?? ... P!
Yeah you know that ni Bongo Records true na Q east zoo tu juu au si skii
Usipime hizi records ,ziko heavy place nothin above it man, you gotta love it man!
Leo ni mwendo wa gambe tu na Malavidavi na warembo wakali matata ka Flavi.. (what?)
Tunapata zetu couple of rounds then ..yeah.. we outta of the town! R.I.P MAN GWAIR
 
Wakazi kujikomba kupenda kujikomba kwa mondi, kutaka Kiki, mziki anafanya tatizo nyota, ndugu yake Jide, Kuna watu wametoka bila kujikomba komba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…