triga
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,029
- 5,710
Ukizungumzia Hits ni kweli SYJ haiizidi a.k.a mimi ila hiko sio kigezo pekee. Nimekupa mfano wa Ilmatics the best hip hop album ever lkn haina hits kali kama get rich or die tryin ya 50 cent ambayo hata kwenye 10 bora haipo. Nyimbo inaweza kuwa kali sana lkn isiwe hit due to some factors.Sauti ya jogoo haina hata hit moja ya kushindana na ghetto langu
Huo ni mtizamo wako .
Ila tukija kwenye facts sasa, hiyo album ya sauti ya jogoo haina hit hata moja ya kuifikia ghetto langu ya kwenye a.k.a mimi.
Hapo bado sijakutajia 'she got a gwan', nyimbo nyingine kama Mikasi one of the best club hits ever hapa bongo ndio kabisa hata sio za kulinganisha.
Ukija kwenye achievments , a.k.a mimi ilikuwa album of the year.
Bado kwangu SYJ kiufundi, uandishi, mitambao, maudhui, midundo, mitindo, mchanganyiko wa mada nk. Is the best.
Undisputed [emoji91]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app