Wakazi apata wakati mgumu baada ya kusema kuna rappers wengi Tanzania wakali kumshinda Ngwair

Hata huyo Ngwair haoni ndani kwa jamaa Nikki Mbishi ni mkali balaa na nusu
 
Ukitaka kujua ngwair alikuwa tofaut, amefariki muda mrefu bt bado yupo kichwaniii mwa wasanii walobaki
 
Jamaa kabisa analinganisha A.K.A Mimi na Sauti ya jogoo? Sauti ya Jogoo hata kwa Soga za mzawa ya One haioni ndani
 
Tatizo ni kwamba wanaomzidi bado wapo hai. Siku wakifa utaona wabongo watakavyowamiminia sifa kwamba wao ndio ma goat.
Kabisaaa, miaka ya mwishomwisho wa uhai wake Ngwea alikuwa kama ashapotea kwenye ramani ya muziki, hakuwa anazungumziwa. Ila alipokufa ni kama alizaliwa upya, enzi za uhai wake hakuwahi kupewa sifa ambazo wamewahi kupewa kina Profesa Jay/Fid Q/Juma Nature n' the likes, ila baada ya kufariki watu wanamuona kama ndio the GOAT[emoji2][emoji2]
 
Nani asiyejua wa bongo wanapenda kuwa na Ego../
wanadhani kuwa they know better than most people../
there°s no equal, on how we be reppin for the people, milele ntabaki juu kama steeple na ata nkiwa sipo,
I am the best who ever did it/shit is real biggie

Niwazi nnaonyesha am so greedy, kama ngwair na chidi 120 kwenye corner speed sasa mimi ni 360/
 
Chicago boy ni waki emcee.
 
Wasaniii wangapi washa dead lkn hawajapewa hio heshima anayo pewa cowbama?
 
Mtu akikukuta unasikiliza nyimbo za Nikki mbishi ,utasikia "jamaa mgumu huyu, hv mwanangu huumii kichwa Kwa hizo nyimbo" ila nyimbo ngwea nyingi kama bongo fleva. Hip-hop mziki wa kigumu
 
Umemaliza kila kitu,...."Na hata nikifa leo pengo langu halina spare"
Achana kabsa na Alberto jamaa ni exceptional, uyo WAKAZI hata tukimpa kwaya ya Rose Mhando aimbe sauti ya tatu hakuna mtu atataka kuskiliza iyo nyimbo!!!
 
Line za canabino
 
For me Ngair was gifted ...sikio langu limejiridhisha kuwa kwa bongo sijawahi mskia rapper mkali km albert

Note

Ngwair ni mngoni
Professor j mngoni
Sterio mngoni
Godzilla mngoni

Hawa n baadhi ya wasanii kutoka Ruvuma ambao nawakubali sana
 
NGWEA ANASIFIWA TU ILA HAJAWAI KUIMBA WIMBO WA MAAANA ZAIDI YA KUSIFIA NGONO, POMBE, MADEMU NA MADAWA YA KULEVYA.
 
HUYU NDO MSANII ANAYESIFIWA KUWA NI MKALI KUZIDI WOTE HAHAHAHAAAA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…