Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Chief, ni nature tu iliyopo hapa duniani, yaani marehemu hasemwi vibaya.. ila hiyo haiondoi kuwa Ngwair alikuwa ni GOAT na amehusika kwa kiasi kikubwa kuishape hii Hip Hop ya hapa bongo, alikuwa bora sana kwa wakati wake ule, same na kina Nature, Inspekta, Ma Dazz Nunda n.k yaani kwa mtu anaejua huu mziki wa bongo ulipotoka na zile hustle ukiziponda hustle za Ngwair atakushangaa sana..Kabisaaa, miaka ya mwishomwisho wa uhai wake Ngwea alikuwa kama ashapotea kwenye ramani ya muziki, hakuwa anazungumziwa. Ila alipokufa ni kama alizaliwa upya, enzi za uhai wake hakuwahi kupewa sifa ambazo wamewahi kupewa kina Profesa Jay/Fid Q/Juma Nature n' the likes, ila baada ya kufariki watu wanamuona kama ndio the GOAT[emoji2][emoji2]
Nikuulize, kwani leo mfano akifa LL Cool J watasema sio GOAT kwa vile sasa hivi hatambi kwenye chati kubwa duniani na matuzo makubwa makubwa?
Kupotea kwenye ramani ya Music hakuondoi uliyoyafanya nyuma, ipo hivo kote popote