Wakazi apata wakati mgumu baada ya kusema kuna rappers wengi Tanzania wakali kumshinda Ngwair

Kabisaaa, miaka ya mwishomwisho wa uhai wake Ngwea alikuwa kama ashapotea kwenye ramani ya muziki, hakuwa anazungumziwa. Ila alipokufa ni kama alizaliwa upya, enzi za uhai wake hakuwahi kupewa sifa ambazo wamewahi kupewa kina Profesa Jay/Fid Q/Juma Nature n' the likes, ila baada ya kufariki watu wanamuona kama ndio the GOAT[emoji2][emoji2]
Chief, ni nature tu iliyopo hapa duniani, yaani marehemu hasemwi vibaya.. ila hiyo haiondoi kuwa Ngwair alikuwa ni GOAT na amehusika kwa kiasi kikubwa kuishape hii Hip Hop ya hapa bongo, alikuwa bora sana kwa wakati wake ule, same na kina Nature, Inspekta, Ma Dazz Nunda n.k yaani kwa mtu anaejua huu mziki wa bongo ulipotoka na zile hustle ukiziponda hustle za Ngwair atakushangaa sana..

Nikuulize, kwani leo mfano akifa LL Cool J watasema sio GOAT kwa vile sasa hivi hatambi kwenye chati kubwa duniani na matuzo makubwa makubwa?

Kupotea kwenye ramani ya Music hakuondoi uliyoyafanya nyuma, ipo hivo kote popote
 
Kuhusu rapper ndio wapo sikatai ila....

Bado sijaona mkali wa Freestyle kama Ngwair
 
Wengi wanafiki sana wanamsifia ngwair baada ya kufariki tena kifo cha aibu kabisa.
Mimi nilikua namsifia tangu nilipomshuhudia anachukua tuzo ya Kilimanjaro Music Awards aliposhukuru kwa kutumia michano ya freestyle badala ya kubwabwaja kama wengine

Yaani siku hiyo ndo niliona kwamba jamaa kachukua tuzo kihalali kabisa na siku hiyo ndo nilikubali kwamba jamaa kweli ni mkali wa michano ya Freestyle

Na sijui kama atakuja kutokea rapper mwingine mwenye uwezo kama yeye, yaani mtu akupe mistari ya papo kwa papo halafu bado mnasema tunampa kiki, mnakosea sana
 
Chief, ni nature tu iliyopo hapa duniani, yaani marehemu hasemwi vibaya.. ila hiyo haiondoi kuwa Ngwair alikuwa ni GOAT na amehusika kwa kiasi kikubwa kuishape hii Hip Hop ya hapa bongo, alikuwa bora sana kwa wakati wake ule, same na kina Nature, Inspekta, Ma Dazz Nunda n.k yaani kwa mtu anaejua huu mziki wa bongo ulipotoka na zile hustle ukiziponda hustle za Ngwair atakushangaa sana..

Nikuulize, kwani leo mfano akifa LL Cool J watasema sio G.O.A.T kwa vile sasa hivi hatambi kwenye chati kubwa duniani na matuzo makubwa makubwa?

Kupotea kwenye ramani ya Music hakuondoi uliyoyafanya nyuma, ipo hivo kote popote
Unajua maana ya GOAT? Tuanzia hapo kwanza
 
wapi nimesema mnampa kiki?
Mimi nilikua namsifia tangu nilipomshuhudia anachukua tuzo ya Kilimanjaro Music Awards aliposhukuru kwa kutumia michano ya freestyle badala ya kubwabwaja kama wengine

Yaani siku hiyo ndo niliona kwamba jamaa kachukua tuzo kihalali kabisa na siku hiyo ndo nilikubali kwamba jamaa kweli ni mkali wa michano ya Freestyle

Na sijui kama atakuja kutokea rapper mwingine mwenye uwezo kama yeye, yaani mtu akupe mistari ya papo kwa papo halafu bado mnasema tunampa kiki, mnakosea sana
 
Kuna mamcee wanaandika nyie, kama one the incredible Kuna mistari inabidi urudierudie kuisikiliza uelewe amemaanisha nini, ila hao kina profesa jay cjui ngwea wanamistari unaielewa very direct bila kuumiza kichwa.
Kwangu Mimi Nikki Mbishi na one the Incredible ni the best mcees niliowahi kuwasikia
Tunazungumzia Freestyle mkuu

Ngwair title yake ni mkali wa michano ya Freestyle

Achana na utunzi au kuandika mashairi, mimi binafsi sijaona wa kumfikia linapokuja swala michano ya Freestyle
 
Mimi nilikua namsifia tangu nilipomshuhudia anachukua tuzo ya Kilimanjaro Music Awards aliposhukuru kwa kutumia michano ya freestyle badala ya kubwabwaja kama wengine

Yaani siku hiyo ndo niliona kwamba jamaa kachukua tuzo kihalali kabisa na siku hiyo ndo nilikubali kwamba jamaa kweli ni mkali wa michano ya Freestyle

Na sijui kama atakuja kutokea rapper mwingine mwenye uwezo kama yeye, yaani mtu akupe mistari ya papo kwa papo halafu bado mnasema tunampa kiki, mnakosea sana
Sasa hapo cha ajabu ni nini? kufreestyle au hiyo tuzo?
 
Wee niambie ni msanii gani hapa bongo angeweza/tungeweza kumuweka kwenye batlle na Ngwair(kama angekuwa hai) wapige Freestyle, Godzilla (R.I.P) Mwenyewe alijaribu kachemka Fid Q mwenyewe alikuwa anamkubali
Huyo "Wakazi" mnayemtetea kamtaja msanii gani ambaye yupo vizuri kumzidi Ngwair?
 
Tunazungumzia Freestyle mkuu

Ngwair title yake ni mkali wa michano ya Freestyle

Achana na utunzi au kuandika mashairi, mimi binafsi sijaona wa kumfikia linapokuja swala michano ya Freestyle
Haha huyo anachomzidi Mbishi ni kubana pua tu..
 
Nahisi hukuwahi kusikiliza albamu ya 'Ulimwengu ndio Mama' ya Juma Mohamed Mchopanga aka J Mo au Mo technic
Mbona mnatutajia wasanii Underground kipindi cha Ngwair?

Ngwair alikuwa anajulikana nchi nzima kwa style yake
Huyo mnamjua nyinyi tu
 
Haha huyo anachomzidi Mbishi ni kubana pua tu..
Yule ni style yake na ni sauti yaje habani pua,
Ni kama T.I.D. ana sauti yake peke yake, Ukija kwa Fid Q na D.Knob na wenyewe wanasauti zao nzito, ukija kwa Chid Benz ye anasauti na style yake ya kufoka foka

Mkuu nimeanza kufuatilia Hip Hop ya Bongo 1995 nilinunua album ya Mr II inayoitwa ni mimi
Kizazi cha Diamond bado sana
 
Back
Top Bottom