DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Mkuu hata hizi cypher anazozifanya Young Lunya huko South Africa kukutana na rappers kutoka Nigeria, Ghana, Senegal etc Wakazi Swagger Bovu kazifanya sana Tena way back 2010s .... Miaka ya 2017 nilikuwepo kwenye group flani la watsup linaitwa RAP BATTLES na members ni kutoka Africa nzima especially south Africa na western Africa. Kwenye lile group watu wanashindana kwenye battle na pia wana-post Ngoma mbali mbali Kali....Unajua Kuna ngoma zilikua zinapostiwa, Kuna ngoma waliipost rappers kibao wanachana mle ndani kutoka South, Nigeria, Ghana, Senegal na wakazi naye Yuko ndani.....Wakazi ana Ngoma kibao nilimfahamu kipindi kile Cha Kilingeni,kazi mnayo watoto wa juzi
Lakini nashangaa watu wengi wanamu-underrate sana Wakazi... Miaka ya nyuma kabla wakazi hajaja bongo watu km Fid Q na Prof jay waliwahi kuhojiwa kwa nyakati tofauti wakisema "Kuna msanii anaitwa Wakazi Yuko marekani ni mkali"
Wakazi Swagga Bovu- Dengue Fever
Usiongelee Swaga Kwa swagga nimepiliza/
Usiku na mchana natisha ka Dengue fever/
Ushuani na uswazi huko kote ni Mimi/
Nawaumiza vichwa wape Panadol na asprin/
Usiongelee punchline, punchline ninazo Mimi/
Huu mstari wenyewe punch ukiweza kutathmini/
Natoa kichwani kama imla sio nyie mpaka mkariri/
Huwa nashangaa sana watu wengi hawajawahi kumu-appreciate huyu jamaa.