Wakazi: Diamond Platnumz ni maarufu ila hajui kuimba, "ukweli unauma mpaka mnanipigia simu za vitisho"

Kila mtu atakula na jasho lake eti simu za vitisho nani anamjua huyu kwani ukimwita mtu malaya unampunguzia nini??
Atambae huko kazi ushamba tu eti hajui kuimba imba wewe .
Mwanaume unakosa kazi , unatofautisha miziki na vipaji vya watu basi mpeleke shule ya mziki .
Sura mbaya utafikiri kibibi kizee
 
Ubora wa msanii ni lyrical na sio kuangalia idadi gani ya watu wanaomkubali

Kuna mumble rapper mmoja anaitwa lil pump ana mashabiki wengi na views nyingi kwenye nyimbo zake, lakini kimashairi bado ana uwezo mdogo kufika hata robo ya uwezo wa Dax
 
Kwenye EP yake kuna nyimbo nyingi tu zina lyrics mfano Nawaza,Fine, somebody,sona, mtasubiri
 
Huyu wakazi ye ni nani??

Fundi gereji?
Fundi nguo?
Fundi bomba?
makenika?
msajili anwani za makazi au?

haya maneno angeongea ali kiba sawa tungemuelewa.
 
Ubora wa msanii ni lyrical na sio kuangalia idadi gani ya watu wanaomkubali

Kuna mumble rapper mmoja anaitwa lil pump ana mashabiki wengi na views nyingi kwenye nyimbo zake, lakini kimashairi bado ana uwezo mdogo kufika hata robo ya uwezo wa Dax
Ila ubora wa msanii goes beyond lyrcism, uandishi pekee hautoshi kumfanya msanii awe bora mfano msanii kama Whitney Houston anatajwa kati ya wasanii bora kuwahi kutokea lakini alikuwa haandiki nyimbo zake, ni sauti yake ndio ilimfanya awe bora.

Kanye West anaandikiwa lyrics nyingi lakini impact yake katika hip hop inamfanya atajwe kati ya wasanii bora ukiangalia sababu kuwa ni creativity, na quality ya production anayofanya kwenye kazi zake.

2 Pac anatajwa kuwa ni msanii bora wa muda wote kwenye hip hop na manguli wengi lakini lyrcism haikuwa sehemu aliyokuwa mkali sana kupita competiton yake yote ni delivery yake na impact kwenye society, akitema mistari Marekani nzima ilikuwa inasimama.

Ipo mifano mingi tu, ubora wa msanii ni package kubwa zaidi ambayo msanii anaweza kupungukiwa eneo moja na kuwa bora zaidi eneo lingine.
 
Ubora wa msanii ni lyrical na sio kuangalia idadi gani ya watu wanaomkubali

Kuna mumble rapper mmoja anaitwa lil pump ana mashabiki wengi na views nyingi kwenye nyimbo zake, lakini kimashairi bado ana uwezo mdogo kufika hata robo ya uwezo wa Dax
Eti ubora wa msanii ni lyrical, no wonder kuna wasanii wanabaki kuwa underground their whole entire career.
Hiyo kwako unayoita mumble rupper ujue hapo artist anakuwa amekaa akaumiza kichwa kulisoma soko, na akitoa track akapokelewa na wengi ina maana amekuwa creative kulikamata soko something that not everyone can do.
Usanii si mashairi peke yake, Carlos Santana alikuwa musician(instrumentalist/guitarist) maarufu sana lakini kwa guitar tu.
American artists wale wanaooneka ndiyo wasanii bora si wale wanaoongoza kwa kuandika mistari(mashairi) mikali hali kadhalika Tz.
Kuwa msanii mkali mpaka majority wawe fans wako it's a combination of a lot of things.
 
Huyu wakazi ye ni nani??

Fundi gereji?
Fundi nguo?
Fundi bomba?
makenika?
msajili anwani za makazi au?

haya maneno angeongea ali kiba sawa tungemuelewa.
Ni dada 'wa kazi'.
 
Wasiojua mziki wanachukulia mziki Kama ushabiki wa siasa, Ila ukweli mchungu. Wakazi Yuko 100%correct
 
Mfano mzuri ni Ile nyimbo ya unachezaje, ilivotrend kwa mgongo wa umaarufu wake. Hamna content, poor Vocals, Yani basi tu
 
We humjui mziki, unatumia hoja za kisiasa kuzingumza mziki. Mziki hauko hivyo Kaka, umaarufu kwenye mziki unachangiwa na vitu vingi, nikupe mfano mdogo, wa Trey songs na Jason Derulo, Trey songs is more popular lakini kimziki Jason Derulo is far better na ana hits nyingi kuliko Trey songs.
 
Umaarufu kapata kwa skendo za wanawake, hasa kwa wema na Zari, kaacha huyu kachukua huyu, piga kata funua karibu celebs wote wa bongo, kila siku front page magazeti ya udaku, "rasmi diamond abwagana na jokate, mara hamisa mara Nani sijui..."
Hapa ndipo alipopatia umaarufu!
Labda Kama Una swali lingine.
 
Yani bongo hii Kaka hutakiwi kugusa washabiki wa WBC, waumini wa mwamposa, mfalme zumaridi, na washabiki wa yanga, utajuta.
 
Uko sahihi 100% chonde chonde achana na WCB fans, wanavyomtetea diamond wako radhi hata wakuchome kisu.
 
Ameponda album za wenzie na kujipigia chapuo EP yake, afu yeye hataki kukosolewa.
 
Yes inategemeana na huyo mtu yuko interested na aina gani ya mziki

Mi mwenyewe naskiaga zuchu zuchu lakini sijawahi muona kumjua, na probably nilimuona ila sikujua kuwa ndio yeye

Hayo yote yanawezekana kama huna interest na type hiyo ya burudani
Zuchu ni product ya advertisement, hakuna msaniii pale.
Pale msanii aliebakia ni mboso tu, kumbe mbavu alikua anawaweka mjini hawa jamaa, nimekuja kugundua late sana
 
UZEENI UTAKUWA MCHAWI WEWE SIO BURE
 
Diamond aka the bitch ni performer

He is a good singer but not the greatest

The BITCH kama alivyojiita mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…