Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Ndo maana hata yeye amesema kuna utofauti kati ya umaarufu na kuwa muimbaji boraMimi nasikiziliza sana Hip Hop za Kibongo, tokea the so called MUZIKI WA KIZAZI KIPYA unaanza lakini siujui hata wimbo mmoja wa Wakazi. Labda nimewahi kuusikia bila ya kufahamu kuwa huyo ndiyo Wakazi, lakini ukweli utabaki kuwa umaarufu wake uko zaidi kwenye kuchamba wasanii wenzake mitandaoni kuliko kazi zake.
View attachment 2153951
Wakazi ambaye wewe unaishia kumsikia humu JF ni maarufu zaidi kuliko Dizasta vina lakini when it comes to lyrical na story telling, Wakazi mwenyewe ana salute
Professa jay alikuwa anamtaja rapcha kama ni best story teller ila hakuwahi kumjua dizasta, na siku alipokuja kumskia alikiri kuwa jamaa ni gwiji ila hafahamiki na hakuwahi kumjua before
Kwa hiyo point sio umaarufu, point hapa ni ubora wa mashairi