Wakazi: Diamond Platnumz ni maarufu ila hajui kuimba, "ukweli unauma mpaka mnanipigia simu za vitisho"

Nje ya topic HV LAVALAVA YUPO dabliyusibii au karudi zenji kugombea ubunge
 
Zuchu ni product ya advertisement, hakuna msaniii pale.
Pale msanii aliebakia ni mboso tu, kumbe mbavu alikua anawaweka mjini hawa jamaa, nimekuja kugundua late sana
Msanii gani hafanyiwi promo? Zuchu anotoka promo kafanyiwa na media moja ya Wasafi vipi hao wengine leo kubwa zote zinawapa promo?

Zuchu moja ya wasanii waliopita kwenye moja ya mifumo rasmi, Zuchu na Nandy walienda kwenye mashindano ya kutafuta vipaji Nigeria huku Zuchu akiingia tano bora na Nandy akishika nafasi ya pili,sasa ww unayesema hana kitu may be una uzungumzia moyo wako.

Mwisho MZIKI NI BIASHARA na biashara yoyote inahitaji Promo ili uweze kuingiza hela. Mario ni Msanii mkubwa ila hana promo nje ya mipaka ya inchi, mwisho wa siku unafanya mziki wa hasara, baada ya miaka kazaa una hali mbaya kiuchumi watu wanakusifia kunafiki "daah jamaa alikuwa anaimba......" mfukoni huna kitu.

Diamond ni mwimbaji wa kawaida but ni best entertainer tokea aanze mziki na ndio maana kapiga show za 90% ya nchi za kiafrika ukiondoa ukanda wa waarabu.

Master Jay ana msemo wake ambao anaurudia sana BSS "ni rahisi kumfanya mtu awe mwimbaji mzuri, ila ni kazi ngumu kumfanya mtu awe entertainer....." kwani talanta hiyo huwa wanayo wachache na mmoja wapo Diamond. Mr Nice enzi yake hakuwa mwimbaji mzuri bali alikiwa entertainer mzuri na ndio maana nae alipiga show nchi nyingi za Afrika.
 
paragraph yako ya Kwanza na na pili umejijibu mwenyewe.
Next time ukiandika tuliza akili.
Zuchu ni product ya advertisement.
 
Ubora wa msanii ni lyrical
Kuna mumble rapper mmoja anaitwa lil pump ana mashabiki wengi na views nyingi kwenye nyimbo zake, lakini kimashairi bado ana uwezo mdogo kufika hata robo ya uwezo wa Dax
Hata Dax hafiki hata robo ya uwezo wa Eminem..Lakini sio kwamba nae Eminem ni bora kuliko wa sanii wote wa Hip pop.
 
Hata akina 2Pac na kina P Diddy walikuwa na uhasimu mkubwa kila upande ukijiona bora kuliko mwingine na wote walikuwa na fanbase kubwa ni kawaida,huyo Wakazi apambane afikie hiyo level tutapima mzani vinginevyo ni kutaka kutembelea nyota ya aliyefanikiwa.
 
Diamond ni mzuri kimiziki lakini wakazi ni mzuri zaidi kwenye mambo mengine kuliko mziki anaofanya
 
Hawa ni sawa sawa na watu wanaosema ronaldo hana kipaji cha mpira ana mazoez mengi, ukiwa uliza ronaldo mpira anajua au hajui wanassma anajua ila wa mazoez [emoji28]https://jamii.app/JFUserGuide u.
Mafanikio yako yana kuja kulingana na uwezo wako.moja ya mafanikio ni umarufu.itoshe kusema umarufu wa mondi umebewa na uwezo wake wamuziki wake.
Ukiwa mpumbavu utakua marufu wa upumbavu hivyo hivyo kila kitu kina mmoja anaejua kuliko wote huyo ndo anakua maarufu..
Wakazi kaa tulia angalia ujifunze, mwenzako anafanya music kama biashara,wakufanikiwa sio lazima uwe wew,wapo wengine kama wew nao wanahitaji kufanikiwa.
 
Yote sijui ila la diamond kujua kucheza na kumiliki jukwaa tafadhar tukubaliane tu huwa anamaanisha!
 
Mwamba umeongea fact
 
Reactions: Qwy
Yeye na domo lake kama kitabu, anajua kuimba!?.

Kama anajua mbona hana hata hit song moja ambayo ingemfanya awe nominated ktk tuzo mbali mbali za ndani na nje ya Nchi!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…