Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ben Paul, Rama D wanaimba kuklo DiamondSisi tunataka kujua huo umaarufu kaupata wapi ikiwa hajui chochote kwenye kuimba, kama mnavyodai?
Hao wanaojua kuimba ni nani na nani? Watajeni hapa kisha mtueleze kwanini wao sio maarufu kama Diamond.
Kuwa mwanamziki sio kujua kuimba tu, ukiachana na kuimba Mond kawazidi wengine vitu vingi sana kuhusu mziki.
Kuhusu wakazi, ni moja kati ya wasanii ambao wamedumu kuwa ma-underground kwa miaka mingi sana.
Mtoa mada kasema diamond ajui kuimba wewe unaongea tofauti na mtoa madaBen Paul, Rama D wanaimba kuklo Diamond
Na pia huu ujinga unawatesa watu,kuwa diamond hajui kuimba wakt ndie msanii anaefanya vizur na anae iwakilisha Tz na EA nje kimuzikiHuu ndo ujinga wa watu wengi sana kufikiria mtu akisemwa negative itatokana na watu kuwa na wivu na mali zake, ni UJINGA
Diamond ameshatengeneza fans base yake na kubwa ko Mara nyingi wanao support ni wale shabiki zakeWakazi yuko sahihi Diamond hata atoe ngoma ya dakika mbili halafu humo ndani awe anacheka mwanzo mwisho utaona ngoma hiyo itavyokuwa trend na usikute ikapewa na tuzo
Hayo yote yamerahisishwa kutokana na jina (umaarufu) na ndio maana hata hawa ma underground wana amini wakipata nafasi ya kufanya kazi kwenye lebel yao watatoka tu, kwasababu kitachowafanya wajulikane sio ubora wa kile wanachokiimba
Means hata kwa level zao za huku chini wanaamini hata wakaze msuli namna gani bado ubora wa nyimbo hautakuwa kigezo wao kutoka
Nakubaliana na Wakazi
Acha kuzungumzia wanaume JF ma mdogoAcha kupost post magari ya wanaume humu JF.
Long,short story saw diamond hajui kuimba.Ukiwa critical thinker kwenye jamii ya watu wenye upeo mdogo kama kitenes unakua unaonekana wewe ndio mwehu
Wakaz yuko sahihi kabisa ila watu wamepofushwa na mahaba
Huu mwandiko unaumiza macho mkuu!SAWA SWALI NI KWAMBA HAOOO WANAOMZIDI KUIMBA, HAO WENYE MELODY NZURI, HAO WENYE TUNGO KALI NA SAUTI YA KUVUTIA MBONA HAWAFIKI POPOTE??? MBONA KAZI ZAO HAZISONGI KAMA ZA HUYO WANAEMKOSOA???
NAJUA MNAJUA, NA TUNAJUA MNAJUA TUNAWAPIGAJE MNAJUA😂😂😂
Ubishi uishe, diamond hauji kuimba.Wakazi huwezi kumfananisha na nikki wa pili
Niki wapili alikiwa ni chawa, mlamba miguu, asskisser aliyepitiliza mpaka akapewa huo u DC
Tena umenikumbusha kati ya wasanii ambao nimekuwa nawaongelea negative basi hapa mtaiona nafuu ya diamond katika kuwakosoa wasanii
Kipindi cha magufuli ambapo tweeter ilipigwa ban, na kufanya access iwezekane kwa vpn tu, huyu jamaa alijitokeza na ku tweet kuwa watu wanaizushia serikali uwongo kwani yeye ameweza kuingia tweeter bila vpn na kwenda mbali kuwa watu wanafanya hivyo kumchafua magufuli tu
Baada ya hapo zikaja gharama kubwa za mabando, jamaa akasimamia ukucha kuwa wananchi wasilie lie kuhusu bando kwanj sio kitu necessary kama kula, ni jambo linaweza kuepukika tu kuliko kuisumbua serikali kuhusu kupunguziwa gharama za bando
Haya akaja tena kwenye tozo akaongea ujinga kibao just kuwa upande wa serikali
Sio huyo tu, hadi masanja naye ni wa type hiyo hiyo na anasemwa sana.
Lakini utofauti unavyokuja tukiwasema hawa hatutajwi kama watu wenye wivu wa mafanikio ya hao watu au haters kwasababu nikki wapili hajaweza kuwa na mashabiki wengi wakumtetea kama ilivyo kwa diamond na alikiba kila platfom kuna utimu
Kwa hiyo nasisitiza kuwa diamond kwenye ywezo wa kuimba bado sana, labda kama utanifananishia yule diamond wa "utanipenda" lakini huku kwa nyegezi ni ujinga na aibu kukubaliana na hoja hiyo kuwa mwana anaimba vizuri
Huna akiliAlichosema Wakaazi ni ukweli mtupu ila watampinga sana na maneno kibao lakini hana cha kutisha Diamond.
Unaweza kuwa wa kwanza ktk darasa lenu shule ya msingi MSAMBWANDA SEC SCHOOL lakini ukipelekwa ktk mashindano ktk shule ELIMU NI UFUNGUO SEC SCHOOL ukajipata wa mwisho kila mtihani.
Tuchukulie mfano Christian Bella angeibuka na kujutana na kina Alli Choki, Mwijuma Muumini huku Banza stone angeonekania wapi?
Mr Nice na diamond wako sawa mkuu usiwe na hypeLong,short story saw diamond hajui kuimba.
Leta msanii unaemkubali anajua kuimba bongo na EA mwnye tuzo,hit,fan base, streams na kufanya show majukwaa makubwa Zaid ya mondi...
Ukiweza hapo kweli mondi hajui kuimba.