Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,566
- 4,013
Msanii Wakazi kupitia Ukurasa wake wa X (twitter) amewasihi Wananchi kuipigania Tanzania yao badala ya kuandia hastags tu kama trends. Amesema hakuna uhalali wowote wa watu kuuawa hata kama kuna vitu viliharibiwa.
Anasema;
DONT PRAY FOR TANZANIA… FIGHT FOR IT!
Hakuna Mtu perfect, na ni kweli baadhi ya Walioandamana walifanya uharibifu wa Mali (kutokana na hasira/ghadhabu), ila hiyo haiwapi DHAMANA Watawala kuwaua. Hata Mwizi au Jambazi anakamatwa na anapelekwa MAHAKAMANI. Hata Wauwaji nao huwa hawauwawi by VIGILANTE STREET JUSTICE. Now imagine sisi Watoto wasio na silaha wameuwawa, wakiwa kwenye harakati za kudai “A better Tomorrow” yao!
Sasa Socialites, Celebrities, Influencers na hata Wananchi wengine wa kawaida, tunakuja na Caption na Hashtags za PRAY FOR TANZANIA, as if it is a social media trend.
Ni dhahiri HAKI ZA KIBINADAMU zimekiukwa, KATIBA imebagazwa na RULES OF ENGAGEMENT (baina ya Armed Forced na Civilians) zimepuuzwa.
Hakuna playbook yeyote duniani inayo justify such atrocities & inhumane acts; kama ipo basi ni Playbook ya Kigaidi na Kidikteta! PERIOD
WATANZANIA WOTE, badala ya kuandika “Pray For Tanzania”, let us FIGHT FOR TANZANIA!!
FIGHT FOR GEN Z walioandamana kudai Reforms, Katiba Mpya, Kupinga Utekaji, Utawala Bora, nk. na wakaishia kuumizwa na kuuwawa.
FIGHT FOR JUSTICE ya Waliokuwa Nyumbani, kwenye Vibanda Vya Video, Madukani, Maskani, nk Wakaishia kumiminiwa risasi pasi na hatia yeyote na kupokwa haki yao ya kuishi.
FIGHT FOR JUSTICE ya DAFROZA (Mama Frank) Mgombea udiwani Sirari (ACT) aliyefia Mikononi Mwa Polisi.
FIGHT FOR JUSTICE ya watoa huduma ya Afya ambao wakitoka hospitali kuhudumia Majeraha, wakauwawa!!
FIGHT FOR RIGHT yetu ya kupata Internet na Mawasiliano, maana internet dunia ya sasa ni utility kama Maji, Umeme, etc.
FIGHT FOR RIGHT za Vyombo vya Habari, ili vitupatie “NEWS WITHOUT FEAR OR FAVOR”
Mambo ya PRAY tuwaachie watu wa nchi zingine sisi WE HAVE TO FIGHT! DAMU ZA MAREHEMU NA ZA WALIOJERUHIWA ZISIENDE BURE…