Wakazi wa Chumba Kimoja Tukutane Hapa

ukiishi chumba kimoja kama huna machungu ya maisha hela itaishia kwenye kuitumbua tu na sababu nirahisi tu pale unapoona huna nafasi ya kuongeza walau kabati
 
hongera kwa uthubutu......kumbuka maisha ni safari ndefu sana na ukizingatia ili uwe na nyumba lazima uanzie kwenye cheo fulani wakati huohuo unaambiwa ili uoate kazi lazima uwe na uzoefu wa miaka mitano na kuendlea so maisha ya chumba kimoja ni mapito ya wengi
 
unaiweza ukaibuka na utafiti kwa hii mada
 
- mgeni kukaa kitandani ni jambo la kawaida
- akija mgeni wa jinsia tofauti na umetoka kuoga inabidi ukavalie bafuni au uombe chumba cha jirani
 
- mgeni kukaa kitandani ni jambo la kawaida
- akija mgeni wa jinsia tofauti na umetoka kuoga inabidi ukavalie bafuni au uombe chumba cha jirani
duh.........na hii nimeikuta SA pia, jamaa nje amenileta na Benzi ndani ana chumba kimoja huku ana mke na mtoto mchanga na tulikaa kitanda na kugonga menyu nilifurahia sana nilidhani n9 maisha ya uswazi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…