KERO Wakazi wa DAR, PWANI na MORO wasaka maji mabondeni

KERO Wakazi wa DAR, PWANI na MORO wasaka maji mabondeni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Lindeni amani haya maji hata baharini yapo!
chukua taulo
sabuni
na ndoo
kaoge mengine chota peleka nyumbani..

Mitanoo tena kwa bi churaaa!
 
CHADEMA wajanja sana wameshirikiana na jua pamoja wanaharakati kutoka nje kukukasha vyanzo vya maji ili ionekane mama hapendwi ila UVCCM😂

Haiwezezekani wazungu watuonee wivu Kwa rasilimali zetu Hadi watutengenezee mgao wa maji, Sisi kama watanzania tuungane kwa pamoja ili kuwakataa hawa wanaotuchonganisha hiki ndicho kipindi cha viongozi wa dini Kwa pamoja kutoa kauli juu ya Hali hii ya mgao wa maji.

View attachment 3515421View attachment 3515422
Viongozi wa Dini hasa TEC wakae zao kimya tu wala wasizungumze maana watajibiwa na kikundi kingine kabisa ambacho hata hakihusiki. Acha tusubiri mvua zinyeshe tu.
 
Back
Top Bottom