Wakazi wa Dar: Tahadhari, epuka njia hii usiku huu

Kwasababu ww ccm mwenzao
 
Usalama upi?.kwani zamani kulikuwa HAKUNA usalama?.
Wanajeshi kuingia mitaani kutishana ni ishara mbaya Sana.
Kwani tupo congo hapa?.
Kwanini magufuli hajiamini?.
Ni Mambo ya ovyo kabisa
lugalo ni mitaani?hufahamu kwambi hilo ni enelo la kijeshi?
Ungeniambia wanajeshi wapo tandale kwa mtogole ningekuelewa.wanajeshi kulinda eneo lao imekuwa nongwa?
 
..Wew zuzu.nini iyo ni kawaida sana Ani....."
 
Maccm yanatumia minguvu kibaaao kumtuliza lissu
 
Vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania vimejigeuza chama cha mapinduzi! CCM wenyewe wametulia tuli wamewaachia hao JWTZ,TISS, POLISI, na maafisa wengine wa serikali wakiipigania CCM iingie madarakani!
Inaonekana hujielewi we Mbwa kbhxa..." Mimi Sina chama ila umeandika ujinga mtu...

Kinachomwingiza kiongoz wako ikulu ni kura yako si hao CCM sijui , JWTz., Mara sijui Bibi ako kawaje ... Be logic acha upoporo dingi..:
 
Asante kwa kuwambia ukweli watu wamezidi upotoshaji sana
 
lugalo ni mitaani?hufahamu kwambi hilo ni enelo la kijeshi?
Ungeniambia wanajeshi wapo tandale kwa mtogole ningekuelewa.wanajeshi kulinda eneo lao imekuwa nongwa?
Wavamizi wa Mtwara wanaelekea Lugalo nini? Siku zote ukiwa unataka kuingia jeshini ndio mnakutana na maswali yao. Ila njiani? Watu wanapitia hapo siku zote na hakuna kusimamishwa.
 
Ujinga upunguze ww
 
Kwani siku zote uwa wanaweka barrier HAPO?kwanini uchaguzi huu ndo wakae hapo barabarani Tena wanakagua magari?.
lugalo ni mitaani?hufahamu kwambi hilo ni enelo la kijeshi?
Ungeniambia wanajeshi wapo tandale kwa mtogole ningekuelewa.wanajeshi kulinda eneo lao imekuwa nongwa?
 
Wavamizi wa Mtwara wanaelekea Lugalo nini? Siku zote ukiwa unataka kuingia jeshini ndio mnakutana na maswali yao. Ila njiani? Watu wanapitia hapo siku zote na hakuna kusimamishwa.
umekariri misha,unapoimaliza mwenge na kukaribia daraja la mlalakua kuna bango kubwa linakutahadharisha kwamba unaingia eneo la kambi ya jeshi,hivyo hivyo ukiwa unatokea tegeta,ukifika kilimani njia panda ya kawe kuna bango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…