Dah oya mimi nikajuaga inanikutaga mimi tu, amenifanyia mara mbili mara ya mwisho nilikua na jamaa yangu juice mbaya kinyama sijui maji ya mtaroni alafu buku glasi, jamaa anajifanya kama anakufahamu mliishaonana huku anakupa juice unywe yupo na toroli kajaza jaba la juiceView attachment 3063170
vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au....hebu pooza koo (unapewa juice)..
Mtakuja kulishwa sumu..yaani unaanzaje kunywa/kula kwa stranger?View attachment 3063170
unatembea zako ghafla unaitwa,
zinaanza stori "vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au"... mda huo huelewi chochote kombe linajazwa juice basi inadhani ni ukarimu
mnaendelea na story unajua pengine labda mliishi eneo moja huku ukizidi kuvuta picha umkumbuke.
mwisho wa siku anakwambia "ahsante Kwa kunichangia, hiyo buku tu"
Ukute jamaa huyu aliyeanzisha mada ni baba wa mtu nyumbanikuna mtu wa kukupa juice bure, hili ni swala la kutumia common sense tu wala amna tatizo
Weee jamaa sasa ndo mzawa kabisa hapa town..Akikuona umekaa kishamba shamba ndio anakushobokea.
Siishi Dar ila hizo juice zake nilikataa kunywa.View attachment 3063170
unatembea zako ghafla unaitwa,
zinaanza stori "vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au"... mda huo huelewi chochote kombe linajazwa juice basi inadhani ni ukarimu
mnaendelea na story unajua pengine labda mliishi eneo moja huku ukizidi kuvuta picha umkumbuke.
mwisho wa siku anakwambia "ahsante Kwa kunichangia, hiyo buku tu"
Hawaelewi code za town hao.Weee jamaa sasa ndo mzawa kabisa hapa town..
Saloute mkuu umeongea fact sana
Mi sijawahi kutana hizo ishu kila siku napita hapo....Hawaelewi code za town hao.
Akikujib nitag basSamahani mkuu wewe ni ke au me
Wakikuona umekaa kijanja wanakuwa waoga kukuletea shoboMi sijawahi kutana hizo ishu kila siku napita hapo....
Si hao wala boda boda
Yupo mwisho wa fensi ya kiwanda chaTBLMi sijawahi kutana hizo ishu kila siku napita hapo....
Si hao wala boda boda