Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Hakuna mtu anaependa kuishi maisha ya tabu. Hata ingekuwa ww usingekataa kwenda kuishi katika nyumba nzuri namna hii. Wale wanaokataa kuhama wengi wao ni wamasai wenye asili ya Kenya. Wanajua wakienda kuishi mbali na mpaka wa nchi yao, itakuwa rahisi kuwagundua. Na pia ile style ya kuvusha mifugo yao kutoka Kenya kuja Tanzania kufata majani itakuwa imekufa kifo cha mende.Wamasai wamesalimu amri. Usifanye mchezo na nguvu ya dola.