Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Hakuna mtu anaependa kuishi maisha ya tabu. Hata ingekuwa ww usingekataa kwenda kuishi katika nyumba nzuri namna hii. Wale wanaokataa kuhama wengi wao ni wamasai wenye asili ya Kenya. Wanajua wakienda kuishi mbali na mpaka wa nchi yao, itakuwa rahisi kuwagundua. Na pia ile style ya kuvusha mifugo yao kutoka Kenya kuja Tanzania kufata majani itakuwa imekufa kifo cha mende.Wamasai wamesalimu amri. Usifanye mchezo na nguvu ya dola.
Alafu magri ni mengi kuliko nyumba.Wakazi wa ngorongoro wamepanda coaster na wametosha !
Uchumi wa mkoa wa Tanga,utaongezeka,kiuchumi,wakiingia wafugsji,wakulima,wafanyabiashara au watu wa kama yoyote,uchumi unakuwa na kuongezeka.Wakazi wa ngorongoro wamepanda coaster na wametosha !
Kwa kiuchumi wa mkoa,hili ni jambo kubwa.Uchumi wa Kata,Tarafa,Wilaya,Mkoa,unaongezeka,wafugaji,wakulima,wafanyabiashara wanaongezeka.Wananchi wa mkoa wa Tanga,wamepata bahati.Ni kwa nini wapokelewe na mawaziri wengi kiasi hicho hili jambo ni natural kweli?
mwisho wa chuki ni aibu.Kweli mama Samia ni mpango wa Mungu, maana kila wamchukiao wanavyojitahidi kuzusha kwa nguvu kubwa sana ndivyo wanavyopotea kiurahisi sana.
chuki na uzushi mkubwa kupitiliza wa Kmb eti yeye ni mwarabu wa Oman vimemalizwa kwa tabasamu tu la mama bila hata kutia neno lolote, sana sana na clip tu ya the late jpm iliongea na kutoa 'umbuko/aibu' kuu kwa wenye nia ovu hao
Mungu anawaona. Watu wanaofanya maamuzi ya kuonea na kuumiza wengine huwa naona wakistaafu huwa wanaparalyse mwili upande mmoja wanacheza rege hilo kwanza miaka kadhaa kabla ya kufa na kulala mavumbini huku mashangingi waliyoyapenda na kuyatumia kunyanyasia wengine wameyaacha duniani
Maasai ndio mgambo wa asili wa kulinda wanyamapori hadi hao wanaowafurusha leo kukuta hao wanyama! tena wanaowafukuza Maasai mikoa yao haikutunza wala kulinda hata paka!@
Ila labda uhifadhi una faida zaidi kuliko Maasai kwa akili za serikali ndo maana wakamuondoa Vasco da Gama nchini kupisha kichapo cha Maasai
Aisee ni kweli kabisa!mwisho wa chuki ni aibu.
chuki chuki za kijinga hazina maana ktk maisha haya ya dunia.
chuki, unafiki na uzandiki kutaka kumkwamisha Mama ndio kinacho wasumbia baadhi ya wachawi.
Wakazi wa ngorongoro wamepanda coaster na wametosha !