Wakazi wa Gaza wawashukuru baadhi ya Watanzania waliowapatia misaada muhimu

Wakazi wa Gaza wawashukuru baadhi ya Watanzania waliowapatia misaada muhimu

Hata Paulo anamini Mungu ni mmoja lakini akapenda kuwafundisha hesabu za 1=3 alikua anajua wazi mijimga itakubali tu wenye akili ndio wakasema hapana 1=1

View: https://www.youtube.com/shorts/apT8TRVsUis?feature=share

Paul kafundisha ya Yesu, and tuelezee makosa hatari ya Paulo after met Jesus? and Na mimi nikupe mabaya aliyotenda Mohammad after met adui wa Jibril aliyeshusha Quran,

Mbona Quran inasema Jews wanasema Uzeir ni Mtoto wa Allah? alafu tukitizama vitabu vyote vya Kiyahudi hakuna jews yoyote aliyewahi sema walishawahi kuamini huo Ujinga wa Allah...kuhusu Uzair, Mlevi mwenzio Mohammad Hijab alisema Jews never worship anyone than Yahweh for four thousand years

Quran 9:30
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُمْ بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِنْ قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ
Al-Barwani
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
 
Mimi namini Qur'an na hao ma scholar kila mwenye kufata mafunzo ya Qur'an awe Ibadhi, Shia au Sunni mimi ni Ibadhi lakini naweza kusali nyuma ya Shia, Sunni au Madhehebu yeyote yale akiwa anasema Ashadu Allah ilaha illallah wa Ashhadu Anna Muhammadan Rasulullah.
Hamna huo uislam, huwezi mbishia Qutham Mohammad amesema Waislam watagawanyika sec 73 na sec moja tu ndio itaingia Firdaus na wengine motoni so usijidanganye kujifanya upo neutral Moto unakungoja, and Uongo wa Mudy katika uislam una sec zaidita thousands instead of 73

Chapter: The division of nations
(17)
باب افْتِرَاقِ الأُمَمِ

Imepokewa kutoka kwa ‘Awf bin Malik kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) amesema:
"Mayahudi wamegawanyika makundi sabini na moja, moja litakuwa Peponi na sabini Motoni. Wakristo wamegawanyika makundi sabini na mbili, sabini na moja watakuwa Motoni na moja Peponi. Naapa kwa Ambaye Mkono Wake ni roho ya Muhammad, Umma wangu utagawanyika makundi sabini na tatu, moja katika Pepo ya Peponi sabini." Ikasemwa: “Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, ni nani hao?” Alisema: "Mwili mkuu."

It was narrated from ‘Awf bin Malik that the Messenger of Allah(ﷺ) said:
“The Jews split into seventy-one sects, one of which will be in Paradise and seventy in Hell. The Christians split into seventy-two sects, seventy-one of which will be in Hell and one in Paradise. I swear by the One Whose Hand is the soul of Muhammad, my nation will split into seventy-three sects, one of which will be in Paradise and seventy-two in Hell.” It was said: “O Messenger of Allah, who are they?” He said: “The main body.”

حَدَّثَنَا عَمْرُو بْنُ عُثْمَانَ بْنِ سَعِيدِ بْنِ كَثِيرِ بْنِ دِينَارٍ الْحِمْصِيُّ، حَدَّثَنَا عَبَّادُ بْنُ يُوسُفَ، حَدَّثَنَا صَفْوَانُ بْنُ عَمْرٍو، عَنْ رَاشِدِ بْنِ سَعْدٍ، عَنْ عَوْفِ بْنِ مَالِكٍ، قَالَ قَالَ رَسُولُ اللَّهِ ـ صلى الله عليه وسلم ـ ‏"‏ افْتَرَقَتِ الْيَهُودُ عَلَى إِحْدَى وَسَبْعِينَ فِرْقَةً فَوَاحِدَةٌ فِي الْجَنَّةِ وَسَبْعُونَ فِي النَّارِ وَافْتَرَقَتِ النَّصَارَى عَلَى ثِنْتَيْنِ وَسَبْعِينَ فِرْقَةً فَإِحْدَى وَسَبْعُونَ فِي النَّارِ وَوَاحِدَةٌ فِي الْجَنَّةِ وَالَّذِي نَفْسُ مُحَمَّدٍ بِيَدِهِ لَتَفْتَرِقَنَّ أُمَّتِي عَلَى ثَلاَثٍ وَسَبْعِينَ فِرْقَةً فَوَاحِدَةٌ فِي الْجَنَّةِ وَثِنْتَانِ وَسَبْعُونَ فِي النَّارِ ‏"‏ ‏.‏ قِيلَ يَا رَسُولَ اللَّهِ مَنْ هُمْ قَالَ ‏"‏ الْجَمَاعَةُ ‏"‏ ‏.‏

Grade: Hasan (Darussalam)
Reference : Sunan Ibn Majah 3992
In-book reference : Book 36, Hadith 67
English translation : Vol. 5, Book 36, Hadith 3992
 
Waafrika bhn yaan watu wanapigwa hapo Sudan, Congo etc lkn msaada wamewapelekea ngoz nyeupe mbali huko.Enewei sipingani na madhara yanayowatokea wana Gaza ila charity begins at home
Mtu mweuzi ana slavery mindset kwa mtu mweupe hii ni laana yenye historia ndefu
 
View: https://www.youtube.com/shorts/apT8TRVsUis?feature=share

Paul kafundisha ya Yesu, and tuelezee makosa hatari ya Paulo after met Jesus? and Na mimi nikupe mabaya aliyotenda Mohammad after met adui wa Jibril aliyeshusha Quran,

Mbona Quran inasema Jews wanasema Uzeir ni Mtoto wa Allah? alafu tukitizama vitabu vyote vya Kiyahudi hakuna jews yeyete aliyewahi sema walishawahi kuamini huo Ujinga wa Allah... Mlevi mwenzio Mohammad Hijab alisema Jews never worship anyone than Yahweh for four thousand years

Quran 9:30
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُمْ بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِنْ قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ
Al-Barwani
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
We kenge Paulo kumjua Yesu hamjui, vipi aseme alimuota ana mtuma hahaha. Alicho fundisha Yesu ni Mungu mmoja tu, yeye kafundisha Miungu mitatu. Mafunzo yake hayajawahi hata siku moja kufanana na Yesu. We fatilia alio fundisha Yesu na aliye fundisha yeye tofauti yake kama mbingu na ardhi.

Kuhusu Mtume Muhammad ndio Mtume kaileta Qur'an wewe na ndugu zako wa kikristo na wayahudi leteni mfano mdogo tu wa Surah ya Qur'an kama mnaweza.

Mmeshindwa leo miaka zaidi 1420 kujibu hilo swali lipo kwenye Qur'an mmebakia blaa blaa nyingi tu.

Kuhusu Qur'an kusema Wayahudi wanasema Uzeir ni mtoto wa Mungu na ni Mungu wao. Je Qur'an ilisema Wayahudi wote wanasema hivyo? Au kama Wakristo sio wote wanao sema Yesu ni mtoto wa Mungu na ni Mungu na wako Wakristo walikuwa hata wakiomba dua wanasema kwa jina la baba, mama na mwana. Wengine wakaja kwa jina la baba. mwana na roho mtakatifu. Hata Qur'an ili wapoint wanao sema hayo Wakristo.

Qur'an iko sawa kabisa wako Wayahudi waliamini Uzeir ni Mungu. Uzeir (Ezra) aliishi katika kipindi cha karibu 450 BC. Wayahudi walimtazama kwa heshima kubwa kama mfufuaji wa Maandiko yao ambayo yalikuwa yamepotea wakati wa utumwa wao huko Babeli baada ya kifo cha nabii Sulemani. Kiasi kwamba walikuwa wamepoteza ujuzi wote wa sheria zao, mapokeo yao na ya Kiebrania, lugha yao ya taifa. Kisha Uzeir (Ezra) ndiye aliyeandika tena Agano la Kale na kuirudishaa sheria. Ndio maana walitumia lugha ya kupita kiasi katika heshima yake ambayo ilipotosha baadhi ya madhehebu ya Kiyahudi ili kumfanya ‘mwana wa Mungu. Qur'an hata hivyo, haisemi kwamba Wayahudi wote walikuwa na kauli moja katika kumtangaza Uzeir (Ezra) kama mwana wa Mungu. Inachokusudia kusema ni kwamba upotovu wa imani ya Mayahudi juu ya Mwenyezi Mungu ulikuwa umedrop sana kiasi kwamba kulikuwa na baadhi miongoni mwao wakimuona Uzeir ni Mungu.

Hata kuna Jews Rabbi anaitwa Ben Abrahmson aliandika in detail about this topic. He identified (Sadducees) Jews are the small group of Jews who believed (Ezra)is the son of God.
 
Acha uongo kusingizia watu wakati waislam ndio wanasema Mohammad alioa katoto kasikovunja ungo miaka 6, na kalipofikisha miaka 9 akakatumukizia dushelele lake akaharibu haribu uzazi wa mtoto asiyevunja ungo.
Waislam wapi hao walio sema na kuna hadithi nyingi zinazo thibitisha huo ni uwongo. Mtume alimuowa bi Aisha akiwa na umri wa miaka 18 wengine wanasema 19 na wengine wanasema 17 lakini ukweli bi Aisha alikuwa na umri wa miaka 18.
 
Unaogopa kusema nani kakufundisha Quran au hadith au wewe ndio mohammad member wa jf wamekupa sifa za ujinga wako.

Aisha mwenyewe kasema aliolewa akiwa na miaka sita wewe mburukenge unasema 18 na huna references yeyote kama Allah. Aisha alisema mama take alikuwa akimlisha matango akue haraka maana alikuwa na mwili mduchu.na alikuwa anachezea midori.

Tutajie muislam yeyote anayekuunga mkono ujinga wako usioisha au Wikipedia hahahahahaha...

26 The Book of Marriage

(78)Chapter: Consummation Of Marriage With A Girl Of Nine
(78)باب الْبِنَاءِ بِابْنَةِ تِسْعٍ ‏.‏
"Mjumbe wa Mwenyezi Mungu alinioa nikiwa na umri wa miaka sita na akanibaka nikiwa na miaka tisa."

It was narrated that 'Aishah said:
"The Messenger of Allah married me when I was six and consummated the marriage with me when I was nine."

أَخْبَرَنَا أَحْمَدُ بْنُ سَعْدِ بْنِ الْحَكَمِ بْنِ أَبِي مَرْيَمَ، قَالَ حَدَّثَنَا عَمِّي، قَالَ حَدَّثَنَا يَحْيَى بْنُ أَيُّوبَ، قَالَ أَخْبَرَنِي عُمَارَةُ بْنُ غَزِيَّةَ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ إِبْرَاهِيمَ، عَنْ أَبِي سَلَمَةَ بْنِ عَبْدِ الرَّحْمَنِ، عَنْ عَائِشَةَ، قَالَتْ تَزَوَّجَنِي رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم وَهِيَ بِنْتُ سِتِّ سِنِينَ وَبَنَى بِهَا وَهِيَ بِنْتُ تِسْعٍ ‏.‏

Grade:Hasan (Darussalam)
Reference: Sunan an-Nasa'i 3379
In-book reference: Book 26, Hadith 184
English translation: Vol. 4, Book 26, Hadith 3381

Angekuwa anamiaka 18 angechezea mdori wakati ni haram na aliyeharamisha ni mudy,

(10a)Chapter: The Treatment of Wives, and the Rights of each - Section 1
(10)باب عشرة النساء - الفصل الأول

‘Aisha akasema: Nilikuwa nikicheza na wanasesere katika nyumba ya Mtume na nilikuwa na masahaba ambao walicheza nami; lakini alipoingia Mtume wa Mwenyezi Mungu walijitenga naye. Kisha akawa anawatuma kwangu na wacheze pamoja nami (Bukhari na Muslim).

‘A’isha said:
I was playing with dolls in the Prophet’s house and I had companions who played with me; but when God’s Messenger entered they would withdraw from him. He would then send them to me and they would play with me.(Bukhari and Muslim.)

وَعَنْ عَائِشَةَ قَالَتْ: كُنْتُ أَلْعَبُ بِالْبَنَاتِ عِنْدَ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ وَكَانَ لِي صَوَاحِبُ يَلْعَبْنَ مَعِي فَكَانَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ إِذَا دَخَلَ ينقمعن فيسربهن إِلَيّ فيلعبن معي

مُتَّفَقٌ عَلَيْهِ (الألباني)حكم :
Reference: Mishkat al-Masabih 3243
In-book reference: Book 13, Hadith 161

81)Chapter: To be cheerful with the people
(81)باب الاِنْبِسَاطِ إِلَى النَّاسِ

Imepokewa kutoka kwa Aisha:

Nilikuwa nikicheza na wanasesere mbele ya Mtume, na marafiki zangu wasichana pia walikuwa wakinichezea. Na alipokuwa akiingia Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) walikuwa wakijificha, lakini Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akiwaita waungane na kucheza nami. (Kucheza na wanasesere na picha zinazofanana na hizo ni haramu, lakini iliruhusiwa kwa `Aisha wakati huo, kwani alikuwa msichana mdogo, bado hajafikisha umri wa balehe.) (Fath-ul-Bari ukurasa 143, Juz.13)

Narrated `Aisha:
I used to play with the dolls in the presence of the Prophet, and my girl friends also used to play with me. When Allah's Messenger (ﷺ) used to enter (my dwelling place) they used to hide themselves, but the Prophet would call them to join and play with me. (The playing with the dolls and similar images is forbidden, but it was allowed for `Aisha at that time, as she was a little girl, not yet reached the age of puberty.) (Fath-ul-Bari page 143, Vol.13)

حَدَّثَنَا مُحَمَّدٌ، أَخْبَرَنَا أَبُو مُعَاوِيَةَ، حَدَّثَنَا هِشَامٌ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَائِشَةَ ـ رضى الله عنها ـ قَالَتْ كُنْتُ أَلْعَبُ بِالْبَنَاتِ عِنْدَ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم وَكَانَ لِي صَوَاحِبُ يَلْعَبْنَ مَعِي، فَكَانَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم إِذَا دَخَلَ يَتَقَمَّعْنَ مِنْهُ، فَيُسَرِّبُهُنَّ إِلَىَّ فَيَلْعَبْنَ مَعِي‏.‏

Reference: Sahih al-Bukhari 6130
In-book reference: Book 78, Hadith 157
 
We kenge Paulo kumjua Yesu hamjui, vipi aseme alimuota ana mtuma hahaha.
Kasome usiwe kama Mapengo mwenzio mudy alipigwa jiwe mdomoni meno yote ya mbele akapoteza akalia sana, hakuweza kutamka quran vizuri. Bithimilai...
Alicho fundisha Yesu ni Mungu mmoja tu,
Ombeni na batizeni kwa jina la baba means na Roho mtakatifu.

Mathayo 28:19 BHN Nendeni basi, mkawafanye watu wa mataifa yote wawe wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.​

yeye kafundisha Miungu mitatu.
Mungu ni momja nafsi tatu, nikuulize mtoto wa Mungu ni Nani yeye ataitwa? Huyu ni Paulo nae?

Yohana 14:10​

Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake.
Mafunzo yake hayajawahi hata siku moja kufanana na Yesu. We fatilia alio fundisha Yesu na aliye fundisha yeye tofauti yake kama mbingu na ardhi.
Mbona mudy kacopy kuharamisha kamali kwa Paulo!
Kuhusu Mtume Muhammad ndio Mtume kaileta Qur'an
Kaleta wapi? Quran inasema adui wa Jibril ndie kashusha.
Uthman ndie Quran yake. Naomba uthibitisho who is Mohamad maana quran surat 61:6 inasema Isa anasema Mtume atakayekuja after yeye ataitwa Ahmed. So who is Ahmed? Au ndie Qutham au Paulo?
wewe na ndugu zako wa kikristo na wayahudi leteni mfano mdogo tu wa Surah ya Qur'an kama mnaweza.
Quran ni low iq why uige? Quran imecopy hadi Aya za shetan, mtume wako alipo ingiwa na iblis akasema amemsilimisha hivyo iblis akamfundisha mazuri tu hiyo mudy wa kuaminika kweli? Hata Jibril alakasirika
Mmeshindwa leo miaka zaidi 1420 kujibu hilo swali lipo kwenye Qur'an mmebakia blaa blaa nyingi tu.
Mnauliza same Question na Majibu mnapewa hayo hayo mmekuwa kama yai na kuku kipi kimeanza
Kuhusu Qur'an kusema Wayahudi wanasema Uzeir ni mtoto wa Mungu na ni Mungu wao. Je Qur'an ilisema Wayahudi wote wanasema hivyo?
Ndio Quran ni Allah Sasa wewe badilisha maneno Allah kwetu ni kilaza.
Au kama Wakristo sio wote wanao sema Yesu ni mtoto wa Mungu na ni Mungu na wako Wakristo walikuwa hata wakiomba dua wanasema kwa jina la baba, mama na mwana.
Tunaomba Proof, Allah alikuwa kilaza nakuambia hawajui wakristo na hana uelewa. Ingekuwa yeye ndie angekuwa amesasabisha mimba ya Mariam Kwa kuweka neno na kupuliza spirit in the form of perfect man asingemkataa mwanae, but Christianity amekubali mwanae.
Wengine wakaja kwa jina la baba. mwana na roho mtakatifu. Hata Qur'an ili wapoint wanao sema hayo Wakristo.
Huo ndio ukristo. And Quran hakuna Aya inayotambua kuwa trinity ni Mungu Baba mwana na Roho Mtakatifu show us na hutojibu hili najua
Qur'an iko sawa kabisa wako Wayahudi waliamini Uzeir ni Mungu. Uzeir (Ezra)
So kundi la wayahudi wa Medina na mecca kasoro wa Jerusalem,Judea,Samaria,Lod Jericho n.k hii inaonesha Allah hajui chochote zaidi ta territory yake mecca and jirani na mecca.
aliishi katika kipindi cha karibu 450 BC. Wayahudi walimtazama kwa heshima kubwa kama mfufuaji wa Maandiko yao ambayo yalikuwa yamepotea wakati wa utumwa wao huko Babeli baada ya kifo cha nabii Sulemani. Kiasi kwamba walikuwa wamepoteza ujuzi wote wa sheria zao, mapokeo yao na ya Kiebrania, lugha yao ya taifa. Kisha Uzeir (Ezra) ndiye aliyeandika tena Agano la Kale na kuirudishaa sheria. Ndio maana walitumia lugha ya kupita kiasi katika heshima yake ambayo ilipotosha baadhi ya madhehebu ya Kiyahudi ili kumfanya ‘mwana wa Mungu. Qur'an hata hivyo, haisemi kwamba Wayahudi wote walikuwa na kauli moja katika kumtangaza Uzeir (Ezra) kama mwana wa Mungu. Inachokusudia kusema ni kwamba upotovu wa imani ya Mayahudi juu ya Mwenyezi Mungu ulikuwa umedrop sana kiasi kwamba kulikuwa na baadhi miongoni mwao wakimuona Uzeir ni Mungu.

Hata kuna Jews Rabbi anaitwa Ben Abrahmson aliandika in detail about this topic. He identified (Sadducees) Jews are the small group of Jews who believed (Ezra)is the son of God.
Huyo Rabbi unamuamini muislam mwenzio Mo Hijab hujamuamini?
 
Si mlikuwa mnasema ile October 7 mtaifuta Israel Leo mnapost kupewa vyakula na kuchangia vyakula.

Sasa jichanganyeni kwenye hivyo vyakula muweke hata visu kama silaha muone.
 
Pombe sio Haram Pepon huko Allah kawaandalia and Mtume wenu pia alikuwa mlevi hadi pale alipoanza kuumwa akapiga marufuku sababu aliona donge. huyo hapo hayupo kweye Sara so ni ruksa

Ukiujua Uislam haukupi Shida Hijab anajua hamwezi kumbana

Quran 16:67
وَمِنْ ثَمَرَاتِ النَّخِيلِ وَالْأَعْنَابِ تَتَّخِذُونَ مِنْهُ سَكَرًا وَرِزْقًا حَسَنًا ۗ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَةً لِقَوْمٍ يَعْقِلُونَ
Al-Barwani

Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili.

Quran 4:43
Al-Barwani
Enyi mlio amini! Msikaribie Sala, hali mmelewa, mpaka myajue mnayo yasema, wala hali mna janaba - isipo kuwa mmo safarini - mpaka mkoge. Na mkiwa wagonjwa, au mmo safarini, au mmoja wenu ametoka chooni, au mmewagusa wanawake - na msipate maji, basi ukusudieni mchanga safi, mpake nyuso zenu na mikono yenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kughufiria.
Tutoleeni hizi takataka nyie wajinga mliojaa minyororo ya utumwa wa Fikra vichwani
 
Unaogopa kusema nani kakufundisha Quran au hadith au wewe ndio mohammad member wa jf wamekupa sifa za ujinga wako.

Aisha mwenyewe kasema aliolewa akiwa na miaka sita wewe mburukenge unasema 18 na hunt references yeyote kama Allah. Aisha alisema mama take alikuwa akimlisha matango akue haraka maana alikuwa na mwili mduchu.na alikuwa anachezea midori.

Tutajie muislam yeyote anayekuunga mkono ujinga wako usioisha au Wikipedia hahahahahaha...

26 The Book of Marriage

(78)Chapter: Consummation Of Marriage With A Girl Of Nine
(78)باب الْبِنَاءِ بِابْنَةِ تِسْعٍ ‏.‏
"Mjumbe wa Mwenyezi Mungu alinioa nikiwa na umri wa miaka sita na akafunga ndoa nami nikiwa na miaka tisa."

It was narrated that 'Aishah said:
"The Messenger of Allah married me when I was six and consummated the marriage with me when I was nine."

أَخْبَرَنَا أَحْمَدُ بْنُ سَعْدِ بْنِ الْحَكَمِ بْنِ أَبِي مَرْيَمَ، قَالَ حَدَّثَنَا عَمِّي، قَالَ حَدَّثَنَا يَحْيَى بْنُ أَيُّوبَ، قَالَ أَخْبَرَنِي عُمَارَةُ بْنُ غَزِيَّةَ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ إِبْرَاهِيمَ، عَنْ أَبِي سَلَمَةَ بْنِ عَبْدِ الرَّحْمَنِ، عَنْ عَائِشَةَ، قَالَتْ تَزَوَّجَنِي رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم وَهِيَ بِنْتُ سِتِّ سِنِينَ وَبَنَى بِهَا وَهِيَ بِنْتُ تِسْعٍ ‏.‏

Grade: Hasan (Darussalam)
Reference : Sunan an-Nasa'i 3379
In-book reference : Book 26, Hadith 184
English translation : Vol. 4, Book 26, Hadith 3381

Angekuwa anamiaka 18 angechezea mdori wakati ni haram na aliyeharamisha ni mudy,

(10a)Chapter: The Treatment of Wives, and the Rights of each - Section 1
(10)باب عشرة النساء - الفصل الأول

‘Aisha akasema: Nilikuwa nikicheza na wanasesere katika nyumba ya Mtume na nilikuwa na masahaba ambao walicheza nami; lakini alipoingia Mtume wa Mwenyezi Mungu walijitenga naye. Kisha akawa anawatuma kwangu na wakanichezea (Bukhari na Muslim).

‘A’isha said:
I was playing with dolls in the Prophet’s house and I had companions who played with me; but when God’s Messenger entered they would withdraw from him. He would then send them to me and they would play with me.(Bukhari and Muslim.)

وَعَنْ عَائِشَةَ قَالَتْ: كُنْتُ أَلْعَبُ بِالْبَنَاتِ عِنْدَ النَّبِيِّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ وَكَانَ لِي صَوَاحِبُ يَلْعَبْنَ مَعِي فَكَانَ رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ إِذَا دَخَلَ ينقمعن فيسربهن إِلَيّ فيلعبن معي

مُتَّفَقٌ عَلَيْهِ (الألباني)حكم :
Reference : Mishkat al-Masabih 3243
In-book reference : Book 13, Hadith 161

81)Chapter: To be cheerful with the people
(81)باب الاِنْبِسَاطِ إِلَى النَّاسِ

Imepokewa kutoka kwa Aisha:

Nilikuwa nikicheza na wanasesere mbele ya Mtume, na marafiki zangu wasichana pia walikuwa wakinichezea. Na alipokuwa akiingia Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) walikuwa wakijificha, lakini Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akiwaita waungane na kucheza nami. (Kucheza na wanasesere na picha zinazofanana na hizo ni haramu, lakini iliruhusiwa kwa `Aisha wakati huo, kwani alikuwa msichana mdogo, bado hajafikisha umri wa balehe.) (Fath-ul-Bari ukurasa 143, Juz.13)

Narrated `Aisha:
I used to play with the dolls in the presence of the Prophet, and my girl friends also used to play with me. When Allah's Messenger (ﷺ) used to enter (my dwelling place) they used to hide themselves, but the Prophet would call them to join and play with me. (The playing with the dolls and similar images is forbidden, but it was allowed for `Aisha at that time, as she was a little girl, not yet reached the age of puberty.) (Fath-ul-Bari page 143, Vol.13)

حَدَّثَنَا مُحَمَّدٌ، أَخْبَرَنَا أَبُو مُعَاوِيَةَ، حَدَّثَنَا هِشَامٌ، عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَائِشَةَ ـ رضى الله عنها ـ قَالَتْ كُنْتُ أَلْعَبُ بِالْبَنَاتِ عِنْدَ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم وَكَانَ لِي صَوَاحِبُ يَلْعَبْنَ مَعِي، فَكَانَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم إِذَا دَخَلَ يَتَقَمَّعْنَ مِنْهُ، فَيُسَرِّبُهُنَّ إِلَىَّ فَيَلْعَبْنَ مَعِي‏.‏

Reference : Sahih al-Bukhari 6130
In-book reference : Book 78, Hadith 157
Eti Aisha mwenyewe kasema dalili zenu zote ni fake story nani aliye muona bi Aisha mpaa akamhoji hahahahaha.

Hivi wewe unajua Mtume Muhammad anasema nini kumsalimia mke wa mtu kisheria ya kislam mpaa uchukue idhini ya mme wake. Hivi hao walio mhoji bi Aisha walichukua idhini kwa nani hahaha. Au walingojea mpaa kafa Mtume ndo wakamhoji hahaha.

Waswahili wanasema dalili ya mtu muongo ni fupi sana.

Nani angeweza kuingia nyumba ya Mtume bila idhini yake.

Punguzeni uwongo
 
Kasome usiwe kama Mapengo mwenzio mudy alipigwa jiwe mdomoni meno yote ya mbele akapoteza akalia sana, hakuweza kutamka quran vizuri. Bithimilai...

Ombeni na batizeni kwa jina la baba means na Roho mtakatifu.

Mathayo 28:19 BHN Nendeni basi, mkawafanye watu wa mataifa yote wawe wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.​

Mungu ni momja nafsi tatu, nikuulize mtoto wa Mungu ni Nani yeye ataitwa? Huyu ni Paulo nae?

Yohana 14:10​

Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake.

Mona mudy kacopy kuharamisha kamali kwa Paulo!

Kaleta wapi? Quran inasema adui wa Jibril ndie kashusha.
Uthman ndie Quran yake. Naomba uthibitisho who is Mohamad maana quran surat 61:6 inasema Isa anasema Mtume atakayekuja after yeye ataitwa Ahmed. So who is Ahmed? Au ndie Qutham au Paulo?

Quran ni low iq why uige? Quran imecopy hadi Aya za shetan, mtume wako alipo ingiwa na iblis akasema amemsilimisha hivyo iblis akamfundisha mazuri tu hiyo mudy wa kuaminika kweli? Hata Jibril alakasirika

Mnauliza same Question na Majibu mnapewa hayo hayo mmekuwa kama yai na kuku kipi kimeanza

Ndio Quran ni Allah Sasa wewe badilisha maneno Allah kwetu ni kilaza.

Tunaomba Proof, Allah alikuwa kilaza nakuambia hawajui wakristo na hana uelewa. Ingekuwa yeye ndie angekuwa amesasabisha mimba ya Mariam Kwa kuweka neno na kupuliza spirit in the form of perfect man asingemkataa mwanae, but Christianity amekubali mwanae.

Huo ndio ukristo. And Quran hakuna Aya inayotambua kuwa trinity ni Mungu Baba mwana na Roho Mtakatifu show us na hutojibu hili najua

So kundi la wayahudi wa Medina na mecca kasoro wa Jerusalem,Judea,Samaria,Lod Jericho n.k hii inaonesha Allah hajui chochote zaidi ta territory yake mecca and jirani na mecca.

Huyo Rabbi unamuamini muislam mwenzio Mo Hijab hujamuamini?
Wewe huna jipya hizo hizo Story zako za kila siku, we ulimuona Mtume Muhammad ana mapengo au ni part ya fake hadithi zenu. Nimekuliza Paulo alimuona wapi Yesu wakati Yesu hakuwahi hata kuwa na mwanafunzi anaitwa Paulo. Wala hakuna hata history inayo thibisha waliwahi kukutana na Yesu

Hio aya kwenye Mathayo inazungumzia mataifa yote, wakati Yesu alisema nimetumwa kwa kondoo walio potea wa Israel.

Sa we huoni ujinga wenu mnamzulia Yesu wapi Yesu alisema alitumwa kwa mataifa yote.

Huyo Paulo anasema kwenye Yohana mimi ni ndani ya baba, na baba yu ndani yangu huyo anaota ndoto. Vipi Mungu awe ndani yake wakati yupo mbali na mafunzo ya Yesu na Mungu. Huyo ni shetani ndio yupo ndani yake anasema Mungu lakini anafahamu wazi sio Mungu ni shetani ndio yupo ndani yake.

Eti hakuna Aya inasema Trinity ni Mungu hahaha Qur'an haiungi mkono dhana ya Kikristo ya 1=3 ambayo inaweka Mungu kama kiumbe cha utatukinacho jumuisha Baba, Mwana (Yesu), na Roho Mtakatifu. Badala yake, Qur'an inakataa waziwazi wazo la Mungu kuwa sehemu ya utatu na inasisitiza umoja kamili wa Mungu (Tawhid).

Qur’ani inasema katika Sura Al-Ma’idah (5:73): “Hakika wamekufuru waliosema kuwa Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa watatu” na katika Sura An-Nisa (4:171) inasema “Wala msiseme watatu; acheni ni bora kwenu”. Aya hizi zinafasiriwa kama kukataa moja kwa moja dhana ya Utatu.

Qur'an pia inapinga wazo kwamba Yesu ni Mungu au sehemu ya Mungu. Inadai kwamba Yesu alikuwa nabii na mjumbe wa Mungu, lakini si Mungu kwa njia sawa na Wakristo wanaamini kulingana na baadhi ya tafsiri za Qur'an.

Qur'an inasisitiza kuwa Mwenyezi Mungu ni wa kipekee na hana mshirika wala anayelingana naye. Sa vipi unataka Qur'an itambue ujinga wenu wa Trinity.
 
Eti Aisha mwenyewe kasema dalili zenu zote ni fake story nani aliye muona bi Aisha mpaa akamhoji hahahahaha.

Hivi wewe unajua Mtume Muhammad anasema nini kumsalimia mke wa mtu kisheria ya kislam mpaa uchukue idhini ya mme wake. Hivi hao walio mhoji bi Aisha walichukua idhini kwa nani hahaha. Au walingojea mpaa kafa Mtume ndo wakamhoji hahaha.

Waswahili wanasema dalili ya mtu muongo ni fupi sana.

Nani angeweza kuingia nyumba ya Mtume bila idhini yake.

Punguzeni uwongo
Prove huo uongo " in tunkum sadiqeen"

Hao waliohadithia kuhusu aisha ndio Hao Hao wamekuadithia kuwa msile nguruwe
na wakaotwa Sahih, nimekuambia weka source zako za 18 years old tusome hahaha huna ushahidi na umaogopa

Vipi Mtume wako mudy kwenda kwa mke wa zayd mkwewe kisha akasex nae then akasema Allah alipuliza upepo pazia Zaynab akiwa hana nguo za ndani akapata nyege kisha akaja kumuona mke wa mwanae Zayd hahaha

Quran 33:37
 
Tutoleeni hizi takataka nyie wajinga mliojaa minyororo ya utumwa wa Fikra vichwani
Ndio maana tunaupinga uislam na uovu wao wanajifanya wema huku wamepanga yao siku za mbeleni.

Minyonyoro ni ushetani wa Allah waislam walifunga watumwa shingoji na miguuni, Allah yeye abasema atawatia matakoni kwenye tundu na minyororo itatokea mdomoni.
Quran 76:4 Hakika Sisi tumewaandalia makafiri minyororo na pingu na Moto mkali.
69:32 Tena mtatizeni katika mnyororo wenye urefu wa dhiraa sabiini!
Summa fee silsilatin zar’uhaa sab’oona ziraa’an faslukooh
Sahih International:
Then into a chain whose length is seventy cubits insert him.”
 
Wewe huna jipya hizo hizo Story zako za kila siku, we ulimuona Mtume Muhammad ana mapengo au ni part ya fake hadithi zenu.
Hadith zimeletwa na waislam walioheshimiwa na waislam wote battle of uhud wewe punda unakataa haha mapengo.

View: https://youtu.be/S7NcdgzmF6M?t=181
Kuna hadithi inasema alipigwa jiwe tena alikuwa mbali akiogopa frontline wakampopoa meno ya mbele yote, lia muslims story zenu zote wanaongeza uongo huyu nae kaja na mpya eti mikuki enh
(4a)Chapter: The Commission and the Beginning of the Revelation - Section 1
(4)باب المبعث وبدء الوحي - الفصل الأول

Anas alisimulia kwamba wakati mmoja wa meno ya mjumbe wa Mwenyezi Mungu kati ya sehemu ya mbele na meno ya mchongoko lilipovunjika kwenye vita vya Uhud na alipasuka kichwani, alianza kuitoa damu hiyo ndani yake na kusema, “Vipi watu waliopasua kichwa cha mtume wao na kumvunja jino karibu na uso watafanikiwa?’’ Muslim aliisambaza.

Anas told that when one of God's messenger's teeth between the front and the canine teeth was broken at the battle of Uhud and a cut was made in his head, he began to remove the blood from himself and say, "How can a people who have split the head of their prophet and broken his tooth next to his eyetooth prosper?''Muslim transmitted it.

وَعَنْ أَنَسٍ أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ كُسِرَتْ رَبَاعِيَتُهُ يَوْمَ أُحُدٍ وَشُجَّ رَأْسِهِ فَجَعَلَ يَسْلُتُ الدَّمَ عَنْهُ وَيَقُولُ: «كَيْفَ يُفْلِحُ قَوْمٌ شَجُّوا رَأْسَ نَبِيِّهِمْ وَكَسَرُوا رَبَاعِيَتَهُ» . رَوَاهُ مُسلم

Reference: Mishkat al-Masabih 5849
In-book reference: Book 29, Hadith 107

Imepokewa kutoka kwa Anas kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliharibika meno yake ya mbele siku ya Vita vya Uhud, na akapata jeraha kichwani. Alikuwa anapangusa damu (kutoka usoni mwake) na alikuwa akisema:

Je, watu hawa wataupataje wokovu ambao wamemjeruhi Mtume wao na kumvunja jino na hali yeye aliwaita kwa Mwenyezi Mungu? Wakati huu, Mungu, Aliyetukuka na Mtukufu, aliiteremsha Aya: “Wewe huna mamlaka” (iii. 127)
Reference: Sahih Muslim 1791
In-book reference: Book 32, Hadith 127
USC-MSA web (English) reference: Book 19, Hadith 4417

Nimekuliza Paulo alimuona wapi Yesu wakati Yesu hakuwahi hata kuwa na mwanafunzi anaitwa Paulo. Wala hakuna hata history inayo thibisha waliwahi kukutana na Yesu
Alimtokea alipokuwa njian kuua wakristo. Then everything changes to him.
Quran pia imethibitisha Paulo. Bulus
Hio aya kwenye Mathayo inazungumzia mataifa yote, wakati Yesu alisema nimetumwa kwa kondoo walio potea wa Israel.
Weka Aya Kwa maandishi. Maana yesu alisema endeni mkaitangaze injil kwa mataifa yote. Hujui viongozi wa kiyahudi ndio walimkataa ? Wakristo wa kwanza ni Hao hao jews
Sa we huoni ujinga wenu mnamzulia Yesu wapi Yesu alisema alitumwa kwa mataifa yote.
Huyo Paulo anasema kwenye Yohana mimi ni ndani ya baba, na baba yu ndani yangu huyo anaota ndoto. Vipi Mungu awe ndani yake wakati yupo mbali na mafunzo ya Yesu na Mungu. Huyo ni shetani ndio yupo ndani yake anasema Mungu lakini anafahamu wazi sio Mungu ni shetani ndio yupo ndani yake.
Vipi Allah kusema ndani ya Yesu Kuna roho take na neno lake unamaoni hapo? Quran 4:171
Christ Jesus the son of Mary was a messenger of Allah, and His Word, and a spirit proceeding from Him: so believe in Allah and His messengers.
Eti hakuna Aya inasema Trinity ni Mungu hahaha Qur'an haiungi mkono dhana ya Kikristo ya 1=3 ambayo inaweka Mungu kama kiumbe cha utatukinacho jumuisha Baba, Mwana (Yesu), na Roho Mtakatifu.
Huna akili kasome tena swali, muslim mna less memory
Badala yake, Qur'an inakataa waziwazi wazo la Mungu kuwa sehemu ya utatu na inasisitiza umoja kamili wa Mungu (Tawhid).
Elezea tawheed tucheke, hahaha

Allah anasema anawenzake kwenye Quran akitaka kuzaa nao. 21:17
Qur’ani inasema katika Sura Al-Ma’idah (5:73): “Hakika wamekufuru waliosema kuwa Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa watatu” na katika Sura An-Nisa (4:171) inasema “Wala msiseme watatu; acheni ni bora kwenu”. Aya hizi zinafasiriwa kama kukataa moja kwa moja dhana ya Utatu.
Vipi Quran 112:1 قُلۡ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ

Qul huwa Allahu ahad = Allah ni mmoja Kati ya ​

ahad maana yake ni one off = moja kati ya

أَحَد [ʼaḥad] {noun}​

EN
https://www.jamiiforums.com/javascript:babTTS('https://prod-media.bab.la/sounds/en/0/c/c/0cc175b9c0f1b6a831c399e269772661.mp3', 'a');
Sasa Allah ni mmoja Kati ya Nyani au Pigs? Sanamu? Angekuwa mmoja angesema Allahu wahid na sio Ahad

kama yupo alone na angekuwa Mungu why amuombee baraka Mohammad Kwa nani? Quran 33:56 na pia anawaambia malaika wamuombee maana yeye hatoshi. Maana baraka zinaweza kataliwa.

Why anasema hivi is he who create heaven? Who is he?

Qur'an pia inapinga wazo kwamba Yesu ni Mungu au sehemu ya Mungu. Inadai kwamba Yesu alikuwa nabii na mjumbe wa Mungu, lakini si Mungu kwa njia sawa na Wakristo wanaamini kulingana na baadhi ya tafsiri za Qur'an.
Kama Quran ingepinga Yesu kuwa Mungu what about hizi Aya :-
22:73 hii Aya yasema anayestahili kuabudiwa at least aumbe Nzi Sasa Jesus aliumba ndege amehitimu.

2:62 Hakika Walio amini, na Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye muamini Allah na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata malipwa yao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.

Kila mmoja Ana Mola wake nyie Allah sisi na jews tunae jesus
Qur'an inasisitiza kuwa Mwenyezi Mungu ni wa kipekee na hana mshirika wala anayelingana naye. Sa vipi unataka Qur'an itambue ujinga wenu wa Trinity.
Kadanganye madrassa soma hao kina Allah kibao wakike na kiume wakitaka kunjunjana.

Quran 21:17 Kama tungeli taka kufanya mchezo tunge jifanyia Sisi wenyewe, lau kwamba tungeli kuwa ni wafanyao mchezo.

لَوۡ أَرَدۡنَآ أَن نَّتَّخِذَ لَهۡوٗا لَّٱتَّخَذۡنَٰهُ مِن لَّدُنَّآ إِن كُنَّا فَٰعِلِينَ
21:17

Law aradnaaa an nattakhiza lahwal lat takhaznaahu mil ladunnaaa in kunnaa faa’ileen

Nilishakuambia ubadilishe signature yako ni ya uongo mkuu
 
Prove huo uongo " in tunkum sadiqeen"

Hao waliohadithia kuhusu aisha ndio Hao Hao wamekuadithia kuwa msile nguruwe
na wakaotwa Sahih, nimekuambia weka source zako za 18 years old tusome hahaha huna ushahidi na umaogopa

Vipi Mtume wako mudy kwenda kwa mke wa zayd mkwewe kisha akasex nae then akasema Allah alipuliza upepo pazia Zaynab akiwa hana nguo za ndani akapata nyege kisha akaja kumuona mke wa mwanae Zayd hahaha

Quran 33:37
Nimeisha kuambia wewe Kenge Qur'an na Mtume pia wanazikataa hadithi ambazo hazikubaliani na Qur'an sa wewe unatulazimisha tuzikubali hizo hadithi au huyo Bukhairi wapi alimsikia Aisha akisema hayo aliolewa ana miaka 6 uthibitisha wake upo wapi? Alikuwa na nani time Aisha kamwambia alikuwa ana umri wa miaka 6 hahaha.

Mimi nakupa jibu ndani ya Qur'an kwamba hadithi hata Mtume Muhammad alisema wasiziamini hata kama yeye kaziongea kwanini jiulize hapo.

Je, Qur'an inakataza au kuruhusu ‘ndoa za utotoni’? Je, ridhaa ya mwanamke ni muhimu kwa mkataba halali wa ndoa?

Qur'an ndio kamilifu. Hadith ini za ukweli kiasi ambazo zinakubaliana na Qur'an

(Sura Haqqah: 51)
Mwenyezi Mungu anasema katika Qur'an kuwa ni ufafanuzi wa MAMBO YOTE (16:89). Hili halijasemwa kuhusu Hadithi. Qur'an ina UKWELI WOTE lakini Hadithi hazikuwahi kuitwa kuwa ni za Kweli kabisa.

Hadithi ni za kweli baada ya mchakato unaostahiki wa uhakika na hata baada ya mchakato huo, hauwezi kufikia kiwango cha Qur'an. Hili linathibitishwa na Qur'an. Hili hata linathibitishwa na Hadithi zenyewe.

We know very well how the Prophet Muhammad forbade and prohibited the recording of hadith along with the Qur'an.

“Do not write anything from me; whoever has written anything from me other than the Qur’an, let him erase it..”

(Narrated by Muslim, al-Zuhd wa’l-Raqaa’iq, 5326)

Kwa nini alisema hivyo? Fikiri vizuri Kama alifikiri Qur'an na Hadithi viko sawa kwa nini atakataza uandishi wa Hadith wakati Qur'an ilikuwa unafanyika. Jibu ni rahisi sana ni kwa sababu alijua kwamba Qur'an imekingwa kabisa na uwongo wowote. Wakati Hadithi utaingizwa uwongo Kwa hiyo Qur'an ni tofouti na hadithi.

And that is why the Hadith collections were compiled some 200 years after the Prophet. Whereas the Qur'an was compiled BY THE PROPHET HIMSELF see the difference.

Katika sheria ndani ya desturi ya Kislamu
Kwa wazi tunaweza kuona kwamba kuna daraja katika elimu ya Kiislamu ambayo imeanzishwa kwanza na Qur'an yenyewe na hata kwa kauli za Mtume pamoja na Maswahaba.

Hata na prove kwamba Aisha hakuolewa kutokana na hadithi za uhakika sii unazo ogota wewe. Wewe unadhani na sisi hatuwezi kucopy hadithi za kweli ambazo ukizitama zinaenda kabisa na Qur'an sio hadithi zako.

As Dr. Mawlana Fazlur Rahman Ansari Al-Qadri explains in his Quranic Foundations:

“…the Qur’an is absolutely authentic, while even the best Hadith literature is only relatively authentic — namely, authentic only in a qualified manner. And, of course, every student of Islam knows all the mischief in the field of Hadith perpetrated by the forces of counter-revolution in the very early period of Muslim history, — a mischief which emerged in the form of sects and schisms, and which forged the Traditions relating to certain aspects of Islamic life and history to an extent that the confusion created thereby has continued to plague the Muslim society up to the present day.

In conclusion, it is the function of the Qur’an to sit in judgment on the Hadith, and not vice versa; thus, a basic study of Islam in the perspective of the Qur’an emerges as the fundamental necessity…”

(Quranic Foundations and Structure of Muslim Society, Vol 1, pxxviii)

INTERNALIZE THIS:

BECAUSE THE QURAN IS WAY HIGHER IN AUTHORITY AND AUTHENTICITY AS COMPARED TO THE HADITH. IT IS THE PURPOSE OF THE QURAN TO SIT IN JUDGMENT OF THE HADITH. MEANING THE QURAN WILL INFORM US WHICH HADITH IS CORRECT AND WHICH IS NOT. IT IS NOT THE PURPOSE OR PLACE OF THE HADITH TO SIT IN JUDGMENT OF THE QURAN. THE HADITH DOES NOT ENJOY THAT HIGHER STATUS ABOVE THE QURAN. NOTHING IS ABOVE THE QURAN.

Now keeping all of this in mind what is the methodology to study any subject within Islam? Are Islamic texts like novels? Are all Islamic texts on the same level of veracity and authority? NO !

Methodology to understand any subject within Islam
Step 1: Go straight to the Quran first. Not the Hadith.
When we need to study a subject, first we have to understand it from the lens of the Quran. WHEN YOU SEE A SCHOLAR GO TO A HADITH DIRECTLY WITHOUT CONSULTING THE QURAN. YOU SHOULD KNOW THAT THIS PERSON HAS NO CLUE ABOUT ISLAM.
It is utter disrespect towards the Quran if you bypass the Quran and go straight to the hadith to understand a subject. It is even more disrespectful, if you go to biological surveys or data on a subject, before consulting the Quranic take on an Islamic matter.

Step 2: Don’t take the Quran out of context. Read the Quran AS A WHOLE, NOT IN PARTS.

You cannot take an ayat of the Quran in isolation from the rest of the Quran. You have to build a ‘system of meaning’ by collecting all of the ayaat that talk about the particular subject and then only can you understand the subject correctly.[1] And isn’t that true for all books? You cannot take any line in a book in isolation from the rest of the text. You have to consider the context. But in the Quran you have to consider the entire Quran as a holistic organism where one part of it explains and complements the other. Allah Most High says the Quran is like the night sky. For a traveler to get the right direction, he has to consider all the star positions and their relations with each other. Otherwise, he will never be able to find his way. [2]

Step 3: Go to the Hadith now.

Only after establishing the correct view from the Quran can you now move to the Hadith. Only after building the ‘System of Meaning’ with regards a subject can you now move to the Hadith. It is utter ignorance and disrespect towards the Quran when you find scholars consulting the Hadith first and giving it more importance than the Quran. The Quran is the direct Speech and Attribute of Allah. How can you even think of ignoring that and still call your self a student of Islam?

Step 4: Collect all the Hadith that fit the System of Meaning derived from the Quran.

Lastly, we need to collect all the Hadith that fit and complement the meanings and conclusions that were derived from the Quran. THE PURPOSE OF THE HADITH IS NOT TO SIT IN JUDGMENT OF THE QURAN. The Quran because of being the Absolute Truth can sit in judgement over the Hadith. So most of the time we find the Hadith complementing and explaining the Quran. But sometimes (very rarely) we find a Hadith that conflicts with the Quran. What to do in that situation? What if the Hadith has entered into a Sahih Collection? In such a situation we take the guidance of the Quran and the Prophet and we side with the Quran and not with the Hadith because the Quran sits in judgment over the Hadith. The Hadith cannot sit in judgment over the Quran and overrule or override the Quranic narrative. That is disrespecting the Speech of Allah.
Now let’s move on to a classic example of this conflict between a Hadith and the Quran.

Understanding Sayyidah Aisha (ra)’s age through the Quran
If we want to study the subject of marriage (Nikah) in Islam, we need to take the right methodology. Let’s go to the Quran first. Collect all the ayaat that talk about marriage and build the ‘System of Meaning’. You will be compelled to see that WHENEVER THE QURAN MENTIONS MARRIAGE (NIKAH) IT ALWAYS RELATES IT WITH NISA (WOMEN). NEVER WITH CHILDREN (ATFAL). And we know that the Prophet (saw) was the Quran personified. He would never go against the Quran. So when we find the Hadith that says that the Prophet married Aisha (ra) when she was a 9-year-old CHILD, THAT HADITH IS IN DIRECT CONFLICT WITH THE QURAN.

All of these ayaat talk about marriage. And all of these ayaat imply marriage is to be done with women (females who have attained puberty) Meaning females who have:
1. Started their menstrual cycles
2. Developed natural feelings of attraction towards the opposite gender
3. Most importantly developed their free will and consent.

A child neither feels any sexual attraction nor has a matured free will to consent to something.

Press enter or click to view image in full size

Press enter or click to view image in full size

So clearly we can see the Quran does NOT define marriage as a union between a man and a child. It defines marriage or nikah to be a union between a mature man and a mature woman. Lets take one of these ayaat:

Press enter or click to view image in full size

Translation: And do not marry WOMEN (NISA) that your fathers married, unless it be a thing of the past; surely that is indecent and hateful; an evil way. (4: 22)

So child marriage is out of the question according to the Quran. Whenever Nikah is mentioned it is always mentioned with Nisa (women) never with children.

The Qur’an states:

‎وَابْتَلُوا الْيَتَامَىٰ حَتَّىٰ إِذَا بَلَغُوا النِّكَاحَ فَإِنْ آنَسْتُمْ مِنْهُمْ رُشْدًا فَادْفَعُوا إِلَيْهِمْ أَمْوَالَهُمْ

And test the orphans maturity until they reach “marriageable age”. Then if you perceive in them sound judgment, release their property to them… (Qurān 4:6)

The consensus on what constitutes ‘marriageable age’ is post puberty.

The laughable argument about early menstruation in arid Medieval Arabia
Now there are some who would get absurd data on biological and evolutionary variations and Pew Research from the US to somehow prop this Hadith up and place it over the Quran by trying to prove that Aisha (ra) had reached puberty at 9 years. It shouldn’t be difficult to see how this is nothing short of disregarding the Quran when they use bizarre and irrelevant data about so called isolated cases of “variations” in menstruation to take a solitary hadith to refute and overrule the Quran. Then why do they have issues when Muslim Homosexuals use bizarre scientific “data and statistics” to prove how Homosexuality is genetic, natural and a product of Evolution? And therefore, reconcilable with the Quran?

For those of us who still have some common sense and understand that the Quran is the supreme authority in Islam, we know that a 6 year old or a 9 year old is a child. A 9 year old is not a woman. By every consideration of climatic conditions, cultural impact or evolutionary dynamics, historically and presently 9 year olds have always been children.

If you want to think that somehow girls had early menstruation at the age of 9 in the Medieval Arabia, that is a figment of your imagination. And we are not entitled to take your imaginations and conjecture (dhan) over irrefutable arguments from the Book of Allah.

What is a woman according to the Quran?
The Quran doesnt even leave it to us to define what a woman is. The Quran defines a woman for us. Read this ayat:

Quran 2:223
“Your wives are a ‘tilth’ for you….” (2:223)

Notice again the word used again is NISA ie women.
What is tilth? Cultivated land, the state of aggregation of a soil especially in relation to its ‘suitability for crop growth’. Meaning just like tillage has a potential for the growth of crops, your wives have potentiality and suitability for bearing your children. Can a child have a child? No. Only women who have undergone a biological change after menstruation have the ‘potential’ of bearing life. A child doesn’t have that capability or potential.

The woman’s consent is critical for a valid marriage
Why was child marriage so common in all pre-modern cultures? Primarily because women had no honor in society. They were treated like cattle. Their consent wasn’t deemed important, let alone necessary for a marriage to be conducted. ISLAM CAME TO CHANGE THAT.
‎
 
Back
Top Bottom