Wakazi wa Gaza wawashukuru baadhi ya Watanzania waliowapatia misaada muhimu

Nimeisha kuambia wewe Kenge Qur'an na Mtume pia wanazikataa hadithi ambazo hazikubaliani na Qur'an sa wewe unatulazimisha tuzikubali hizo hadithi
Mbona shega tu ukikataa Hadith ndio nakupasua bila huruma maana utakuwa huna pa kukimbilia sabau Quran aya zake zote ni stupid yaani aya zenyewe hazijielewi zipo for jwa ajili ya nini na hazina connection between them hahaha
au huyo Bukhairi wapi alimsikia Aisha akisema hayo aliolewa ana miaka 6 uthibitisha wake upo wapi? Alikuwa na nani time Aisha kamwambia alikuwa ana umri wa miaka 6 hahaha.
Ukienda kwa logic hiyo mean all Hadith are fabricate and stupid and no one has supposed to believe on it completely ni sawa na wewe unatamka Shahada bila kuona chochote kuwa hakuna MUNGU ila Allah jambo ambalo hakuna Muislam yeyote aliyemuona Allah wala Kumsikia even Mudy hakuwahi kumuona wala kumsikia so wewe mjinga wa 19 century unasema natoa Ushahidi kuwa Hakuna Mungu bali Allah huo ni ustupidy ushuhuda wa uongo na kusema Mudy ndie messenger wake kivipi? wakati mudy mwenyewe anasema Jibril ndie alitumwa kwake from Allah, it means Jibril ndie Messenger wa Allah not Mudy even Quran 38:65 inasema ni just a warner of Mecca and nearby village of mecca. Je Mnavyo muita Messnger au Prophet hamui contradict Quran? and Kama huyo mjinga uliyem quote anasema Quran ndie Judge so you have to stop Call Mudy Messenger muiteni Warner au Mtoa Tahadhari au Mtahadharishi.

Rembember Quran haina Mabano uzushi tu mnatumia​

38:65 Say, [O Muhammad], "I am only a warner, and there is not any deity except Allah, the One, the Prevailing.​

42:7
وَكَذَٰلِكَ أَوْحَيْنَا إِلَيْكَ قُرْآنًا عَرَبِيًّا لِتُنْذِرَ أُمَّ الْقُرَىٰ وَمَنْ حَوْلَهَا وَتُنْذِرَ يَوْمَ الْجَمْعِ لَا رَيْبَ فِيهِ ۚ فَرِيقٌ فِي الْجَنَّةِ وَفَرِيقٌ فِي السَّعِيرِ
Al-Barwani
Na namna hivi tumekufunulia Qur'ani kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Mama wa Miji na walio pembezoni mwake. Na uhadharishe na Siku ya Mkutano, haina shaka hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni.

Aya Inayofuata unaoka Mudy hana Kazi tena kwani Allah keshaamua amtakaye na asiyemtaka. Kuna uwezekano Allah ni Mlevi hahaha
42:8

وَلَوْ شَاءَ اللَّهُ لَجَعَلَهُمْ أُمَّةً وَاحِدَةً وَلَٰكِنْ يُدْخِلُ مَنْ يَشَاءُ فِي رَحْمَتِهِ ۚ وَالظَّالِمُونَ مَا لَهُمْ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Barwani
Na Mwenyezi Mungu angeli penda ange wafanya wote umma mmoja, lakini anamwingiza katika rehema yake amtakaye. Na wenye kudhulumu hawana mlinzi wala msaidizi.

Quran 14:4 Inahakikisha kuwa Mtume lazima awe anaongea Lugha ya watu wake so Mudy ni for only Arabs tena wa mecca na Jiran waliokuwa wakielewa hiyo lugha
وَمَا أَرْسَلْنَا مِنْ رَسُولٍ إِلَّا بِلِسَانِ قَوْمِهِ لِيُبَيِّنَ لَهُمْ ۖ فَيُضِلُّ اللَّهُ مَنْ يَشَاءُ وَيَهْدِي مَنْ يَشَاءُ ۚ وَهُوَ الْعَزِيزُ الْحَكِيمُ
Al-Barwani
Na hatukumtuma Mtume ila kwa ulimi wa kaumu yake ili apate kuwabainishia. Basi Mwenyezi Mungu humuacha akapotea amtakaye, na akamwongoa amtakaye. Naye ni Mtukufu Mwenye nguvu na Mwenye hikima.
Mimi nakupa jibu ndani ya Qur'an kwamba hadithi hata Mtume Muhammad alisema wasiziamini hata kama yeye kaziongea kwanini jiulize hapo.
Nijiulize kivipi wakati naelewa vichekesho napokuambieni islam ni my Jokes mnatakiwa nanyi mcheke hakuna issue yeyote ya Kimungu -
Je, Qur'an inakataza au kuruhusu ‘ndoa za utotoni’? Je, ridhaa ya mwanamke ni muhimu kwa mkataba halali wa ndoa?

Qur'an ndio kamilifu.
Quran haijawahi kukamilika nishakuonesha aya kibao tu za kijinga ukasepa kimya even turudi nyuma ulibisha sana hili Quran tu inasema mfanye Salat Mara tatu nyie mpo na Tano tena Allah ame confirmed kabisa three ila mmekuwa wakali mmekazia ni tano kisa Hadith Quran 11:114

11:114 And establish prayer at the two ends of the day and at the approach of the night. Indeed, good deeds do away with misdeeds. That is a reminder for those who remember.​

وَأَقِمِ الصَّلَاةَ طَرَفَيِ النَّهَارِ وَزُلَفًا مِنَ اللَّيْلِ ۚ إِنَّ الْحَسَنَاتِ يُذْهِبْنَ السَّيِّئَاتِ ۚ ذَٰلِكَ ذِكْرَىٰ لِلذَّاكِرِينَ
Al-Barwani
Na shika Sala katika ncha mbili za mchana na nyakati za usiku zilizo karibu na mchana. Hakika mema huondoa maovu. Huu ni ukumbusho kwa wanao kumbuka.
Hadith ini za ukweli kiasi ambazo zinakubaliana na Qur'an
Unaweza elezea kukubaliana kivipi haswa? maana Quran haieleweki hadi itafsiliwe alafu ni thousands of Tafsiri wewe unakubali Tafsiri ya nani hujawahi jibu hii swali kudadek zako. kwepa tu ila utanasa tu.
(Sura Haqqah: 51)
Hiyo Aya ilikuwa inaijibu aya 69:44 raia walimsema anatunga na kuiga ya kale Allah akasema akitunga uzushi dhidi yetu tutamadhibu - A few moments later - Akalishwa supu ya Kondoo sumu ikamuua
Mwenyezi Mungu anasema katika Qur'an kuwa ni ufafanuzi wa MAMBO YOTE (16:89).
Huu ni uongo wa Allah na Mudy aya Kibao anasema muslim wameshindwa kujibu as per Quran inasema mkiona contradiction nyingi hiyo sio Quran ya Allah 4:82 Hebu hawaizingatii hii Qur'ani? Na lau kuwa imetoka kwa asiye kuwa Mwenyezi Mungu bila ya shaka wangeli kuta ndani yake khitilafu nyingi.

Elezea hizi baadhiya Aya utueleweshe usitumie Hadithi

100:1 Naapa kwa farasi wendao mbio wakipumua,
103:1 Naapa kwa Zama!
11:1 Alif, Lam, Ra
14:1 Alif Lam Ra
95:1 Naapa kwa tini na zaituni! By the fig and the olive
95:2And [by] Mount Sinai
19:1 Kãf-Ha-Ya-’Aĩn- Ṣãd.
53:1 Naapa kwa nyota inapo tua,
Hili halijasemwa kuhusu Hadithi. Qur'an ina UKWELI WOTE lakini Hadithi hazikuwahi kuitwa kuwa ni za Kweli kabisa.
Quran yenyewe ni Hadith Quran 39:23
Mwenyezi Mungu ameteremsha hadithi nzuri kabisa, Kitabu chenye kufanana na kukaririwa; husisimua kwacho ngozi za wenye kumkhofu Mola wao Mlezi. Kisha ngozi zao na nyoyo zao hulainika kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu. Huo ndio uwongofu wa Mwenyezi Mungu, na kwa huo humwongoa amtakaye. Na ambaye ameachwa na Mwenyezi Mungu kupotea, basi hapana wa kumwongoa
Tizama hiyo statement Allah ndie iblis there is no point kusali au kutosali maana yeye ndie anaamua kukupoteza au kukuongoza sawa. useless cult uislam

Hadithi ni za kweli baada ya mchakato unaostahiki wa uhakika na hata baada ya mchakato huo, hauwezi kufikia kiwango cha Qur'an. Hili linathibitishwa na Qur'an. Hili hata linathibitishwa na Hadithi zenyewe.
Una aya yeyote yenye akili ndani yake katika Quran? tutajie japo moja
Kichekesho na hiyo pia ni Hadith na ujinga wa watu nyakati za uhai wa Mudy ndio alikuwa akiwaambia kabisa msiandike chochote na wao wakaandika hapo hapo hahahahahaha do not write down na wao wakaandika do not write down wakaandika do not write down akawaambie aliyeandika afute na wao wakaandika aliyeandika afute hapo tayari ikawa ni Hadithi sahih hahahaha Islam ni Jokes
But Quran haina Kinga uongo wake ni mwingi kuliko maelezo
Nilikuambia Allah anasema Ndege wanapaa angani kuwa yeye ndio anawashikilia Means Allah hakujua kama Ndege wana mabawa Quran 16:79
Quran 21:30 Allah Ameumba every living things kwa kutumia Maji ila Tunaona Jin ameumbwa kwa Moto Quran 55:15 ukienda Quran 15:25 anasema amewaumba majini kabla ya moto wa upepo moto
Ukisoma Quran unaona ni stupid full contradictions
Quran 12:22 Ameumba Human kwa Udongo and 96:2 amemuumba binadamu kwa damu iliyoganda(dead blood cloth)
Quran 3:59 Isa kama Adam amemuumba kwa Kusema be na akawa ukitizama unakuta uongo Adam ameumwa kwa Udongo akafinyangwa akawa shape kisha akapuliziwa roho and Isa alizaliwa na Maryam so Allah muongo anajichanganya kila aya. Kun fay kun ni uongo uthibitisho Allah hawezi chochote na sio Mungu ni good alisema yeye sio Mungu
Aya zote za Quran ni uraghai. So Hata Jua limeumbwa kwa Maji hahaha Nur pia hahaha
And that is why the Hadith collections were compiled some 200 years after the Prophet. Whereas the Qur'an was compiled BY THE PROPHET HIMSELF see the difference.
Its Good cha muhimu umejua kuwa Quran ni uongo na Uislam bila uongo hauwezi enda hata hatua mbili yaani one step chini pwaa.
Katika sheria ndani ya desturi ya Kislamu
Kwa wazi tunaweza kuona kwamba kuna daraja katika elimu ya Kiislamu ambayo imeanzishwa kwanza na Qur'an yenyewe na hata kwa kauli za Mtume pamoja na Maswahaba.
Sasa umekataa Hadith then unataka kurudi huko huko hahahaha nakuambia Uislam hauwezi simama bila Hadith ni wa kuimbiwa Kasimama Dede peke yake kamuona mchumba wake hahahaha
Hata na prove kwamba Aisha hakuolewa kutokana na hadithi za uhakika sii unazo ogota wewe. Wewe unadhani na sisi hatuwezi kucopy hadithi za kweli ambazo ukizitama zinaenda kabisa na Qur'an sio hadithi zako.
Huna uwezo huo na huwezi ku prove kitu Quran yenyewe tu inakuambia mnaweza kuwa Nikah mayatima so jiullize Yatima huwa na miaka mingapi? ni vitoto Quran 4:3 na pia Hadith inasema muoe wake wanne Quran inasema Muoe 9 plus Mayatima vijakazi na watumwa hakuna zuio uwezo wako tu
As Dr. Mawlana Fazlur Rahman Ansari Al-Qadri explains in his Quranic Foundations:

“…the Qur’an is absolutely authentic,
There is no proof of authentic of Quran due Verse No. Quran 75:17 Hakika ni juu yetu kuukusanya na kuusomesha.
Until Today Allah hajakusanya Quran yake this one ni Quran ya Hafs(Hafs: The Lying, Unreliable Transmitter of the Quran ) according to according to according to watu kibao according to Uthman according to Jibril according to Allah -
Huyu kichaa ana wachezea akili tu si unaona amekwepa Hadith and then anarejea tena huko huko kwenye Hadith idiot
Hiher Authourity wakati Ujio wa Quran ni Hadith kule Pangoni Wewe Njemba ulisema Jibril hatakiwi kuonekana japo Aisha Alimuona hahaha anyway hutaki Hadith
Mayatima ni Watoto huwezi kukwepa Quran 4:3 kwahiyo Allah keshawaambie muwaoe mayatima kisha kastuka eh Mayatima ni watoto wadogo kumbe hahaha
Msijikoshe Hiyo Maana yake mwafukunyue Nyuma unataka kumpinga Sheikh Jalala wewe kasome aya kwa Kiarabu
Hii ni False Uislam hauchabadilisha chocte kuhusu Wanawake kuwaona wakiwa wadogo bado inaendelea,Kuwapiga wanawake bado inaendelea kubaka bado Aya 4:34 inaelezea vizuri Mke akikukosea mpige kisha mhamishie kitandani na umbake
 
Huko Gaza tuliwapa msaada gani sisi, ni UGALI au ni nini hasa kilikuwa?
 
We kenge huo uharo wote nilisha kujibu na kuhusu Salaa nilisha kujibu kwa dalili za Qur'an sioni reason ya kuwa na jibu husomi tunayo kujibu.

We kama huna kazi usitupotezee mda kwa kukujibu afu husomi,

Nimeisoma akili yako vizuri we hutaki kukubali ukweli, ungesoma usinge leta hu utumbo tena.

Kama Qur'an haikukamilika basi wewe tuletee ilio kamilika hahaha sababu Mungu mwenyewe kasema imekamilika na ina details zote.
 
Huyoooo huna jibu na hujawahi jibu swali langu lolote ukiacha Salat ambalo ulikwama kuleta aya inayosema 5 salat sio wewe tu hata Allah hana uwezo wa kujibu,

Kama wewe muaminifu aya 19:1 ulijibu nini maana yake unasema Qur'an imekamilika na ina full details hahaha mzee wa nduki

19:1 Kãf-Ha-Ya-’Aĩn- Ṣãd.
 
We kenge hi mara ya mwisho nakujibu kuhusu salaa kwenye Qur'an usilete tena ujinga.

Haya mimi na kuhesebia zote salaa 5 zimetajwa kwenye Qur'an Hebu tuangalie aya zifuatazo hapa chini.

[11:114] Mtashika Sala katika ncha mbili za mchana na usiku. Matendo ya haki hufutilia mbali matendo maovu. Huu ni ukumbusho kwa wanao zingatia.

[17.78] Mtashika Sala linapo pungua jua kutoka sehemu yake ya juu kabisa adhuhuri linapo elekea kuzama kwa jua. Nanyi mtaishika (kusoma) Qur'ani alfajiri. (Inasoma) Qur'ani inashuhudiwa alfajiri.

[2:238] “Simamisheni Swalah, khasa Sala ya katikati, na simameni mbele ya Mwenyezi Mungu kwa kujisalimisha.

[50:40] “Wakati wa usiku mtakase, na baada ya kusujudu.

Baada ya kusoma aya hizo kwa makini, nadhani ni kenge tu ndio atasema Qur'an haijazitaja hizo Salaa tano.

Qur'an inataja nyakati zifuatazo za kusali.

Mwanzoni na mwishoni mwa mchana (alfajiri na jioni), alasiri (inapoanza kushuka kutoka sehemu yake ya juu), alasiri (inapoelekea kuzama kwa jua, pia imetajwa kuwa ni Swala ya katikati), na usiku.

Kuhusu Surah ya Qur'an 19.1

Kãf-Ha-Ya-’Aĩn- Ṣãd;

It means: I am the sufficient, the guide, the guardian, the scholar, the true promise


Kuna lingine.
 
We kenge hi mara ya mwisho nakujibu kuhusu salaa kwenye Qur'an usilete tena ujinga.

Haya mimi na kuhesebia zote salaa 5 zimetajwa kwenye Qur'an Hebu tuangalie aya zifuatazo hapa chini.
Wewe Ni Mjinga sana unapoambiwa Salat ni tizama swali kwanza ndio ujibu ficha upumbavu wako. Uliza tu kwanza Google many many Salat mentioned in the Quran na tizama Jibu lake kisha zama zaidi.

Salat mentioned 99 Times In Quran. 12 times as verb (صَلَّىٰ), Eighty Three times as the noun (صَلَوٰة), One time as the noun (مُصَلًّى) And 3 times as participle (مُصَلِّين) 43 And establish prayer and give zakah and bow with those who bow [in worship and obedience].10 Feb 2019

Hapo Unapata kupractice ni Mara tatu tu kwa Siku no zaidi hizo maelezo mengine hizo salat zinacheza kwenye hizo hizo time za practice three times. Amabyo ni Aya 11:114 ku practice ni lazima ufanya hizo wudu kusaficha tundu la ny'a na taka taka zingine pua ,sikio na ujinga wote wa utumwa.

Kumubuka Mtume wenu aliwaambia msiswali jua linapokuchwa na jua likizama kwani Jua linapita kati kati ya pembe za shetani hahaha uislam i ujinga ukiufuata.

(148)Chapter: What was narrated concerning the times when it is disliked to perform Prayer
It was narrated from Abu ‘Abdullah As-Sunabihi that the Messenger of Allah (ﷺ) said:
“The sun rises between the two horns of Satan” or he said “The two horns of Satan rise with it, and when it has risen, Satan parts from it. When it is in the middle of the sky he accompanies it, then when it has crossed the zenith he parts from it. When it is about to set, he accompanies it, and when it has set he parts from it. So do no pray at these three times.”

Grade:Sahih (Darussalam)
Reference: Sunan Ibn Majah 1253
In-book reference: Book 5, Hadith 451
English translation: Vol. 1, Book 5, Hadith 1253

Kua uwe na akili.
[11:114] Mtashika Sala katika ncha mbili za mchana na usiku. Matendo ya haki hufutilia mbali matendo maovu. Huu ni ukumbusho kwa wanao zingatia.
Unaweza elezea Ncha mbili za Mchana ni muda gani? hahaha nacheka kabisa kabla hujajibu na usiku ni muda gani? Tuseme nchi ya mchana ya kwanza iwe Saa sita Hiyo Salat itaitwa Mchana na ncha ya pili ya Mchana tuseme kabla ya alasili ni same Mchana maana jua likizma tayari ni usiku so tuhesabu hiyo ni Magharibi = Jumla ya kupractice Salat amri ya Allah ni 3 maana hii ndio aya pekee Allah kasema Mfuate ni lazima kwenu
[17.78] Mtashika Sala linapo pungua jua kutoka sehemu yake ya juu kabisa adhuhuri linapo elekea kuzama kwa jua. Nanyi mtaishika (kusoma) Qur'ani alfajiri. (Inasoma) Qur'ani inashuhudiwa alfajiri.
hapo kwenye red umeongea wewe binafsi yako

Unaleta tafsiri ya uongo aya 17:78 haipo hivyo hahaha - Aya inasema mshike salat jua linapozama hadi giza litande so huna pa kukwepea hiyo ni Salat Moja amabayo aya 11:114 inaseme Approch the night. so ni same same Salat ya Magharibi yaani unaanza kuswali Magharibi hadi (Usiku unapoingia)Isha(Giza la night) inaingia =1
Quran 17:78 - أَقِمِ الصَّلَاةَ لِدُلُوكِ الشَّمْسِ إِلَىٰ غَسَقِ اللَّيْلِ وَقُرْآنَ الْفَجْرِ ۖ إِنَّ قُرْآنَ الْفَجْرِ كَانَ مَشْهُودًا
Aqimis Salaata liduloo kish shamsi ilaa ghasaqil laili wa quraanal Fajri inna quraa nal Fajri kaana mashhoodaa
Sahih International:Establish prayer at the decline of the sun [from its meridian] until the darkness of the night and [also] the Qur’an of dawn. Indeed, the recitation of dawn is ever witnessed.

Al-Barwani
Shika Sala jua linapo pinduka mpaka giza la usiku, na Qur'ani ya al fajiri. Hakika Qur'ani ya alfajiri inashuhudiwa daima.
[2:238] “Simamisheni Swalah, khasa Sala ya katikati, na simameni mbele ya Mwenyezi Mungu kwa kujisalimisha.
Hapo umechemka ukishasema Salat ya katikati unarejea pale pale Mchana hahahaha aya 11:114
[50:40] “Wakati wa usiku mtakase, na baada ya kusujudu.
Usichanganye Kuomba kusali na kushukuru na kumtukuza rudi shule wewe ujinga umekujaa. Glorify Praise na Salat ni tofauti. Salat ina kujiandaa kwake utawaze kwa maji na kama maji hamna unatumia mawe ya kusugulia miguu hahahahaha si ndio ulinifahamisha mawe ya kuchambia ndio hayo hahahaha

Hivi Mo Salah anapofunga Goli akasujudu ni Salat ile au ni Praise and Glorify - Learn from me uwe na akili. hiyo
Aya 50:40 imekufelisha ubishi wako. Nikukumbushe aya usiyoijua 30:17 -inasema Basi utukufu ni kwa Mungu unapolala na unapoamka asubuhi. - Fa Subhaanal laahi heena tumsoona wa heena tusbihoon
Tafsir ya uongo pia eti Mungu ndie Subhaanal

Tumebakia na Salat 3 tu Machana zipo 2 na Magharibi 2 na hapo hapo Mtume wenu anawakataza msiswali jua linapozama hii game ya uislam ni vichekesho hahahaha
Alafu Alalh anasema keshawapangia hatma yenu so mswali msiswali ni work done zero.
Baada ya kusoma aya hizo kwa makini, nadhani ni kenge tu ndio atasema Qur'an haijazitaja hizo Salaa tano.

Qur'an inataja nyakati zifuatazo za kusali.

Mwanzoni na mwishoni mwa mchana (alfajiri na jioni),
Akili ya Madrassa hii weka aya inayosema ncha ya mchana ya kwanza ni Alfajili na ncha ya pili ya mchana ni jioni hivi brain yako imeoza?
alasiri (inapoanza kushuka kutoka sehemu yake ya juu), alasiri (inapoelekea kuzama kwa jua, pia imetajwa kuwa ni Swala ya katikati), na usiku.
Ewe ndie mtume mpya wa Waislam baada ya Mohammad. unajua why Allah alisema Mohammad ni wa mwisho kwake ? maana aliona ni mjinga mno mtu kusex na mke wa mwanae?
Kuhusu Surah ya Qur'an 19.1

Kãf-Ha-Ya-’Aĩn- Ṣãd;

It means: I am the sufficient, the guide, the guardian, the scholar, the true promise


Kuna lingine.
Hii naomba nitajie umejifunza kwa mjinga mwenzio aitwaye nani? Mazinge au Shaffii?

Tuanze na Sufficient: Uongo kwani alisema hawezi zaa mpaka atiane na wenzake, Kiti chake kinabebwa na Mountain Goat ambao pia ni malaika Animal. Quran nzima anasema ''Sisi'' Prular badala ya ''i am'' Singular

Guide: to Astray same job na iblis
Scholar: Hajui nini alizna kukiumba je unaweza msaidia kumkumusha kuwa aliumba nini kwanza? Scholar hajui maana ya Arif lam Meen, nimekuuliza nini maana ya At-Tariq ukasepa

Allah ana true promise ipi? zaidi ya kusema atamkata Aotra mshipa mkuu wa damu na ikawa. alishindwa Kumlinda Mohammad asiingiliwe na iblis akawa controled. alishindwa Kuilinda Kaaba hadi jiwe likachukuliwa na wapagani kwa zaidi ya miaka 20 na likarudishwa lingine vipande vipange vyeusi.
 
Nimeisha kuambia wacha ku copy and paste utazidi kuwa mjinga, vipi useme Qur'an haikuzitaja salaa tano haha kwa hio Waislam wote ni wajinga hawajui Qur'an wewe ndiye mwenye kuijua 😄 🤣

Qur’ani Tukufu inaongelea kwa dalili kuna swala tano za faradhi, na hilo linathibitishwa na aya kama vile kauli ya Mwenyezi Mungu “Shika Sala linapopinduka jua mpaka giza la usiku na usomaji wa Qur’ani alfajiri, hakika usomaji wa Qur’ani alfajiri hushuhudiwa daima” [6, 6]. Ambapo "kupungua kwa jua" kunarejelea kilele chake (wakati wa sala ya adhuhuri na alasiri), "giza la usiku" linarejelea nyakati za kuzama kwa jua na usiku, na "kisomo cha Qur'an alfajiri" kinarejelea sala ya alfajiri.

Maana yake ni swala ya alfajiri, inayoitwa hivyo kwa sababu ya urefu wa kisomo chake. Inashuhudiwa na Malaika wa usiku na Malaika wa mchana [2, 5].

Sala za faradhi:
Swalah za faradhi huanza adhuhuri (adhuhuri) na kuendelea mpaka giza la usiku. Hii ni pamoja na sala ya adhuhuri na alasiri [2, 7].
Giza la usiku limetajwa kujumuisha nyakati za kuzama jua na sala za jioni.
Swalah ya alfajiri inaongezwa kwa hili, kwani hii inaunganisha nyakati za sala tano za faradhi [2, 7].

Mwenyezi Mungu anasema(Basi mtakase Mwenyezi Mungu unapofika jioni) Sala ya Maghrib na Isha, (na unapoamka) Sala ya Alfajiri, (na Alasiri) Sala ya Alasiri, (na unapoonyesha Sala ya Adhuhuri) Sala ya Dhuhr

huna jipya wewe unafikiria Waislam kama wakanisa kumuita mtoto wa Mariam ni Mungu 😂

Kuhusu Mungu kujiita We kamulize mfalme anapo toa Decree anasema mimi au we, kenge mmoja wewe huna lolote zaidi ya ku copy na kupaste angalau soma hayo unayo copy.

We akili zako zinatakiwa zikapimwe kwa kutumia A Brain MRI zimepinda kama Kãf-Ha-Ya-’Aĩn- Ṣãd unasema Yesu ni Mungu hahaha kwa hio aliye ileta Qur'an alikuwa anaogopa kusema Yesu ni Mungu akaleta hilo fumbo. Mashoga mnavituko nyie mmezowea vimafumbo fumbo mtaani mtuletee kwenye Qur'an, afu hapo hapo ukatuletea mpya eti Zakaria pia ni Mungu hahaha imebaki kusema na baba yako mzazi ni Mungu pia.
 
Nimeisha kuambia wacha ku copy and paste utazidi kuwa mjinga, vipi useme Qur'an haikuzitaja salaa tano haha kwa hio Waislam wote ni wajinga hawajui Qur'an wewe ndiye mwenye kuijua 😄 🤣
Weka hesabu na proof
Qur’ani Tukufu
Ingekuwa tukufu isingesema muwatie vijakazi
Hilooo linachanganya Salat na Kumtakasa Mungu hahahaha jinga kabisa hakuna Muislam yeyete atakaye hesabu hizo sala ziwe tano wewe hapo umebwabwaja tu na hakuna ulichoongea weka hesabu 1 ni muda upi 2 muda upi 3 muda upi 4 muda upi na 5 muda upi mimi nimeweka hesabu sahaih wewe umeweka hesabu akili Mazinge pumbavu.

Eti nacopy hovyo unadhani uslam nautunga kwa sababu nyie muslim ni waongo hadi imefikia hamuaminiani, kila msomi wa kiislam akiongea lazima apingwe na waislam, am learn from Islamic source haswa Quran na Hadith zenu ila issue ya Salat nimeitoa kwenye Quran.

Najua nakubana sana napoweka source niliamua hivyo sababu mlikuwa mnasingizia mimi muongo sasa kibao muambieni Allah Muongo hahahaha. ungekuwa Honest nisingekuwa naweka source. tatizo no honest Muslim.

Watu wa Mahakama wanasema You're not guilty until proven Innocent ila kwa Muslim ni ma guilty until proven innocent - Hahahaha

Wewe ndie kila uogeacho unajitungia au unatoa kwa waongo wenzio nilishakuambia kama wewe ni muaminifu weka ushahidi, Unachekesha hata aya za Quran unatafsiri unavyotaka yaani una fabricate on your own. Dini haifundishwi kwa yako kichwani weka source tumjue aliyekufundisha maana walimu kibao wa kiislam wamekuwa rejected akiwepo Rashad khalifa, Hata mtunzi wa Quran yenu ya Sasa Hafs hakubaliki nashangaa Quran yake mmeikubali na imejaa vituko na vichekesho,Ujinga makosa na contradictions tupu hahahaha

Allah kawaambia kabisa Establish Prayer nyakati za ncha mbili za Mchana na zinazokariabia Usiku jumla ni 3 pekee ukileta unja ujanja wako nikikupigia hesabu unavyotaka ni zaidi ta tano Punda wewe. unabishia hadi Quran NA Allah WAKO hahahahaha. Imagine ndio unasema Allah umetuambia tusali mara tatu lakini sisi tumeamua kujiongezea two more hahaha

Weka neno la Kiarabu linalosema ufanye Salat Asubuhi Punda wewe mmedanganya raia miaka mingi now washajua mnaoa aibu kuumbuliwa.

Dictionary ya Kiarabu inasema ISHA inaanza pale jua linapozama tu so salat ya magharibi inaanza jua linapokaribia kuzama ili ikutane na isha so ni Sala Moja tu hata aya zikiwa nyingi ila muda ni huo wa Salat ambayo unatakiwa ufanya kutawaza na pricidure zote za kuswali.

Kama Kusoma Quran ni Salat tuhesabu basi kwa siku mtaswali mara ngapi hahahaha

As long umeamua kuwa mkaidi tuyaache maandishi wenye akili watasoma nani mjinga. mwisho wa kukuelimisha kuhusu salat umeisha. twende vichekesho vingine vya Quran.

Nakuuliza Aya zipi anazosema Allah mnazozisoma mara kwa mara
Quran 15:87
وَلَقَدْ آتَيْنَاكَ سَبْعًا مِنَ الْمَثَانِي وَالْقُرْآنَ الْعَظِيمَ
Al-Barwani
Na tumekupa Aya saba zinazo somwa mara kwa mara, na Qur'ani Tukufu.
 
We kenge huwezi kutoa hata Surah ya Qur'an inasema waingilieni mama zenu na dada zenu, labda Qur'an ya Trump hio au ya kanisani kwenu.

Wewe tatuzo lako kama umehesabu salaa 4 tu, ya alfajri unasema haipo mimi nakuambia hivi neno "Swala ya Alfajiri" halijatajwa kwa uwazi kabisa ndani ya Qur'an, lakini muda wa sala ya Alfajiri (alfajiri) umetajwa katika aya zinazoamrisha usomaji wa Qur'an wakati wa alfajiri, kama vile Surah Al-Isra' (17:78) inayosema: "Na Qur'an wakati wa alfajiri. Aya zingine, kama katika Sura Al Qamar (50:39), pia zinaongelea swala kabla ya kuchomoza jua, zikiihusisha ni muda wa swala ya Alfajiri.

Sa we tuambie Salaa katika Sura Al Qamar (59 39) inazungumza salaa kabla ya kuchomoza jua ni salaa gani, hebu tupe elimu shekhe wa kanisa.
 
Sa we tuambie Salaa katika Sura Al Qamar (59 39) inazungumza salaa kabla ya kuchomoza jua ni salaa gani, hebu tupe elimu shekhe wa kanisa.
Hahahaha hiyo Surah Sura Al Qamar inaishia namba 24 vipi Sheikh Magirini hebu lete Aya Nyingine au Kwakuwa unapenda sana kuchekza Kamari haha
 
We kenge huwezi kutoa hata Surah ya Qur'an inasema waingilieni mama zenu na dada zenu, labda Qur'an ya Trump hio au ya kanisani kwenu.
Niliandika wajakazi wenu, anyway Firdaus pia ni ruksa kuwalala mama zenu no limit
Wewe tatuzo lako kama umehesabu salaa 4 tu,
Hamna sehemu nimehesabu salat 4, nimesema kama nikihesabu nitapata zaidi ya tano ila Sheria yenu ya Allah amaesema Salat ambazo unatakiwa ufanye wudu ni Tatu tu only. lazima utofautishe salat na praise au kutakasa au kumsifu,u kuomba kwa Tasbii. GIVE UP MAN
Hiyo Aya hamna sehemu imesema Mswali bali mtakaseni na kumsifu. Nimekuuliza Mohammad Salah anapofunga Goli kule Liverpool anasujudu kwako wewe pale anafanya Salat au Glorify au Praise? lugha lazima itumike other ways Allah ni mento. aya inasema mtakase na kumsifu Mola wako kabla jua kuchomoza wewe unaita hiyo ni salat utaacha lini ujinga?

Fasbir ‘alaa maa yaqooloona wa sabbih bihamdi Rabbika qabla tuloo’ish shamsi wa qablal ghuroob
Sahih International:
So be patient, , over what they say and exalt with praise of your Lord before the rising of the sun and before its setting,

فَاصْبِرْ عَلَىٰ مَا يَقُولُونَ وَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَ قَبْلَ طُلُوعِ الشَّمْسِ وَقَبْلَ الْغُرُوبِ
Al-Barwani
Basi vumilia kwa hayo wasemayo, na mtakase kwa kumsifu Mola wako Mlezi kabla ya kuchomoza jua na kabla ya kuchwa.
 
Tatizo lako ukibanwa unakimbia any way salaa tano nimeisha kupa wewe nipe hizo zaidi ya tano. Kumbuka Salaa alizo amrisha Mungu ni fardhi na zipo zinaitwa Suna ambazo alisali Mtume Muhammad .
.
Afu usisahau Salaa ya dhuhur Ijumaa hakuna kwa sababu ya salaa ya Ijumaa usije kachanganyikiwa.

Kuhusu udhu unaweza kuchukua udhu hata mmoja kama huendi haja ndogo au kubwa au hukujamba

Udhu ni usafi tu, sa we unapo sema eti Qur'an imesema udhu ni Mara tatu Surah ipi hio inayosema hayo au ndio story zako za kanga kama kawaida.

Kuhusu tasbihi toka lini tasibihi ilikuwa salaa tasibihi ni dua na kusujudu hata ukisoma Qur'an kuna sehemu lazima usujudu.

We endeleza kakata mauno yako ili kubabaisha ukweli.
 
Tatizo lako ukibanwa unakimbia
Yaani nikimbie vitu virahisi mno i told you Islam to is my Joke. Kwanza am just helping you guys muachane na uongo tu nothing more. sijui kama niliwahi kukuuliza faida gani unapata ukidanganya au hata ushaujua ukweli then unaendeleza kudanganya for what????
any way salaa tano nimeisha kupa
Huwezi weka hiyo idadi ya kitu kinachoitwa Salat kasome hizo aya kwa kiarabu hutopata neno liitwalo Salat nje ya hiyo mida two mchana na jioni approch the night. kwakuwa kumlinda Mtume wenu au ile kuonesha hamjabugi kwa miaka yote kuwa mlikuwa mnakosea na mmedanganywa mno naelewa.

Ni same na wale walio ona uislam ni fake ila familia Zao na ndugu zao ni muslims so wanaamua kuzuga tu na wanaacha kuswali n.k maujinga yote wanapotezea.
wewe nipe hizo zaidi ya tano. Kumbuka Salaa alizo amrisha Mungu ni fardhi na zipo zinaitwa Suna ambazo alisali Mtume Muhammad .
Hahahaha nikiwaambia Mohammad ndie Allah mnadai eti ni Suna hahaha Suna mnazojichagulia ile ya kumnyonya down the belly hamfuati. Allah kawaambie muoe ndoa za Muta Mtume wenu kakataza mnamfuata Mtume hahaha.
Allah kawaambia Mswali Salat tatu nyie mmetunga 5. Ng;oa na meno basi ni Suna pia, Paka eye liner ni Suna, Mmechagua suruali fupi na kupaka hina ndevu na nywele
Afu usisahau Salaa ya dhuhur Ijumaa hakuna kwa sababu ya salaa ya Ijumaa usije kachanganyikiwa.
Hahaha nichanganyikiwe kwa lipi na story nzima ya ijumaa naijua sababu yake nilishakuadithia sema unajifanya umesahau! au nikukumbushe? Mudy alikuwa mdanganyifu na mzugaji Ijumaa ilisababishwa na Wayahudi mpaka leo Mnateseka sababu yao hahahaha bytheway hiyo ya Ijumaa kwako umeipa namba ngapi?
Kuhusu udhu unaweza kuchukua udhu hata mmoja kama huendi haja ndogo au kubwa au hukujamba
Wudu ni lazima ushasahau ulisema wewe mwenyewe usipotawadha vizuri shetani anakujambisha hahaha na anatoa vinyoya pembeni ya tundu la nny'a ya muumini anaye swali. mnampa kazi sana Iblis
Udhu ni usafi tu, sa we unapo sema eti Qur'an imesema udhu ni Mara tatu Surah ipi hio inayosema hayo au ndio story zako za kanga kama kawaida.
Sio story hayo mambo ya udhu mmetoa kwa Sabian wakawaingiza chaka eti ukikosa Maji mnaposimama wakati wa Sala mjipake mavumbi mepesi usoni hahaha Si mtakuwa kama vinyago! hahaha Quran 5:6

so ndio maana mkiambiwa uislam hamna bila hadithi na hizo suna zenu ni mkopo kutoka kwa Sabian na Wayahudi kibaya Mudy kila cha wayahudi alikuwa akisema change it.
Alihudhuria maziko ya myahudi wakawa wanaswali kwenye mazishi ya myahudi mmoja akamuambia this is what we do. akasema change it for Muslim hakutaka chochote kifanane. ni kuonesha ni mtu wa ajenda zake mwanasiasa anajifanya anawapenda kinafik tu haamini Mungu wa Wayahudi.
Kuhusu tasbihi toka lini tasibihi ilikuwa salaa tasibihi ni dua
Ndio anytime wewe unachanganya na salat nimekubamba mtanange ule wa zamani ulinipinga now umekubali hahahaha i know unabisha ili uelewe its okay this is how you learn.
na kusujudu hata ukisoma Qur'an kuna sehemu lazima usujudu.
Weka aya sio kusema tu eti kuna time. aya zote vichekesho sasa utasujudu kwa aya ya kichekesho kipi? au ile ya married woman can offer himself to sex to Mohammad? Quran 33:50
We endeleza kakata mauno yako ili kubabaisha ukweli.
Mimi nikidanganya nasikia maumivu na nitatubu mda huo huo. na it's been long time nilidanganya ukiona sehemu nimedanganya nioneshe nita apologise hapo hapo.

NAOMBA KWA FAIDA YA WASOMAJI JAZA HIZO IDADI KWA MPANGILIO SALAT TANO NA MUDA WAKE YAANI SAA
1.
2.
3.
4.
5.
 
We kenge huwezi kutoa hata Surah ya Qur'an inasema waingilieni mama zenu na dada zenu, labda Qur'an ya Trump hio au ya kanisani kwenu.
Wewe hujawahi nifahamisha ni Muislam wa Dhehebu gani anyway mimi nakupa dhehebu la Shafii hhaha nyie mnaweza sex na mwanao uliyemzaa nje ya ndoa japo ni blood yako hahaha

Shule ya Shafi'i ina maoni kwamba baba mzazi hawezi kumwoza binti yake nje ya ndoa. Kwa sababu ukoo
wa binti yuko pamoja na mama yake na familia ya mama yake wakati baba hana haki juu ya binti yake. Watoto ambao ni
waliozaliwa nje ya ndoa wamekatiliwa mbali na haki zote zinazohusiana na ukoo wao, kama vile urithi, utunzaji na ulezi.
Kwa mujibu wa madhehebu ya Shafi'i, kwamba mtoto nje ya ndoa ametengwa na ukoo wa baba yake, hadhi ya mtoto ni
mgeni (ajnabiyah), kwa hiyo, kwa mujibu wa madhehebu ya Shafi'i kwamba mtoto anaweza kuolewa na kibayolojia.
baba kwa sababu mtoto anachukuliwa kuwa mgeni, na si Mahram (kama ni mwanamke) kwa baba yake mzazi. Katika
mashab, Imam Shafi'i aliongeza kuwa mtoto nje ya ndoa anaweza kupata au kupokea mali kutoka kwa baba yake mzazi kwa sharti hilo.
kwamba mtoto anaweza kurithi mali au kutambuliwa na warithi wote.
 

Attachments

Unaona ulivyo mjinga wewe ulisema Qur'an ndio imesema naukasena nikuwekee Surah, nilivyo kubana sa umenda kwenye madhehebu hahaha. Kwanza kwa infomation Qur'an inapinga kabisa mambo ya madhehebu hayatambui inacho tambua Uislam tu. Qur'an inakataza mgawanyiko katika madhehebu, inawamrisha Waislamu kubakia katika umoja. Sura Al An'am 6:159 inasema kwa uwazi kwamba wale wanaoigawanya dini yao na wakawa makundi makundi hawana mafungamano na Waumini, na hukumu yao iko kwa Mwenyezi Mungu. Qur'an inawahimiza Waislamu kushikamana na kamba ya Mwenyezi Mungu kwa pamoja na inaonya dhidi ya kuvunjika kwa makundi kwa sababu ya wivu au chuki.

Qur'an inakataza kuzini nje ya ndoa wanao zini hata wakiowana wanaendelea kuzini tu, wengine wanajidai kutubu eti tobaa nasuha hawajui nini mana ya toba nasuha. Mana ya toba nasuha nikuto kirudia kile kitendo kabisa wanakuambia si tumeisha tubu vipi umetubu na huyo uliye zini naye ndio unamhalalisha hahaha. Usiniletee ujinga wa madhehebu kabisa.

Nilisha kuambia hapa mara ngapi mi Dhehebu langu ni Ibadhi, mimi upande wangu naonamadhehebu ni reference ilianzishwa kuleta fitna katika Uislam tu. Kila mmoja anamkosoa mwenzake anajiona madhehebu yake iko sawa. Madhehebu bila kutoa dalili ya Qur'an hata liwe dhehebu langu tafata dhehebu lilo leta point ya Qur'an.

Mimi ni Ibadhi na sioni tatizo kuchukua point kwa Shia au Sunni awe Shafi, Malik au Hambali na hata Wahabi kama point zao hazitofatiani na Qur'an.
 
Wanaukumbi.

Baadhi ya Watanzania wenye huruma ni utu wamakusanya misaada na kuipeleka GAZA, kama vile Chakula na mahitaji mengine muhimu kwa watoto.

Tunawashukuru Watanzania waliojitolea kidogo walichokuwa nacho.

W
Wanaukumbi.

Baadhi ya Watanzania wenye huruma ni utu wamakusanya misaada na kuipeleka GAZA, kama vile Chakula na mahitaji mengine muhimu kwa watoto.

Tunawashukuru Watanzania waliojitolea kidogo walichokuwa nacho.

Waislamu Acheni UNAFIKI na Kujipendekeza kwa waarabu!!
 
Unaona ulivyo mjinga wewe ulisema Qur'an ndio imesema naukasena nikuwekee Surah,
Hizo Sura nimezirefute zote kuwa ni hazina jipya zaidi ya kutaja mda huo huo ambao mmeamrishwa salat Tatu tambua amri ya ku estrablish Salat imetajwa kwenye only aya moja hiyo 11:114. zingine ni kukumbushiwa tu mida ya hizo salar mfanye. anyway tulishamaliza hiyo mada ukashindwa orodhesha kirahisi kabisa 1, aya gani na muda gani,2, Aya gani na muda gani, 3 aya gani na muda gani, 4 Aya gani na muda gani, 5 Aya gani na muda gani pangilia kama unataka waislam na wasio waislam wakuelewe. madai kuwa ulileta aya nimejibu moja baada ya nyingine hesabu ikaangukia ni 3. period.
nilivyo kubana sa umenda kwenye madhehebu hahaha.
Huwezi hiyo kitu Uislam kwangu ni simple sana. Kuhusu Madhehebu ni kwa ajili ulisema Quran hairuhusu uasherati wa mundugu wa karibu kabisa so nimekupa hiyo ya Baba kusex na Binti yake wa nje ya ndoa.
So Mtume wenu mbona anasema Uislam umegawanyika makundi 73 na kundi moja tu ndio litaenda Peponi, una la kumpinga? Mtume wenu hataki pia muwaingilie mama zenu hdharani. iwe kificho eenh?
Jami` at-Tirmidhi 2641
Book 40, Hadith 36
ol. 5, Book 38, Hadith 2641
Imepokewa kutoka kwa Abdullah bin 'Amr:
Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam): “Yatawapata Ummah wangu hatua kwa hatua, hata kama kuna mtu aliyemwingilia mama yake hadharani, basi atokee mtu katika Ummah wangu atakayefanya hivyo. Hakika wana wa Israili wamefarakana makundi sabini na mbili, na Ummah wangu utagawanyika katika makundi sabini na tatu, Ummah wangu wote utaingia katika Moto kasoro dhehebu moja tu. " Akasema: "Na ni dhehebu lipi hilo ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu?" Akasema: Niliyo juu yake na Maswahabah zangu.
na hukumu yao iko kwa Mwenyezi Mungu. Qur'an inawahimiza Waislamu kushikamana na kamba ya Mwenyezi Mungu kwa pamoja na inaonya dhidi ya kuvunjika kwa makundi kwa sababu ya wivu au chuki.
Kama mmehimizwa hivyo why mkiwa hamuelewani adhabu yake kundi moja liwaue kundi lingine? Allah anamatatizo hana njia ya kusuruhisha zaidi ya kusema mchinjane? hahaha Allah mtihani sana
Qur'an inakataza kuzini nje ya ndoa
Wajakazi ukisex nae sio zinaa hiyo? be honest maana mmeruhusiwa
Hata wewe zini tu na vimada wako hakuna kosa kwa Musilam kwani mshaandaliwa mtakayo fanya duniani kabla hamjazaliwa. even Adam alipangiwa ale tunda Miaka 40 kabla hajaumbwa hahaha
Umesahau kuwa Allah ndie mpanga wa yote hii nimeanza kuisikia kwa waislam nikiwa mtoto kabisa.
Allah amekupangia utaiba mara ngapi,Utasex mara ngapi ukioa au kabla hujaoa so Zinaa sio kosa and ile kitu iitwayo Muta few hours marriage ni prostitutions Quran 4:24 Inaanza tu na wanawake walioolewa msex nao ila mwape posho
Nikuambie Kitu huwezi beba la Shia kwasababu hautaweza kuna siku nilicheka nilipomsikia Sheikh Jalala akisema nyie Suni Mtume wenu Mohammad. nilicheka sana wenzio wapo na Ally na Imam Hussein, Ukiwasikia Ya Ally vituko tupu. Sect zenu sijazisoma ila napenda kudeal na mtu anachoamini yeye maana ukimcharaza na kitu asichoamini ni kazi bure. so nitatumia gear ndogo tu based na unachoamini kwenye ibadhi.

So Nyie ndio wale hamna sehemu za wanawake misikitini? dah wanawake waswalie Nyumbani tu.
 
Ni ni mana ya Amri ya "kusimamisha swala" alfajiri inapatikana katika Quran katika Sura Al-Isra (Sura ya 17), Aya ya 78. Aya hii inasema, "Simamisheni Sala tangu kuchomoza kwa jua mpaka giza la usiku, na [pia] Qur'ani ya alfajiri. Hakika kusomwa kwa alfajiri kunashuhudiwa". "Qur'an ya alfajiri" inahusu sala ya alfajiri.

Salaa zote zipo kwenye Qur'an we ulikuwa unasema hakuna salaa ya Alfajri zingine huko nyuma nne ulizikubali, saa hii ya asubuhi nimekuwekea bado unabisha tu.

Kuhusu uislam kugawanyika makundi 73 kama Qur'an haikubaliani na hi hadithi itakuwa ni fake tu.

Uislam hauruhusu ku sex nje ya ndoa, hizo Story zingine si za kweli, afu kumbuka Qur'an ilipo kuwa ikishukuka ilishuka kutokana na vitendo wakati ule, kumbuka hata pombe ili ruhusiwa kwenye badhi ya Surah badaye zilishuka Surah kuharamisha kabisa.. Tatizo lenu mnaenda ku Quote Surah hujui ilikuwa inamanisha nini time zile na ilikuja kuharamishwa. Kwanini kwenye Decree mfalme anafanya amendment na mnazikubali? Kwa hio Mungu akiruhusu mwanzo afu aje kukataza mnalazimisha yale yale alio ruhusa mwanzo nyie vichaa kweli.
 
Kama ni fake and Quran imekataza mgawanyiko why Quran 49:9 inawaambia dhehebu moja likipingana na lingine waelewane kwanza na ikishindikana dhehebu moja liwaue dhehebu lingine, so nyie na shia mnauana? Nduguze Assad na Druze n.k so Hadithi ya Mudy ndio ishasema sect moja kati ya hizo 73 ndio itaingia firdaus - Vipi nyie mpo?

Quran 49:9 - Na ikiwa makundi mawili katika Waumini yanapigana, basi yapatanisheni. Na likiwa moja la hao linamdhulumu mwenzie, basi lipigeni linalo dhulumu mpaka lirejee kwenye amri ya Mwenyezi Mungu. Na likirudi basi yapatanisheni kwa uadilifu. Na hukumuni kwa haki. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wanao hukumu kwa haki.​

Haya ndio ISIS, Al Qaeda na fanatic Muslim wanatumia hii Aya kama haki ya uislam kuadhibu wengine na wao wenyewe kwa wenyewe
Uislam hauruhusu ku sex nje ya ndoa, hizo Story zingine si za kweli,
Kidogo nipatwe na mshtuko ah Story zingine sio za kweli? Nimekupa aya Quran inaruhusu kusex nje ya ndoa wewe unasema story hahahahaha Kusex na mjakazi sio nje ya Ndoa? Mudy alifumaniwa mara Mbili kwenye kitanda cha mkewe akila uroda na mtumwa Mary the Copt. Vipi during the War nayo ni forbiden kusex na mateka? kama Hamas huko Gaza hahaha huwezi itetea Quran ni Stupid book ever.
Quran 23:5 inaruhusu usex na slave,Captive nje ya Ndoa
Quran 70:29 - 30 Msex wa vijakazi wenu nje ya Ndoa
Quran 24:33 ndio inajaribu kuwatetea vijakazi masikini maana vinatiwa kwa lazima na waume za watu waislam. tunaposikia vijakazi tokea Tanzania vinafanywa sex slave msishangae ni Quran amri hiyo
As long umekubali ulevi ulikuwa nguzo ya uislam hahahahaha hatujamalidhaaa Hatujamlidhaa ''Mlete mdhungu eeh Mlete Mdhungu...''

Issue ni kuwa Allah kasema Mapemaaa aya za mwanzo mwanzo kabisa kushuka chapter 2 verses 219 imagine Allah aliona ulevi ni kazi ya Shetani...
Mohammad alikuwa cha pombe so Arabs wakawa wakimuuliza vipi mtume wa chapombe mbona unadhambika kwa ulevi na kucheza kamali na beting hahaha eti Allah akampa ujanja akiulizwa aseme Dhambi ya ulevi ina faida na zipo dhambi zingine ni hasara ila Pombe ni mwake mwake hahaha

Quran 2:119- Wanakuuliza juu ya ulevi na kamari.(Kubeti hahaha) Sema: Katika hivyo zipo dhambi kubwa na manufaa kwa watu. Lakini dhambi zake ni kubwa zaidi kuliko manufaa yake. Na wanakuuliza watoe nini? Sema: Kilicho chepesi. Namna hivi Mwenyezi Mungu anakubainishieni Aya zake mpate kufikiri--​

Ulevi uliendelea Allah akifurahia tu. Sasa ikafika waislam wakawa wanalewa sana na kuingia msikitini waki matingas
Allah akaona enh achimbe biti kidogo. wakiwa wamelewa wasiingie misikitini au kuswali. Maisha yakaendelea ya unywaji kabla ya sala

Quran 4:43 - Enyi mlio amini! Msikaribie Sala, hali mmelewa, mpaka myajue mnayo yasema, wala hali mna janaba - isipo kuwa mmo safarini - mpaka mkoge. Na mkiwa wagonjwa, au mmo safarini, au mmoja wenu ametoka chooni, au mmewagusa wanawake - na msipate maji, basi ukusudieni mchanga safi, mpake nyuso zenu na mikono yenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kughufiria.​


Tukienda chapter inayofuata baadae Surar Maida Chapter 5 verse 90 Kumbe Pombe,Ulevi,Kamali, Kpiga ramri ni uchafu na ni kazi ya Shetani.

Quran 5:90 - Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.​


Tunakuja kucheka pale uliposema sisi tuna kichaa kwa kuchagua ruksa badala ya katazo hahaha kihesabu tu aya ya mwanzo ikataze and ya mbeleni 16:67 iruhusu na kusifia Allah aya za mwanzo kasema pombe ni kazi ya Shetani then akajisahau akasema pombe ni safi Gongeni tu hamna noma wala nini hata mkija firdaus kuna river kabisa ya alcohol

Quran 16:67 -Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ulevi na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili.​

Tumtafute huyo Shetani ni Nani kwani haswa? aliyekatza ni Allah na anayesifia ni Allah playboy wenu

Punguza ujuaji we know how to crash you Mohammad and Allah. si mnasema Allah na Mohammad ndio wanajua zaidi best hahaha kumbe wote ni hamnazo. Nilishawafahamisha muslim i know all bad word za Allah and Mohammad so tunahaki ya kuwatusi na wao. wewe ni victims wamekuathili hao wanaojiita Sisi.
Hawana la ukweli waongealo. kila kitu ukikisikia kwenye Quran just check fact utakuta ni uongo 100%

Lete ki Aya kingine i truly enjoy busting you

JIBU HAPA TUMEPATA KUWA ALCOHOL ILIKUWA OK TO MUSLIM THEN IKAKATAZWA MUDA WA SWALA TU THEN MUSLIM WAKAAMBIWA NI KAZI ZA SHETANI SO BAADA YA KUSIKIA HIVYO AKARUHUSU AUTOMATICAL ALLAH ANAKUWA NDIE HUYO HUYO SAME GUY WHO FORBID KUWA NI KAZI YA SHETANI AMBAYE NI YEYE PIA AND ALLOW ALCOHOL
 
Wewe jamaa unagonga nyundo za kichwa ,ambazo lazima warudi kujiuliza mara mbilimbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…