Alafu mleta post anasema wajimbaji wapo zaidi ya 5,000/ wangeanzisha tozo ya 20,000/kila mwezi ndani ya miaka 5 wangeweka Lami,Mwambalaswa anasemaje?
Umeme bado ila ndo wanamalizia kutuwekea nguzo labda utawaka hivi karibuni kero kubwa huku kwa sasa ni barabara na hiki kipande hadi Matundasi sio kirefu sana...watuletee barabara tunalima dhahabu ya kutosha sana huku zaidi ya kilo 300 kila mwezi tunatoa huku ila ndo barabara tumesahaulikaIvi hata umeme wa TANESCO walikwisha weka?
Itumbi kwa sasa ni kuchele kwa maendeleo ya watu binafsi, tatizo serikali imeipa kisogo eneo husika ktk suala zima la uwekezaji wa kimaendeleo.
Kazi ya kuweka lami ni ya serikali ndiyo inayoratibu....sisi tayari tunalipa fedha za huo ujenzi kwa kulipa kodi tena ya kutosha na tuna ofisi ya madini huku na Kamishna wa madini huku...na Chunya ni Mkoa maalum wa kimadini...kwanini tujichangishe mara mbili wakati kodi tayari tunatoa!?...TUNATAKA BARABARA YA LAMI ITUMBI CHUNYA.Alafu mleta post anasema wajimbaji wapo zaidi ya 5,000/ wangeanzisha tozo ya 20,000/kila mwezi ndani ya miaka 5 wangeweka Lami,
Lakini mkimtegemea mbunge wenu aliyepitishwa na mfumo mtazeeka.
Siyo Serikali tu maendeleo na ujenzi wa Taifa letu linahitaji ushirikiano Kati ya Serikali na wananchi,ndiyo maana wangeanzisha Tozo kwenye Petrol na huduma za kifedha bila kushilikishwa, ili fedhha zinazopatikana ziede kujenga vyumba vya madalasa na vituo vya Afya.Kazi ya kuweka lami ni ya serikali ndiyo inayoratibu....sisi tayari tunalipa fedha za huo ujenzi kwa kulipa kodi tena ya kutosha na tuna ofisi ya madini huku na Kamishna wa madini huku...na Chunya ni Mkoa maalum wa kimadini...kwanini tujichangishe mara mbili wakati kodi tayari tunatoa!?...TUNATAKA BARABARA YA LAMI ITUMBI CHUNYA.
Anzeni na kituo cha polisi kwanzaMmelipa tozo za miamala kiasi gani mpaka muanze kulilia lami?.......
Kwani lami mliyowekewa kwenu wanakijiji mlichangishana?Siyo Serikali tu maendeleo na ujenzi wa Taifa letu linahitaji ushirikiano Kati ya Serikali na wananchi,ndiyo maana wangeanzisha Tozo kwenye Petrol na huduma za kifedha bila kushilikishwa, ili fedhha zinazopatikana ziede kujenga vyumba vya madalasa na vituo vya Afya.
Onyesheni uzalendo kwa kuanzisha tozo yenu,vinginevyo mnaweza kusubili sana.
Itumbi ilistahili kupatiwa umeme wa TANESCO tangu miaka 15 iliyopita.Umeme bado ila ndo wanamalizia kutuwekea nguzo labda utawaka hivi karibuni kero kubwa huku kwa sasa ni barabara na hiki kipande hadi Matundasi sio kirefu sana...watuletee barabara tunalima dhahabu ya kutosha sana huku zaidi ya kilo 300 kila mwezi tunatoa huku ila ndo barabara tumesahaulika
Nunueni magari mazuri na sio Bedford na iPhone ndipo muwekewe lamiMigodi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu Itumbi Chunya Mbeya ni mingi zaidi ya wachimbaji wadogo na kati 5000 tupo eneo hili, ila tuna changamoto kubwa ya kukosekana kwa barabara ya lami.
Tafadhali serikali mtuwekee lami huku ili biashara yetu ya madini iwe rahisi. Tunazalisha sana madini huku ila kukosa lami kunatukosesha fursa nyingi na kukwaza maendeleo ya sekta hii.
Pia tunaomba mawasiliano ya simu huku yako duni sana hatupati mitandao pendwa hapa Itumbi hasa VODACOM AIRTEL NA TIGO...Halotel yupo kwa mbali lakini kwa mashaka.......hapa pamoja na familia zetu tupo zaidi ya watu 20,000 kutopata mawasiliano ya uhakika sio sawa. View attachment 1906853View attachment 1906854
Jina la mbenge wenu please
Siyo Mwambalaswa, alipigwa chini uchaguzi uliopita. Kwa sasa ni Kasaka Jr (mtoto wa Njeru Kasaka).Mwambalaswa anasemaje?